Search results

  1. Patricius

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    whatndo u mean @ Nuraj
  2. Patricius

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Ungepost mwenendo mzima wa kesi namna ilivyokuwa ni darasa la kiukweli Kaka....
  3. Patricius

    Obama kama Karl Peters; Kikwete kama Mangungo wa Msovero

    Aiseee Wewe Kweli Ni Kenge!!!!
  4. Patricius

    Obama kama Karl Peters; Kikwete kama Mangungo wa Msovero

    Bwana Ribosome Nadhani Si Mtanzania wewe!!!.... Kama hayo unayopost ndo Imani Yako Basi wewe si mt ni nyoka pole kwa Kukuambia Hivyo Lakini wewe huendi Kabisa na Mtazamo wa WanaMageuzi!... Hivi Kweli kabisa UnaUnga Mkono Hatua ya Wageni Kukabidhiwa Ardhi na rasiliimali zetu Ukadhani kuwa...
  5. Patricius

    Mbowe, Dr Slaa kulitikisa Jiji la Dar Jumamosi Ijayo

    Naomba Kufahamu kama mtatumia Radio pia kurusha Matangazo hayo kama ilivyokuwa kwa VuaGamba va Gwanda Arusha NMC tuliwapata vizuri sana Kupitia Arusha Mambo Nashauri Pia Na Huo wa Dar Mngetumia Huduma Ile ile ili umma mkubwa zaidi wa Chadema Ufaidike Tafadhali ! I ll tun on expecting that U ll...
  6. Patricius

    Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    Ukiona mtu anaandika matusi usimwelewe vibaya haya mambo yanayoendele katika nchi yetu ni ya ki§#k¤@*u€€$*ma.. Hivi ni nini mustakabali wa nchi yetu ktk hali hii mbona kama inaendeshwa na watu wasio WaTanzania?????? Nani aniambie kwa hakika hatima ya nchi yetu????? Watu wanang'ang'ania...
  7. Patricius

    Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    Mungu Hata lini utawaacha wasio haki na wadhalimu wawatese watu wako hata kuwaua?... Eee Mungu uwe na huruma, uwakumbuke watu wako, uwalinde watu wako, uwatetee watu wako... Kuna faida gani kuona wachaMungu wako wakionewa?... Wakifa kila siku?.. Hata lini wasio haki watajitukuza juu yako...
  8. Patricius

    UShindi wa CCM Igunga ndo tiketi Ya LOWASA 2015

    Ajabu kama kuna watu wanamqualify Huyu ndugu yetu kuwe mgombea wa Urais.. Hivi tunafikiri kweli? Tuna kumbukumbu nzuri kweli Jamani?.. Nadhani ingefaa watu kma hawa wakachekiwe na Psychiatrist please...
Back
Top Bottom