Wabongo bwana COMPLICATIONS kibaooo,sawali la kawaida hata mi najiuliza sasa cha ajabu nn?kwani kuna siri kama muheshimiwa Regia alikuwa mlemavu?kwani kuna tatizo gani kuuliza sasa huvi mbona misibani watu wanauliza marehemu kafaje?acheni kuleta siasa kila sehemu...wote mliokwazika ni CRAAP...
Habari wadau wa forum,
naomba kujua nawezaje kuuza ideas?
je ni lazima niwe kwenye registered company or agency?
maana ilishatokea nikaandika PROPOSAL ya kuhusu TV show na kupeleka TBC but mwisho wa siku sikupata any feedback na kibaya zaidi wanaitumia idea yangu,kuna kipindi kipya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.