Search results

  1. T

    Mwanangu ananyonya sana!

    Kuna mahali nimesoma kuwa mbegu za maboga zinasaidia kuongeza maziwa..
  2. T

    Msaada kuhusu mimba

    Kwa kalenda ya kawaida km alianza period trh 29 ina maana trh 18 hakuwa kwenye siku za kupata mimba. Km siku zake hazijibadilibadili
  3. T

    RAI: Majina ya viungo na vyakula kwa kingereza na kiswahili

    Naomba ya Celery Parsley Thyme Star anise Bay leaf
  4. T

    Akiamka usingizini, anachoka kusimama

    Fuata ushauri hapo juu Halafu hakikisha anakunywa maji mengi
  5. T

    Dawa ya kuongeza nguvu za kike

    Unamwandaa vyakutosha? Mazingira mnayofanyia ana amani nayo? Chunguza mlo wake: Ni mafuta mafuta tu:
  6. T

    Njia za asili za uzazi wa mpango(Natural birth control methods)

    Habari wapendwa Naomba maelekezo na ushuhuda ikiwezekana namna ya kutumia mbegu za mnyonyo kuzuia mimba. Please msaada
  7. T

    Nini Kifanyike Ili Viganja Viwe Laini?

    Kabla ya kulala chukua maji ya uvuguvugu. Kamulia limau halafu ganda litupie humohumo. Loweka mikono yako kwa dk 15 Ukitoa paka mafuta ya nazi au Vaseline au ya mzeituni(extra virgin olive oil) kila siku. Halafu chagua sabuni zisizo na kemikali kali
  8. T

    Mambo 10 unayoyafanya yanayo haribu figo lako mwilini

    Mungu akupe maisha marefu Mzizimkavu
  9. T

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Habari za asubuhi wapendwa! Naomba kujulishwa/kuelekezwa au hata mawasiliano ya mtu mwenye mashine ya kutotolesha mayai Morogoro au Kilosa mimi niko Mikumi.
  10. T

    Hali tete mazishi ya mchungaji aliyeuawa Buseresere

    Wachungaji? suspect? na walisemekana kuvamia mabucha ya wenzao wameachwa?
  11. T

    Msaaada: Minimum requirement of dhcp server

    Wapendwa habari za mishughuliko? Naomba mtu atakaye nielekeza kwa lugha rahisi Minimum requirement for DHCP server .PLZZZZZZ!!!!!
  12. T

    nifanye biashara gani mtwara?!

    Habari zenu wapendwa! naomba niwaulize nnaweza kufanya biashara Mtwara au kati ya Mtwara na Dar? Naomba mnisaidie plz?
  13. T

    Nahitaji mkopo wa kuboresha biashara yangu

    ina maana hata mtu ambye sio mfanyakazi wa serikali anaruhusiwa kukopa NMB?
  14. T

    Vifaranga chotara

    mimi ni mfugaji NAKUMINI kuhusu kutaga mayai 45, nataka kujua bei
Back
Top Bottom