Search results

  1. R

    CHADEMA kupata pigo kubwa, Kupoteza Mbunge na Madiwani wengi kwa ACT Kigoma.

    ....hawa jamaa vipi adui hapa ni ccm....vipi nyie,kwa gear hiyo hamna kitu hapo
  2. R

    Katiba Mpya: Wabunge acheni uchama

    ....katiba mpya inapatikana barabarani.....na ina andikwa na damu....ccm hawawezi kutoa haki hiyo mkononi mwetu....na haki yetu hatupaswi kuomba....ni ndoto kupata katiba bora bila kuforce....so tuwape muda waaze then tukiona changa tu macho twendeni barabarani.
  3. R

    ACT ni mbadala wa CHADEMA au CCM?

    ...ngoma ya chadema mnauweza?...ndio maana mnatumika na ccm....tuweke macho.
  4. R

    CHADEMA kupata pigo kubwa, Kupoteza Mbunge na Madiwani wengi kwa ACT Kigoma.

    ....hamkujifunza kutoka ADC?...hAKUNA chama makini kama chadema hapa Tanzania.
  5. R

    BUNGE LA KATIBA: Yanayojiri leo tarehe 27/02/2014

    ..... katika kutetea misingi ya nchi tuwe tayari kufa au kumwondoa yeyote mwenye kutuyumbisha....tusikubali kuyumbishwa kamwe...WAZALENDO KAMA KUNA UCCM HAPO RUDINI ILI TUDA KATIBA NKW NJIA WATAKAO IELEWA.
  6. R

    Waraka wa rasimu ya Katiba mbadala----By CCM

    ....kwani CCM nao si walitoa maoni yao mbele ya tume ya warioba? kama jibu ni ndio so waraka wa rasimu mbadala wa nini?...Rasimu ni ile ilitolewa na tume ya warioba hiyo CCM ni ya MAFISADI....NYIE WABUNGE TUNAWASOMA VIZURI SANA YEYOTE ATAKAYE KENGEUKA ASIJE KULAUMU MTU HAPA...SI MMEONA...
  7. R

    Uzinduzi wa kampeni za CCM jimbo la Kalenga,Mwigulu Nchemba atikisa Kalenga

    ...katika ufisadi kama richmond,epa,ujangili,uharamia,uwizi wa pesa za umma,upendeleo kwa watoto , familia zao,jamaa zao,ukwepaji kodi....mfano katika wilaya nitokako ya rorya ccm ndo wameshika wanaiba mpaka wanasahau fedha walizonazo.....fedha za vijana,hakina mama,miradi yote ndani...kalenga...
  8. R

    Tayari nimepata chama cha siasa

    ...jiunge na makamanda...hakuna chama makini kama chadema TZ,NJOO wasubiri nini?
  9. R

    Rais atoe tamko waraka wa rasimu ya katiba mpya wa CCM’

    Rasimu ni ya Warioba ni aibu CCM kuwa rasimu yake kwani nayo si ilitoa maoni mbele tume?...sasa rasimu nyingine yatoka wapi? je sheria inaruhusu rasimu kuandaliwa na makundi?....CCM inakwenda na punde itatumia mabavu na hapo ndo watabondwa vibaya kwani risasi haitazuia.....na kama wanasikia na...
  10. R

    Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, then "Twende kwenye Serikali Moja!"

    .....wewe hausomi,serikali moja haiwezekani,Zanzibar itapoteza na siku watadai tena zanzibar yao serikali 3 iko poa maana mguu moja ndani moja nje.
  11. R

    Katiba Mpya: CCM tumejitengenezea mazingira magumu ya kisiasa

    CCM inakwenda....ndo historia ilivyo wala majeshi,risasi haita saidia
  12. R

    Huku ni lazima wamelogwa na hatutoki ;

    .......Tanganyika must,la sivyo huku nako itakuwa kama zanz tutawatimua
  13. R

    Ibara ya 44 ya Rasimu ya Pili: Haki na wajibu wa Kijana (huu ni zaidi ya usahaulifu)

    .....rasimu imewatambua vijana so kama tuna srikali makini si ya ccm basi sheria na sera mbali mbali zitatungwa mkuu
  14. R

    Tazama saini za maafisa wa ikulu sakata la wapentekoste kutochaguliwa bunge la katiba

    PCT wametoa ushahidi wa kuaminika...haya Ikulu kaneni hizo saini kama sio za watu wa mapokezi?.Nawashauri PCT wasiache hilo suala likaisha hivyo kwa sababu Ikulu wamekanusha kuwa hawajapokea majina...kuna suala la uwajibikaji hapo...PCT...mimi mtaalam wa nyaraka kama walipeleka barua kwa...
  15. R

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    napendekeza serikali tatu sb ni kama za jaji nyalali,jaji kisanga na jaji warioba lakini sb nyingine nikuwa wazanzibar wamegeuza tanganyika shamba la bibi kwa kutoa uraia wa tanzania ovyo kwa waarabu then wanakuja bara na kupata haki za kiraia kwenye kupata mali ya asili kama ardhi na huduma...
  16. R

    Yathibitishwa, Dr Ndalichako aondoka NECTA

    Ndio ameondoka........nashangaa mfumo wa elimu ya Tanzania ina politics nyingi na ukweli ni zero... angalia shule za serikali hoi.....hoi na hakuna kitu pale wao ni deal tu za michango ya choo,mlinzi,maji,umeme nk ameondoka sb serikali inataka kuwabeba waliofeli bila kujua kuwa wanaathiri...
  17. R

    Prof Shivji Ampa Darasa Mzee Warioba, wajumbe wa bunge la katiba someni ili msiyumbe...

    ....nashangaa mpaka mwanasheria mkuu anaropoka kuwa wajumbe wa bunge la katiba wana haki ya kubadilisha rasimu! nape naye aliropoka hivyo hivyo! nimemsoma vizuri PRO. kumbe wajumbe hawana uwezo huo. ashante pro.
  18. R

    Wana-CHADEMA hata hili hamlioni,kweli mmeshikwa pabaya

    .....posho chukueni makamanda mzilete tujengee chama,Zito mnafiki tuu.
  19. R

    Hoja za Mwalimu Nyerere kupinga serikali tatu Tanzania

    ......muungano...muungano mie nadhani hakuna haja ya muungano wa nini?....zanzibar haina chochote pesa,biashara,teknolojia ina udini tu ambao haita saidia katika dunia ya leo...sb ya muungano hakuna tena so nawashauri wazanzibar wawaunge mkono jumbe,moyo na wengine ili zanzibar iwe nchi kamili...
  20. R

    CCM:Hamtabaki salama kama mkifanikiwa kuchakachua maoni ya watanzania ktk katiba mpya

    ....jamani wa tz vipi!,mnatengeneza katiba ya nchi...mliunda tume ya kukusanya maoni iliyokuwa na wataalamu mbali mbali,wakasafiri kila kona ya ardhi hii,wa tz wakatoa maoni yao...so hayo ya kwenu mnayokuja nayo mmeyatoa wapi?...jukumu la bunge la katiba si kubadilisha maudhui ya katiba bali ni...
Back
Top Bottom