Search results

  1. Revolutionist

    Usalama wa Taifa Chunguzeni Msikiti wa Vingunguti Viwandani

    Mkuu, Nimeipenda sana hiyo signature yako.... :)
  2. Revolutionist

    Usalama wa Taifa Chunguzeni Msikiti wa Vingunguti Viwandani

    Hahahahahahaa......nimependa swali lako.. Maana Hitler alikuwa gaidi lakini hata siku moja sijasikia kuwa alikuwa anajua kareti.
  3. Revolutionist

    Usalama wa Taifa Chunguzeni Msikiti wa Vingunguti Viwandani

    Ulitaka wakafundishwe kanisani? Kwahiyo kumbe shehe akisema tuu tayari unasadiki, kwanini usifike mwenyewe na kujionea? Unaishia tuu kudandia treni kwa.... Usishushe hadhi yako kwa upofu wa kishabiki..
  4. Revolutionist

    Usalama wa Taifa Chunguzeni Msikiti wa Vingunguti Viwandani

    Mkuu, hata usishangae maana hata mtume alielezea kuwa itafikia wakati uislamu utachukiwa kama nyoka..
  5. Revolutionist

    Baada ya FBI kutua nchini, sasa Redio Imani wakimbia kivuli chao, wahubiri amani

    Mkuu, na mimi nimeyapenda maneno sijakapenda kabendera.
  6. Revolutionist

    Baada ya FBI kutua nchini, sasa Redio Imani wakimbia kivuli chao, wahubiri amani

    pointless...yaani hata hujui kupangilia propaganda yako...kajipange tena
  7. Revolutionist

    Makamu wa pili wa rais Zanzibar hatambuliki bungeni - Makinda

    gazeti gani...naomba mwenye source tafadhali...
  8. Revolutionist

    Mahojiano Ya Mwandishi Jackton Manyerere Na Wana- Uamsho Zanzibar

    Haya ndiyo madai ya Uamsho kuuvunja Muungano: • Wasema bayana kwamba wanataka Zanzibar iwe ‘Sovereign State', ijitawale yenyewe • Wasema Dar es Salaam ilikuwa ya Zanzibar, maili kumi kuingia ndani, mikataba ipo • Kiongozi ahoji: Kilomita chache zinakushughulisheni wakati...
  9. Revolutionist

    Uamsho waijibu UVCCM na Steven Wassira

    Siku chache baada ya UVCCM kudai kuwa uamsho wamo serikalini, taasisi hiyo ya Uamsho imeibuka na kujibu hoja hizo kama ifuatavyo: --------- Tunawajibu Stiphen Wasira na UVCC Jana tulisikia kauli zenu na mkasema Uwamsho wapo Serikali, sisi tunayakubali maneno yenu na tunakiri kuwa ni kweli...
  10. Revolutionist

    Naibu amiri wa jumuiya ya uamsho awasili Zanzibar akitokea Oman

    Mpaka sasa hakuna ushahidi kuwa yeye ndo mfadhili, kuijua jumuia hiyo bonyeza hapa Kuhusu Uamsho « Uamsho Zanzibar au katika page yao ya facebook Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar | Facebook Halafu kuhusu habari kuwa amedakwa ni uzushi.. Azan alirudi na kuhudhruria mkutano...
  11. Revolutionist

    Majibu ya Mhariri wa gazeti la Nipashe kuhusu kuwahujumu waislaam kupitia Redio Imaan

    SIJUI KWANINI WANAPENDA KUTUMIA FAKE PHOTOS.. HATA BBC NAO WALITUMIA FAKE PHOTO...SOMA HAPO CHINI BBC yalaumiwa kwa kueneza picha bandia za kuipaka matope serikali ya Syria Televisheni ya utawala wa kifalme wa Uingereza BBC imelaumiwa kwa kutumia picha bandia iliyopigwa miaka 9 iliyopita...
  12. Revolutionist

    Gazeti Al-Nuur lifungiwe

    MODERATOR(S): KWANINI HII POST IMEWEKWA KATIKA JUKWAA LA SIASA? MIMI NASHAURI IPELEKWE KATIKA JUKWAA LA Habari na Hoja mchanganyiko
  13. Revolutionist

    Je, wajua yaliyowaponza mawaziri?

    Zifuatazo ni baadhi ya tuhuma zilizokuwa zimeibuliwa na CAG kwenye wizara za mawaziri hadi kupelekea kuwaponza mawaziri hawa:- Mustafa Mkulo: Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo ndiye aliyekuwa waziri wa kwanza kutakiwa na wabunge ajiuzulu. Mkulo alituhumiwa kuvunja Bodi ya Shirika...
  14. Revolutionist

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Au labda keshapewa fungu lake kwaajili promotion?
  15. Revolutionist

    Aliyeanzisha Udini Tanzania ni Nyerere

    Nashkuru sana "profkobayashi" nimekipata hicho kitabu (Mwembechai Killings) katika "HTML" kwenye hii link Mfumo Kristo: Mwembechai Killings
  16. Revolutionist

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    NDUGU ZANGU WA JF; MMESHAHI KUISOMA HII? Lowassa asipokua rais 2015, mniue – AskofuKiongozi mkuu wa kanisa la Last Glory Church la hapa nchini Basileus Ezekiel Mabumba, amesema amepokea ujumbe kutoka kwa Mungu unaoeleza kuwa Waziri Mkuu aliyejiuzuru, Edward Ngoyay Lowassa, atakua rais wa...
  17. Revolutionist

    U.S. warns Iran on Strait of Hormuz

    Aisee, kumbe miradi ya nyuklia ya Iran inafanyika chini ya IAEA?
Back
Top Bottom