Search results

  1. M

    Membe kuwania urais 2015...

    Membe phew!!!!!!!!!!!!!!!!! Membe too low jamani kha!!!!!! me nashangaaa sana hata Six anzunguka kote kuna watu vijana tuwaunga mkono eti membe rais ,then Nyalandu prime minister phew!!!!!!!!!! yaani upuuzi mtupu kabisa kiukweli Membe hafai kabisaaaaaaaaa??????? na huyo Nyalandu ndio kabisa...
  2. M

    Lazaro Nyalandu: Ni mchapakazi sana, au ni media coverage?

    Binafsi namjua vizuri huyu jamaa kikubwaninachoweza kusema ni FISADI mkubwa anayejificha kwenye mwamvuli wa kanisa. 1.Ameshirikiana sana na Mama Anna mkapa kufirisi hii nchi,Kifupi walimtumia sana kufanya ufisadi waliofanya. 2.Amewahi kuwa mwenyekiti wa bodi ya baadhi ya makampuni ,amefirisi na...
  3. M

    Comparing: Lowassa vs Pinda

    kwani amechafuka?lowasa for president 2015 unalo
  4. M

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    ishu sio usomi ni pamoja na utendaji kazi na uwezo wa kufanya maamuzi EL for the president
  5. M

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Ni kweli kabisa nakuunga mkono ni bora EL awe raisi mambo yatasogea the Stong Man anayeweza kufanya maamuzi ,tumechoka kuwa na viongozi ambao wanaogopa kufanya maamuzi kwa kweli may we can go more step forward
  6. M

    Hivi haya madai ya waziri Nyalandu dhidi ya Wabongo waishio ughaibuni yamekaaje?

    Jamani i know nyalandu ni mtu anyependa kuonekana kafanya through media but in real sense hana lolote.Ni fisadi sana sana na kweli wa madem but also fedha anajificha kwenye mwamvuli wa ulokole ki ukweli hana lolote.Yaan sijui huko wizarani itakuaje watalipa sana vikao hewa vya hotelini kwa ajili...
  7. M

    Dk. Slaa: UCHAGUZI WIZI MTUPU

    Asante Dr. we love you,tunakuombea kwa Mungu aliyehai uwe mzima,afya tele na akutetee popote utakapokuwa. Unajua haki uinua Taifa,so simamia haki Dr ili taifa letu liinuke na Mungu atakutete pia.Na hayo ni maamuzi mazuri ya kufanya utafiti wakutosha before kutoa tamko ,tunasubiri kwa hamu tamko...
  8. M

    Elections 2010 Dk. Willbrod Slaa, ameitaka Usalama waende mahakamani

    1.Toka niwe na ufahamu sijawahi kuona au kusikia usalama wa taifa wanajibu tuhuma dhidi yao hadharani HAPA ndipo unapojua kwamba kuna mushkeli na hichi chombo kabisa.kUNA KILA SABABU YA HUSEMA CHOMBO HICHI KILIHUSIKA NA MFA MAJI HAACHI KUTAPATA THAT WHY WANISHIA KUTAPATA. 2.Kama wewe ni mmoja...
  9. M

    Elections 2010 Mnyika na wanachuo UDSM

    Nakwa taarifa yako karibu mawakala wote wa myika jimbo la ubungo ni wanafunzi wa chuo ambao wanaishi dar walijitolea mpka wakabaki wakahamishiwa jimbo la kawe
  10. M

    Hoteli mpya ya Lowasa ktk plot ya serikali

    How far are you sure ni Lowassa? Kama we are sure kabisa we can fight for our right mtoa mada lete evidence so that we can be sure
  11. M

    Inaumiza lakini ni tamu!

    Umenena hili ni tatizo kwa vijana wengi wanaoa na kuolewa kwa mkumbo na hii inawafanya waoe na kuolewa na mtu yeyote atakae jitokeza the ndoa zinalaast for ayear tu
  12. M

    Riz"One" mtoto wa Mzee wa Kaya

    hatakiwi kuishi kama watoto wengine walivyoishi anaishi kama wenyewe wanavyotaka kuishi wote wangekuwa kama nyerere itakuwa tabu thats why kuna Ruska,Mzee wa makaa ya mawe na jk style
  13. M

    Elections 2010 Mama Sitta aeleza alivyokamatwa na TAKUKURU

    maelezo ya mama 6 ,yanatatiza kweli saa 7 usiku unapigiwa cimu waziri unaenda kumuona mgonjwa? kama cio uongo ni nini? i respect her sana lakini maelezo yake yanatia shaka,na huyo katibu wa ccm wa nini kama ni relative kwa nini asingemchukua mtu wa nyumbani kwake amsindikize?uko utata hata kwa...
  14. M

    Mazuri ya Edward Lowassa

    Ni kweli kabisa,i really miss him too in Tanzania leadership anamabaya yake but mazuri ni mengi kuliko mabaya hope 2015 atarudi
  15. M

    Watoto wengi au wachache??

    Yah ni muhimu kuangalia your financil ability ,lakini kama your financially capable why not to have watoto wengi?
  16. M

    Lowassa agawa tisheti kanisani

    Jamaa yeye ni muumini kama mtu mwingine yeyote katoa kama sadaka kwa Mungu wake anayemwamini kwa wahitaji ukizingatia ni majira ya kwaresma sioni kama ni rushwa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
  17. M

    Pinda ambeba Rostam Igunga

    But he is right kwamba wananchi wake wapime kwa yale aliyofanya Igunga kama katimiza yale aliyoaidi what wrong to chose him again,me sioni kosa la PM
  18. M

    Je, Kikwete kubebeshwa tuhuma!?

    Ni kweli saeed think twice we really want to know about Lowassa na Rostam but kuna habari nyingi tunahitaji kujua kuhusu nchi hii more than Lowassa na Rostam lkini wewe kila siku Lowassa na Rostam unaanza kufanya tuanze kudoubt your proffession kwasababu umejua ukiandika Lowassa na Rostam...
Back
Top Bottom