Search results

  1. T

    Prof. Mwesigwa Baregu: Mzozo wa CHADEMA unatokana na wanachama.

    Zzk amewanyima usingizi.Tujadili hoja siyo hizo "siasa za makengeza" mnazotaka kutuletea Cdm.
  2. T

    Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

    Heaven on earth Mweleze huyo Diamond na girlfriend wake.. tunaupenda mziki wake ila atambue nguvu ya social networks atumie ku post kazi zake na sio "bedroom life". Mambo ya kuungua na mshumaa unayajua wewe. What we deduce they are trying too much to show watu kwamba wanapendana inahusu?? Mambo...
  3. T

    Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Hili jambo linaumiza sana. Wako wapi wanaharakati....au wao ni siasa tu. Inabidi wake na wategemezi wa wafiwa waandamane.. Wengine wako kwa raha zao wanalipwa mshahara kuhakikisha mambo yanafanyika kwa usahihi lakini hawafanyi hivyo. Sasa hivi wanatoa press release za kijinga kijinga (refer to...
  4. T

    Naomba ufafanuzi juu ya mkopo aliochukua(?) Dr.Slaa kutoka kwenye akaunti ya CHADEMA

    Ni muhimu CDM ikajiweka sawa na kujitofautisha na vyama vingine. Taasisi muhimu kama hii haiwezi kuendeshwa kimagammagam...semeni ukweli...mjisafishe. Wananchi wanatamani chama mbadala ila kwa staili hii mpaka 2015 mtakuwa mmeshatuchosha. Matendo yenu yanatakiwa yaturidhishe kuwa mko tofauti na...
  5. T

    Hatma ya Ndoa ya Dr Slaa na Josephine leo: Ni Rose kamili au Josephine??

    Haki?? Josephine ana ndoa ya kanisani. Na yeye pia anaruhusiwa kufunga tena ndoa ya kanisani??? Double standard
  6. T

    Haya ndio majibu ya Mh. Zitto ya kukosekana kwenye m4c

    Give the guy a break. Wandugu kila siku Zitto...Zitto. Nayeye ana maisha yake na mitizamo yake.
  7. T

    Bumbuli Development Corporation announces new board of directors

    Colonized minds.................wakoloni kibao wa nini? Africa for Africans... using african solutions. Umesahau facet muhimu sana ya uwakilishi hao unaotaka kuwaletea maendeleo. Kwa mfano ungeweza kuwa na wanabodi ambao ni Mkiti wa wafanyabiashara wadogo, mkiti wa kikundi cha kinamama...
  8. T

    Tathmini: M4C Fundraising Dar wapi hapakuwa sawa na nini Kifanyike

    Shughuli nzima ilikuwa haijapangiliiwa vizuri. Ni lazima muwe na ujumbe mahsusi ili kuweza kuwa convince watu mnachokifanya na sio kuropoka against CCM. Tell us your M4C story. Acheni lugha za kihuni. Jifunzeni protocol! Sio kila mtu anaongea kwa vile tu ni mashuhuri. Sasa kwanini anaaanza...
  9. T

    Vigogo wagawana viwanja vya Gezaulole

    Ndio maana wanakuwa wakali wanachi wa Kigamboni wakitaka fidia kwa bei ya soko wao wameshajipatia.....:nerd:
  10. T

    Wasifu wa ndani Mh. Catherine Magige na nia yake ya 2015

    si habari ya kutoka jasho. Kama mnamjadili bidada mjadilini kwa heshima. Sio habari ya kumvua nguo hapa. Jadilini siasa sio analala na nani.Period.
  11. T

    Safi! Mbunge wa Kigamboni - (CCM) kesha kinukisha!

    Hongera sana Mh Dr Ndugulile umetuwasilishia hoja yetu ya Kigamboni vizuri sana. "Kimenuka". Umenifurahisha sana uliposema serikali iache kazi ya udalali.
  12. T

    Mume wangu ananipenda?

    Nimeolewa miaka saba iliyopita, ila mpaka leo sina hakika kama mume wangu ananipenda kweli au la. Amebadilika mno. Kwa miaka 5 hivi hajawahi kuniambia 'i love you' au kunitajia kitu chochote romantic. Mapenzi yetu yamebadilika sana unaona kama vile anakuwa na wewe kutimiza wajibu tu haonyeshi...
  13. T

    Profesa Muhongo: Nimekuta 'madudu' ya kutisha TANESCO

    SAMICO? meaning STAMICO
  14. T

    JB: Mganda huyu ni nani na anafanya nini Tanzania?

    nakubaliana na wewe...mwenzetu akifanikiwa sisi ni kumpiga mawe na majungu tu. Raha yetu tutumikishwe na waarabu na wahindi. Give the man a break! Kila mtu akifanikiwa anakwepa kodi!!! Hii mentality inatumaliza jamani tufunguke..sio kila tajiri ni mwizi.
  15. T

    Let's share the story: experince ilikuwaje ulipofanya maamuzi magumu ya kuacha kazi ya kuajiriwa?

    Uwiiiiiiiiiiiiiiiiii Hi thread inaniumiza sana. Nina a profession ambayo nikiamua kuwa self employed ninaweza kutengeneza kwa kiwango cha chini laki 1 kwa siku. Nimeajiriwa mshahara wangu hauzidi shilingi laki 6. Kweli kuajiriwa ni utumwa. Nimejiwekea malengo niache kazi mwaka ujao!!!!!!!:A S...
  16. T

    Share Container - Mtandao Mpya Kwa Waagizaji wa Vitu Kutoka Nje

    Hongera Gen X ....ufanikiwe. Unanipa changamoto kwa sisi tuliolalia idea zetu!:A S crown-2: Ila nafikiri pia ingepatikana ya East Africa kwa cargo nayo ingeweza kufanikiwa. Ila sina uhakika kama wasafirishaji wetu wana access sana mtandao.
  17. T

    TFDA yatangaza dawa hatari

    TFDA fanyeni kazi msilete usanii hapa! Nyie ndio mnaoregister importers wa hizo dawa na mmewekwa kwenye ports kujua nani kaleta nini na batch gani...sasa mnatutangazia sisi ili iweje? wafateni hao watu waziotoe kwenye circulation. Shida yenu mnachumia tumboni tu....mtu akitaka huduma rushwa...
  18. T

    Kigogo CCM ashinikiza mchapaji kuharibu nakala 10,000 za Raia Mwema

    Dawa na sisi tususie biashara za mafisadi na vibaraka wao. Tuanze na hao Jamana Printers.:embarrassed:
  19. T

    Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

    :teeth::teeth::teeth:Ameamua kutokuja kabisa....au angekuja angekaa upande wa kafu:teeth::teeth:
Back
Top Bottom