Search results

  1. K

    Unaanzaje?

    Eti bibi kule dodoma nae anataka kuangalia tamthilia, anatakamkuangalia tamthilia, au unanishaurije
  2. K

    Yaani siku hizi ukigusa tu, unapewa bila hiyana...

    Ndo yalee ya maharage ya mbeya!
  3. K

    Kibanda cha biashara kinauzwa

    Habari wana GF, Kwa wale waliopo Arusha. Nina uza kibanda cha biashara kipo Arusha pia. Specification 1. 2M x 2M x 2.5M, kwa maana ya upana, urefu, na kimo 2. Material: bati gumu gauge 18 3. Kina hamishika 4. Bei Tshs 550,000 hata maelewano yapo kwa anaye kihitaji Anaye kihitaji anaweza...
  4. K

    Je unaitaji gari?

    Nahitaji Noah limited, below cc 2000
  5. K

    Tabia za akina dada zinazonikera!!

    25. Siku ya kwanza tu kukutana, anaanza kodi ya nyumba imekwisha, oooh mtungi wa gesi nao umeisha, inaboa sana.
  6. K

    Nchi yetu Inavyodharauliwa na Wakenya

    Mimi siwashangai sana hawa jirani zetu, wapo brain washed, sababu ushindi wa obama kwa nchi yake marekani wao walifanya mapumziko ya kitaifa kwa siki kama mbili hivi. Najiuliza wa amerika, au obama amewasaidia nini wakenya leo?
  7. K

    Nimemtumia message hii mpenzi wangu sasa hivi, nisaidieni mawazo

    message yako ameipataje sasa kama cmu yake ipo blocked, na amewezaje kuijibu???
  8. K

    Urgently needed: Field research assistants in babati

    Taja malipoi mzee 0768-616744, 0718-170954 niko bbt
  9. K

    Kocha julio maiti isiyonuka

    Tatizo kubwa hapa kwetu sio kocha gani anafaa kufundisha taifa stars, bali ni mfumo mzima wa timu zetu kuanzia ngazi za vilabu. Hata kama tukampa Sir Ferguson hii timu hawezi kuleta miujiza, kwa sababu atawatumia hawa hawa akina J Jabu, Nadir, Ngasa, Ndinti, Dihile, Samatta, Mgosi, kwa sababu...
  10. K

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    kama kuna mahema ngoja niende hom chap nikabebe koti tunakuja washikaji kibao
  11. K

    ITV: Mh. Mengi adai Manji amerudisha fedha za kifisadi

    Hapa Tz Rais tunaemtaka ni kama vile Jerry Rolling aliekuwa rais wa ghana aliyefanya house cleaning, nas io vinginevyo!
  12. K

    Hivi hii ni fashion kwa wadada?

    Sawa kabisa nakubaliana na wewe, sababu hata kama hana lazima alete zengwe, lakini muda fulani ukipita bila kumtafuta atajifanya anakupigia cmu kutaka kukusalimu.
  13. K

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Sina uhakika kama wameshatajwa hawa watu, Kassim Mikongolo Salum Mbonde Zainabu Bongii, Martha Ngwira, Resistuta Bukoli - Shinyanga Mafundi mitambo Fundi Juma Kengele James Muhilu, Noel Namalowe Crispin Lugongo Saidi Tunku Abdallah Mkosolwa Maderva gari la utangazaji na OB Van Abdallah...
  14. K

    Muweka hazina wa CCM, mbunge Iramba Magharibi akimbia maswali ya posho na katiba

    Ni kweli majimbo ambayo yapo nyuma ki-maendeleo ndio mtaji kubwa wa kwa ccm, tazama singida yote, dodoma yote, wao bado wanashangilia kupata naibu wa spika bungeni wala hawana haja na maendeleo, tazama igunga, tabora yote, mtwara yote , lindi yote, tanga yote, ni maeneo ambayo kwa kweli yapo...
  15. K

    Huyu dada nampenda sana.

    Kama kweli unampenda age is just a number!!
  16. K

    JF ladies mnaweza?

    I agree with you! Issue sio kuwa na condom, Issue ni matumizi yake na hasa katika mazingira ya ulevi. Ki mahesabu inaaminika kuwa anae drive the overall sex interaction ni mwanaume Hivyo mwenye kuamua whether to put on condom or not ni mwanaume, very few women who dare to make sure that...
  17. K

    Viburudisho vya Dar

    Lipi sasa?
  18. K

    Jinsi nimwonavyo NILHAM RASHED . . . .

    Nyumbani anafaa, hana haja ya taa Kila kitu anafaa, sio vyote hukataa Karata nampa shwufaa, mizungu kukataa Kweli binti kaumbika, hapo sina ubishi.
  19. K

    Organization inayolipa vizuri

    Vile vile subiri katiba ya nchi ibadilishwe uumbe kazi tume huru ya uchaguzi.
  20. K

    Tanzania Vs Sudan

    Mwenye matokeo, please atafahamishe, mechi ilikuwa ianze saa 9.00 mchana kule Misri, kutafuta mshindi wa tano.
Back
Top Bottom