Search results

  1. M

    Mabalozi Wapya - Utamaduni wa kuzungusha viongozi!

    hapa nami niseme tuu kuwa uteuzi una harufu ya udini kwani hata ukiangalia uteuzi wa sekretariati ya ccm aliyoipendekeza jana utawaona kina makamba ,rostam na wengine ila tusiwe na double standards kwani kama kuna udini basi tujadili . nitatoa observation zangu baadae jioni ya leo baada ya...
  2. M

    Kazi ya kuubomoa upinzani ndiyo imeanza ama inatekelezwa?

    Kwanza nianze kwa kutoa pongezi zangu kwa jj kwa kuniwezesha kuifahamu web site hii kwani nimekuta mnajadili mambo ya msingi sana kuhusu mustakabali wa taifa letu, Pili nipende kutoa maoni yangu kuhusu kikao cha bunge la budget kilichofanyika ktk ya nchi yetu tukufu Dodoma. Ni kweli kama...
Back
Top Bottom