Search results

  1. Magulumangu

    Happy Valentine's Day my babe

    Janga La Kimataifa mkuu...
  2. Magulumangu

    Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Dah, pole mkuu...Kila.na chakula ni sawa kweli? Jamaa kweli juha...mtu anaweza kula hata Nyapu, sio lazima chakula
  3. Magulumangu

    Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

    Jamaa nadhani lugha nayo tatizo ama hajui jokes...
  4. Magulumangu

    Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

    Wanigeria jokes zao kwanza ni so straight, Trevor Noah kama hujui jokes ndo utaishia kuwaangalia hao kina Sabinus....T. Noah ni level ya kina Kelvin Halt...Huyo Sabinus hamfikii hata Blackson
  5. Magulumangu

    Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

    Dah pole mkuu, Trevor Noah hajakichekesha basi hujui Comedy kweli...Huyo anahost shows USA...
  6. Magulumangu

    Kusafirisha Wasomali

    Kwanza mkuu hao Wasomali huingia hapa kimahendo, hawana documents za kuwa hapa..Na huko Zambia ni njia tuuu, wanaenda hapo South, hata Msumbiji wanapitia wengi mno, hawaitwi Wasomali, wanaitwa Wachezaji....
  7. Magulumangu

    Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

    I see mkuu Paw Mr Ndeha kafariki? Dah, mie ntamkumbuka sana maana yeye ndo aliyenambia siku ya kwanza kabisa Jiteute, alikuwa anaita majina na kutwambia wewe mkondo gani...Alipoita jina langu akaniangaliaaaaa then akaniambia wewe subiri tuongee kidogo...mama yangu joto lilianza kunitoka, lakini...
  8. Magulumangu

    Lowassa ndiye Waziri Mkuu wa Kwanza Mwenye Power ya kweli katika Historia ya Tanzania - William Malecela

    Du mkuu Pasco kumbe Lowasa sio wa kumchezea, wanalo kina Le Mutuzi na baba ake na wafuasi wao...
  9. Magulumangu

    Simiyu: Mkoa wenye sifa ya kipekee kwa siasa za upinzani Tanzania

    Nakwambia..wewe ngoja tuipe miaka 10 mbele maana ni mkoa mchanga kwa sasa, najua in 20 years utakuwa moja ya mikoa tough Tanzania, tutampita Shinyanga kama kasimama vile...
  10. Magulumangu

    Simiyu: Mkoa wenye sifa ya kipekee kwa siasa za upinzani Tanzania

    HAhaha mie home ni Bariadi na sisiti kuitaja, na naipenda kinoma...Nilitoka kama wengine watokavyo, just to find life or in other means education au wengine husema kwenda kuongeza possibilities...
  11. Magulumangu

    Simiyu: Mkoa wenye sifa ya kipekee kwa siasa za upinzani Tanzania

    Hahah we all Simiyu's proud of ourselves man...Usicheze na Watambi wewe, bashosha mang'ombe si mchezo....ujue mkuu hili la bagalu na bagika is one example of ushindani? Mchaga anajua kabisa mziki wa Mnyantuzu, kuna rafiki yangu mmoja mchaga alinambiaga ujue katika watu naowaheshimu ni...
  12. Magulumangu

    Simiyu: Mkoa wenye sifa ya kipekee kwa siasa za upinzani Tanzania

    Mi ndo Simiyu basi tena kitambo toka 1995, mara ya mwisho nilikuwa huko 2009 lkn just two days....Am proud to be Nyantuzu
  13. Magulumangu

    My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

    @W.J. Malecela, lakini kwa Mgeja mie sioni geni maana is kind of person you can't expect something from his mouth....Lowasa pia huenda nae katanguliza Whistle blower lkn wapiga ngoma wako nyuma, Sijui siasa za Guninita anyway, lkn siasa za Tanzania nyingi ni ukiwa nazo tu, you know what...
  14. Magulumangu

    Simiyu: Mkoa wenye sifa ya kipekee kwa siasa za upinzani Tanzania

    Hahah muuza ubuyu mie mhango pale (Mbiti), Cheyo namba nyingine ile, lile jamaa mpaka lenyewe litoke tu, Wana Simiyu ndo wanamageuzi ya kweli, mkuu, mbina vipi na liding'ha lya 30? Wakati mageuzi yanaanza hata walingi waliimba sana, kina Nindwa, chulichuli, na mimi mwenyewe (Magulumangu), hivi...
  15. Magulumangu

    Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

    Mkisi alikuwa brothermen wa kufa mtu, alikuja akiwa na nyota mbili, akapewa civics form three dah tuliandika maumivu jamani, yaani kila saa misifa tuuu, alikuwa na sister ake hivi sasa ukatae adhabu ya sister ake, Lilikuwa linasema tu Afande waleo jasho hao, kiama mtakiona... jiteute member...
  16. Magulumangu

    My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

    W. J. Malecela Mkuu uchambuzi mbona nusu nusu? Sijaona John Malecela, sijaona Kingunge, na wengine wengi tu ambao wametoa matamko yao..kwani kama wewe msomi unaangalia upande mmoja tuuu wanaomsapoti Lowasa vipi wasiomsapoti nao?
  17. Magulumangu

    Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

    Mie sitamsahau Njenje, Bwenge na Tall, Kule loliondo na maeneo ya Chapati za kuona side ya pili (zilivyokuwa nyepesi) na chai ya rangi maziwa....Hapo mkuu wetu Massawe usichezee mkuu jitegemee secondary school I love you...hahahahahah
  18. Magulumangu

    Simiyu: Mkoa wenye sifa ya kipekee kwa siasa za upinzani Tanzania

    makoye78 pamoja kwa sana tuu...Ila kusema ukweli Bariadi ndo ina historia kubwa ya MAGEUZI wengine wanajaribu tuu, Kama watu watakumbuka hata kipindi cha Mkapa alisema kabisa ingawa sina source kuwa akipita Mbunge yeyote toka CCM Bariadi anapewa Uwaziri na ikatimia alipopita Chenge na kupewa...
Back
Top Bottom