Search results

  1. R

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    Duuuuuuuuuuuuuuuuuu!!! Samahani jamani nisaidieni kujua historia ya huyu mtu? Akulia wapi? Amesoma wapi? Inasikitisha sanaaaaa!!
  2. R

    Mgogoro wa Madiwani wa CHADEMA Arusha: Lema anahusika

    Wana JF tutafakari kwa makini sana! Lengo la mwisho ni nini kwa madiwani kukataa kushirikiana na wenzao?? Mimi mpaka sasa bado sijapata mbadala ya kukaa chini na kukubaliana kumalliza malumbano na kuleta maendeleo kwa wananchi. Kama kuna jambo la wazi, makao makuu ya chama toeni hoja yenye...
  3. R

    Magazeti ya Kenya na dhihaka kwa Rais wetu

    Sasa, Citizen waandike nini kuhusu rais wa Kenya?? Uchumi wao unaelekea 'Uchumi kati' Sisi tunahangaika na kina Rostam, Chenge na EL....!! Wacha wamwandike maana nadhani ulimwengu haujui kuhusu huyu mswahili; Nchi imemshinda kabisaa alafu yeye wala hajali!!!!!
  4. R

    Wapinzani Tanzania ni Wanafiki - SAMWEL SITTA

    Tukumbuke Mh Sitta alijilimbikizia mali akiwa Spika wa bunge. Sema yote ila kwa swala la kupata faida ukiwa bungeni!! Mh Sitta ni mdhaifu. Hatufai kuwa kiongozi wa nchi hii.
  5. R

    Ukirusha mshale, ukasikia 'Chwiiii chwiiiii!' Jua umempata:iko hivyo bungeni

    Hii imetulia, ccm hawana msimamo... na hata huyo Sitta haeleweki kama CCJ!!!!!!!!!
Back
Top Bottom