Search results

  1. Gama

    Congo wagundua mawe yenye umeme, tutarajie ugomvi zaidi?

    hii ni changamoto nyimgine kwa usalama wa kanda ya Afrika mashariki: ni lazima magaidi watatia timu ili kuvuna ya kutosha
  2. Gama

    General Muhoozi, mtoto wa Rais Museveni anawaunga mkono M23

    Tayari yumo kwenye presidential guard: Nice, watakufa wote kwa risasi moja
  3. Gama

    General Muhoozi, mtoto wa Museveni kaitishia Kenya kwa mara ya pili

    True behaviour ya mtu inatengenezwa na yale aliyoyapitia: lazima kila mwanajeshi atamani kupigana. Tazama Kagame, Kiduku, Putin et cetera
  4. Gama

    Muhimu Kukumbuka History: Putin + Ukraine = Hitler + Czechoslovakia

    Nimepitia post yake, sijaona delusion
  5. Gama

    Kwanini vifaru aina ya Leopard 2 Tanks ni muhimu kwa Ukraine?

    Ungetupia na ka-picha ingependeza
  6. Gama

    Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

    🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
  7. Gama

    Mabasi ya Ester Luxury coach yadaiwa kusafirisha milungi

    Tunajipa kazi zisizo na msingi------ kusema mirungi na dhambi ni ujuha mwingine. Ni vema tuvivpunguzie vyombo vya ulinzi majukumju ya kufanya
  8. Gama

    Hamna mtu mwenye tatoo mwenye tabia nzuri

    Ungeweka ka-picha ka msichana ingependeza sana
  9. Gama

    Hii nchi wamepewa vichaa

    Hili katazo ni la kiimani?, ama?
  10. Gama

    Mchezaji wa zamani wa Zambia auliwa na mbwa wake

    Haya huwa ni mashauri magumu sana: Kwa dar es salaam nimeshuhudia visa viwili vya namna hii, ila, si jambo la kiushangaza hasa pale ambapo mwenye mbwa hana knowledge ya kutosha ya tabia za mbwa
  11. Gama

    Aliyekubali Switch za bwawa la umeme la Rusumo Tanzania zikawekwe Rwanda ametumia akili zake ipasavyo?

    🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 Bwawa liko mpakani, umeme hausafiri
  12. Gama

    Sakata la Green City Morogoro: Shule nyingine zimulikwe pia

    Hakuna stress hapa: huyu anaonesha kuwa ni kichaa
  13. Gama

    Mila za kushangaza: Maiti ipo mochuary kwa zaidi ya miezi 3

    Hili ni jambo la kawaida mno kwa tribes za nchi za west Africa; the earliest they can go huwa ni siku 30
  14. Gama

    Wanawake wa Mwanza mjini na maisha yao

    Ila, majina ya namna hiyo yanapatikana zaidi ng'ambo ya mipaka ya mkoloni
  15. Gama

    Wanawake wa Mwanza mjini na maisha yao

    Hata huyu ni msukuma?; Mwanz ya sasa si ya wasukuma-warundi, wanyarwanda na wakongo wanaipaisha sana
Back
Top Bottom