Hapa sina imani hiyo it depends na jinsi unavyoamini wewe. Imani ni kitu kingine kabisa na jina la yesu ni njia tu ambayo mtu anaweza kutumia njia nyingine na akafanikiwa kutimiza imani yake. Sio lazima jina la yesu.
Hangaikeni na kitabu chenu kwanza(biblia) mchambue mapungufu mengi na mrekebisho yanayofanywa kila siku kupotosha watu wasijue ukweli. Qurani ni kitu kingine huwezi kukielewa kitabu cha Mola mtukufu kwa unavyotaka wewe. Halafu ungebaki na hoja zako tukaja kuchambua hoja kuliko kuingiza hoja...
Sisi binadamu tunaishi ndani ya mfumo wa mbio za mbwa hata tukiyafika hayo tunayoyaona ni muhimu si lolote si chochote, unakuwa na hamu ya kuyafikia kama ikiwa bado hujayapata tu ukifika na kuyaona kwa macho na kuyagusa kwa mikono utagundua ulichokua ukidhani ni mfupa mnono ni plastic halina...
This is what makes great thinker na hii forum jamii intelligent is the best of all. Kuna wakati wanaingilia watu wasiofikiri wala kuleta fact zaidi ya ubishi tu wa kifikra usiokuwa na evidence yoyote. Ningekuwa admin ningeweka rules za kuingia jamii intelligent wawe wanaingia watu magreat...
Bonge la myth la kufikirisha.
Kweli katika dunia yetu tunafungwa na mengi and sometimes we think that we know almost everything kumbe bado tuko pangoni na hatujui lolote. Wanapokuja waliojua kutuzidi tunawaona wamepotoka na kuchukulia mitazamo yao ni uongo ila tunachkijua sisi ndio ukweli...
Habari zenu wana jamii.
BADO NATAFAKARI SANA HIZI LOGO..
Kuna Siri gani Kwanini Taasisi za Afya Sehemu Nyingi Duniani hutumia Logo zenye MAJOKA na Namna Kama BAKORA hivi ama tuseme FIMBO???
Yaani Kwenye Mambo ya Afya Zetu tunajiwekea Na MAJOKA?...Nani ana Uelewa wa Jambo hili Atupe Elimu...
It is like conspiracies lakin labda kuna ukweli ndani yake. Ila inavyooneka huyu jamaa kabuni baadhi ya mambo ili stoty yake ikubalike kwa watu. Lets make follow-up then tutajua lengo lake nini. Kwanza analazimisha watu wasome page yake kwa wingi ndo apost
Akili za utumwa nazo ni shida tu. Hao waliowatungia hivyo vitabu wako bize kugundua Advanced technologies nyinyi mmekazana na mihadhara, ubishi, kutoka mishipa tu pimbi kabisa hili ngozi JEUSI.Umaskin shida sana
Sio tatizo lako bali ni ujinga wako. Bakia hivyo hivyo kisha tuone wewe utavumbua...
Labda baadhi hamjaelewa uzi unazungumzia 10% ya ubongo katika nyanja gani. Au mimi ndo nitakuwa sijaelewa.
My take ni kwamba katika ubongo kuna part mbili kuu ambazo zinafanya kazi. Moja ni ile ambayo inajitawala yenyewe kwa maana ya kusimamia body systems ambazo huwezi kuzicontrol yan matendo...
According to the bible, qur-an and hadith za mtume(s.a.w) there will come a time when religion and its books will perish and by that time there will be no hope in the world. Sins will no longer be forgiven. What will remain is the story of religion and people who belived in it. And that will...
Rakims nitakuja kwenye blog yako ili niyapate. Kama utayaweka huko. Ila kwa kuwa umeamua kuanzisha huu uzi ungeyaweka tuu. Maana ni wachache watakaopata faida usipoyaweka ndugu.
Write your reply..
Tatizo la wengi humu ni uwezo mdogo wa kufikiri. Hebu jaribu kujiuliza kwanini mtu mwenye kifafa au mataahira wanazidi hasa kipindi cha mwezi mpevu?
Ukijiuliza hayo utagundua kuwa kweli kuna namna fulani tunabe controlled na mizunguko ya sayari na mwezi.
Dah!!!!! Mkuu umenigusa sana. Kuna wakati mwaka 2012 niliwahi kusoma habari za beam project nikashtuka sana. Ilinibidi niingie kwenye vitabu vya dini kuchimba sana mambo haya.
Kiukweli jamaa wanazingatia sana utabiri uliotolewa kwenye biblia na wako makini sana ili kusitokee makosa. Lengo lao...
Tukio la titanic lina sura mbili tofauti na zote zinaweza kuwa sahihi.
Kwa upande wa maono ya kiroho inawezekana sana maana kuna watu wana uwezo wa kuona jambo litakalotoke miaka michache ijayo na likawa kweli (means likatokea kama alivyoona au kuota). mifano ya watu wa namna hiyo ipo kama...
Kwa kuongezea ndugu yangu nashukuru unakiri kuwa walioandika ni watu tofauti. Tatizo ni baadhi ya wakristo kuamini kuwa walioandika waliongozwa na roho mtakatifu kitu ambacho si kweli. Roho mtakatifu anaujua ukweli wote hawezi kukosea idadi ya watu au asijue jina la mtu. So hizo ni hadithi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.