Search results

  1. nyangoma

    Mapishi mbalimbali ya Karanga za kukaanga

    Karanga zinakuwa mbichi au zinakaangwa kwanza?
  2. nyangoma

    Vacancies

    Ingekuwa kwa mkono wasingetoa adress
  3. nyangoma

    Vacancies

    Soma no xvi muwe mnasoma maelezo kwa utulivu ..wamesema written ...
  4. nyangoma

    Vacancies

    Soma no xvi
  5. nyangoma

    Wapi wanang'arisha meno yaliyoungua?

    Siku hizi kumekuwa na kawaida ya kungarisha meno yaliyoungua yanakuwa meupeee ..jamani ni wapi wanatoa hizo huduma na gharama zake plzzz kwa anaejua
  6. nyangoma

    Mwenye kuelewa mshahara wa customer care Vodacom na Airtel

    Ukifanya kazi mwez mzima bila kutega wala kuumwa na kupokea simu 180nakuendelea kwa siku na bila kuwa na warnings na talk time iwe 2:30dk bac utajikuta unafikisha laki nne kasoro lakin ukiumwa siku moja tu jua unafikisha 3kasoro nimeacha kaz mwez ulipita full kugandamizwa
  7. nyangoma

    Naelekea Dar kwenye interview ya NSSF natokea Kigoma, maombi yenu wana JF tafadhalini

    Unaonekana una wivu wa kijinga kuna kuajiriwa na kujiajiri na ndo mana zikawepo kumpuni na mashirika ili watu wafanye kaz na yy kachagua kuajiriwa.... Ukumbuke kujiajiri hakutokei tu km huna mtaji... Kuwa na u shauri mzur km huwez kaa kimya sio kuleta wivu wa kishamba
  8. nyangoma

    Nafasi za kazi NMB

    Asante sana
  9. nyangoma

    Nafasi za kazi NMB

    Huyo ni wa wap aliebadilika?
  10. nyangoma

    Nafasi za kazi NMB

    Jaman kucertify ndo inakuwaje ?
  11. nyangoma

    Waliofanya interview Erolink

    wala wapo sana morocco wamejaa tele tena interview za voda wanapiga paleplae moroco,nenda mwaya
  12. nyangoma

    Ero link

    bado hawajaita,wewe ulifanya tarehe ngapi pale erolink?mie nilifanya tar 22 sept 2012
  13. nyangoma

    Lady jaydee ni mjamzito

    ukisema katoka nje ya ndoa unakosea sana kwan gadner hana uwezo wa kuzaa mbona ye anae mtoto wa mkewe wa kwanza,hakuna kinachoshindikana chini ya jua wewe hata kwa uchawi
  14. nyangoma

    Natafuta kazi ya community development officer

    jaribu green resources limited kampuni iko mafinga-saohill industries
  15. nyangoma

    Nimefanya yote sasa naomba na nyie mseme

    soma alama za nyakati ndugu yangu,mtu anayekupenda kamwe hawez kuwa hivyo ebu achia ngazi uone kama anakupenda jinsi atakavyo haha
  16. nyangoma

    For single ladies out there

    ye mwenyewe angekuwa wa maana angetafuta mitandaoni?hana lolote mashauzi tu
  17. nyangoma

    Siku za mwizi 20 check hii

    yani hapo ni kwamba mungu kawaonyesha jinsi gani wanavyopendana na jinsi gani mungu kaukubali uhusiano wao,kwahiyo they have to sit down nawapange mipango ya ndoa.
  18. nyangoma

    Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

    kwa hali kama hyi siwez msaliti as nakuwa nimeapa kwa mungu kuishi na kwa shida na raha bt namimi nitamsaliti pale tu nikijua nae kanisaliti au kaniletea za kuleta
Back
Top Bottom