Search results

  1. mashikolomageni

    Elections 2010 Kate Kamba ni nani hasa na anasimamia nini?

    University of Dar es Salaam - Directorate Of Internationalization, Convocation & Advancement [University of Dar es Salaam - Directorate Of Internationalization, Convocation & Advancement] is good,have a look at it!
  2. mashikolomageni

    RPC Olomi aliyesimamishwa kazi Kagera ni nani ?

    Wewe pia umechanganya Madesa wakati Mkapa ni Rais wa nchi hii Mrema AL ni Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi
  3. mashikolomageni

    UGANDA: Watanzania 13 wa familia ya Gregory Teu, wafariki katika ajali. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Mungu awapokee marehemu wote, huku tukiwaombea majeruhi wapone haraka, bila kumsahau majeruhi wa risasi aliyeko Nairobi
  4. mashikolomageni

    Sakata la Makonda: Ruge wa Clouds Media ahojiwa na Polisi

    Mashetani/ Pepo za Baba Askofu ziko kazini
  5. mashikolomageni

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Pole mkurugenzi Maxence Melo tujipange tu maana non of us is safe!!!
  6. mashikolomageni

    UHABA WA SUKARI: Paul Makonda aendesha msako, tani 4 zakamatwa Kinondoni

    Mpaka kieleweke tu hawawezi kuchezea Government ya Serikali!!
  7. mashikolomageni

    Mbunge Martha Mlata azuiwa JKNIA kusafiri, hakuwa na kibali cha Ikulu

    Mtumishi wa umma/serikali unaposafiri kwenda nje ya nchi kwa safari binafsi au ya kikazi/ masomo, unajilipia mwenyewe au unalipiwa na yeyote serikali/ wahisani ni LAZIMA uwe na kibali cha kukuruhusu kufanya hivyo.
  8. mashikolomageni

    Ukweli ni kwamba Magufuli alikataa kata kata boti za Azam kwenda ziwa Victoria

    Hizo meli zilifika mwanza na kufanya kazi kweye ziwa victoria lakini baada ya muda mfupi zikawa tishio kwa maisha ya wasafirin na ndipo SUMATRA ikazifungia mwaka 2008 hadi leo hazijzkidhi matakwa ya sheria MELI HIZOZILIKUWA BOMU ZINGEACHWA ZINGEKUWA KIAMA KWETU. #HapaKaziTu
  9. mashikolomageni

    Sita na Uzinduzi wa Reli Mpya 15/09/2015 Ulifanyika? Nijulisheni

    Huyo Laigwanani ni kweli alisema atajenga reli kwa kiwango cha lami
  10. mashikolomageni

    Ofisa wa NEC matatani ni baada ya kumuita Lowassa Rais akimkabidhi fomu

    Duh bonge la mistake!!! Angefanya mistake hii siku Magufuli anachukua form angepata Promotion kesho yake tu
  11. mashikolomageni

    Paul Sozigwa amepotea katika mazingira ya kitatanishi

    Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV saa 2 usiku huu kuwa Mzee Paul Sozigwa amepotea nyumbani kwake Magomeni. Huyu mzee alikuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM zama za Mwalimu JKN
  12. mashikolomageni

    Leticia Nyerere atimkia CCM

    Kaolewa na mtoto wa Nyerere JK. Godfrey Madaraka
  13. mashikolomageni

    Leticia Nyerere atimkia CCM

    Huko ataruhusiwa kutumia jina hilo bila kikwazo
  14. mashikolomageni

    Picha za uongo zinazotumika za Amboni

    kwani hamjamuona gaidi anasema "Mheshimiwa Rais" kama Bongo movie, Jambazi anavua viatu mlangoni.
  15. mashikolomageni

    Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Tatizo waislam wamekuwa wakitumiwa na sisiemu bila wao kujua na sasa uongo utasambazwa sana ili kuunga mkono hiyo sheria mpya na Katiba Pendeza halafu mwisho wa siku 0-3 (tatu bila)
  16. mashikolomageni

    Iringa: Mwanajeshi alewa chakali na kulala katika mfereji wa maji machafu

    Mjeda kazidiwa na viroba hadi kusahau anakoenda nae amedhalilisha jeshi? Atafukuzwa kazi?
  17. mashikolomageni

    Kikao cha dharula: Kitimoto kwa wabunge wa CCM wanaopigia kelele Escrow

    Poa Kamanda tujulishe Kila kinachoendelea huko
Back
Top Bottom