Hello wananzengo wa Tanzania popote mlipo duniani. Nautupia huu uzi humu ili tuujadili kwa pamoja.
Kumeibuka wimbi la "Mikate ya Maziwa" hapa nchini. Kila sehemu ipo inauzwa.
Maswali yangu machache kwa mamlaka za udhibiti ubora (TMDA na TBS) ni haya:
1. Je, tuna taarifa za kutosha juu ya...
Weye naona umebanwa kunya, kanye kisha uchambe na maji ya baridi. Hivi Membe nawe unaweza kumfikiria kuwa rais wa TAnzania katika enzi hizi za Magufuli. Hata nusu ya Magufuli hafuati
Naunga mkono hoja, tena napenda kuongezeapo kidogo tu ili kunogesha mapokezi ya "MFALUME TINDIKALI SULI"
1. Siku hiyo itangazwe kuwa ni ya mapumziko.
2. Wananchi wote wapenda amani tutangaziwe kubaki majumbani.
3. Serikali iwaandae vijana wake wa JESHI LA POLISI na wale waliopo kwenye mafunzo...
Hivi hakuna mwanaNzengo hata mmoja aliyebahatika kupiga picha za video au mnato hao wakamataji wa nyalandu ili tuone hizo SMG na AK47......????
Yaaani yanavyokuzwaaaaa......!!!
Teheeee teheee teheee....!!!! Najaribu kujiwazia kwa sauti tu mwanaNzengo miye
Hivi hakuna mwanaNzengo hata mmoja aliyebahatika kupiga picha za video au mnato hao wakamataji wa nyalandu ili tuone hizo SMG na AK47......????
Yaaani yanavyokuzwaaaaa......!!!
Teheeee teheee teheee....!!!! Najaribu kujiwazia kwa sauti tu mwanaNzengo miye
Ndugu zangu wananzengo wenzangu wa Tanzania, na hususani wana JF tumepatwa na msiba. Mwana-Jamii Forum mwenzetu kennedy lufulondama hatukonaye tena duniani.
Amefariki jana majira ya saa 1:00 jioni.
Taratibu za maziko zinaandaliwa huko Mkula Simiyu.
Ndugu zangu wanaNzengo wa Tanzania popote pale mlipo duniani habari zenu.....!!!!?
Ama baaada ya salaaamu, napenda nishirikishane na ninyi mambo machache hapa kupitia kipande hiki kidogo cha video.
Katika hii picha ya video anaonekana na kusikika mtu mmoja akiongea na maafisa elimu (sina...
MwanaNzengo ili usikereke ACHA kwenda hospitali ya rufaaa ya Bugando.
Vinginevyo anzisha hospitali yako ya bugando ambayo haitakuwa na utaratibu huo unaokukera!
Period....!
Anayetafuta ama anayetaka king'amuzi cha startimes tafadhari anitafute in-bobo! nitampatia buReeeee kabisa, nina miaka kama minne hivi sikitumii nimekifungia tu kwenye boksi.
Tido Mhando alinihamasisha na kuniaminisha kuwa baada ya muda mfupi startimes kitakuwa king'amzi bora chenye channel za...
Tangu jana nipo hewani na Rajabu Zomboko radio One tukimuenzi TX Moshi William, na leo tunaendelea tena usiku kumkumbuka kupitia radio one.
Baadhi ya nyimbo zake nipamoja na:
1. Amida
2. Kilio cha mtu mzima.
3. Cheusi Magala.
4. Queen Cathe.
5.
6.
7.
Habari za leo wanaNzengo wenzangu wa Tanzania popote pale mlipo duniani.
Ningekuwa mimi ndiyo mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Ilemela Ningeitengeneza barabara ya kutoka jengo la ofisi ya mkuu wa wilaya kuelekea shule ya msingi Lukobe kupitia mtaa wa Buteja kwa kuanzia na kiwango cha...
Kwa nini awape pole!!!???
Kama ni suala la urafiki, hata makonda ni rafiki yao (hao klouds) na wao jana wamekiri hilo. Mbona hata yeye sasa rafiki yao hajawapa pole kwa yale yaliyotokea???
Kwani hili ni tukio kubwa kiasi cha kuonewa huruma na kupewa pole na kila mtu!!!?? Mbona rais mstaaafu...
Tuuunganeni kwa pamoja wakazi wa Buswelu Majengo mapya, Nyamadoke, Ilalila, Buteja, Buyombe, Kigala, Bujingwa, Mbogamboga nk kwa kupiga kelele kila siku humu JF ili mkurugenzi asikie kelele zetu.
Namfahamu mkurugenzi ni member humu na hizi post anazisoma saaaana, hivo kwa pamoja tutamfanya...
Habari za leo wanaJF
Ndugu yangu mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Ilemela Mwanza, kama mimi ningekuwa ndiyo weye (Mkurugenzi wa Manispaa Ilemela) basi ningemuagiza mhandisi wa manispaa kushughulikia barabara ya National hadi wilayani kwa kujenga mitaro imara ya kusafirisha maji.
Na...
Ndugu zangu wanaNzengo wa Tanzania, nina tu-swali tuchache tu hapa.
Binti "msanii" Wema ametuambia kuwa "Yeye hajahama CCM kwa hasira eti kutokana na sakata linalomkabili la kuhusishwa na "matumizi ya sembe." Bali amehama kama mtu mwingine tu wa kawaida anavoweza kuhama kutoka chama kimoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.