Search results

  1. BILLY ISISWE

    Ujenzi wa Reli ya SGR uishie Tabora

    Ufisadi ndio maana reli ya TAZARA aitumiki ipatavyo. Matajiri wa Malori wanafissdo reli hiyo
  2. BILLY ISISWE

    Ujenzi wa Reli ya SGR uishie Tabora

    Ufisadi ndio maana reli ya TAZARA aitumiki ipatavyo. Matajiri wa Malori wanafissdo reli hiyo
  3. BILLY ISISWE

    Spika Ndugai sasa ameipa uzito hoja ya Nape Nnauye kwamba Mikopo yote iliyoingiwa na serikali hadi sasa ikajadiliwe bungeni!

    Anafikiri kina mgao. Mbona anang'ang'ania sana mikopo ya SSH. Si alishangilia sana wakati wa JPM eti alikuwa anaupiga mwingi atauwa upinzani.
  4. BILLY ISISWE

    Ujenzi wa Reli ya SGR uishie Tabora

    Na wewe tuo ujinga wako. Dunia nzima wanajenga Reli. Sisi tunataka kuishia Dodoma. Halifu baadaye tunalalamika. Ohooo Kenya wanatuzidi. Ohoo tungekuwa na reli mpaka kigoma ohoo sii unaona wezetu reli yao inafika mpaka Uganda [emoji1254]
  5. BILLY ISISWE

    Ujenzi wa Reli ya SGR uishie Tabora

    Kwa nini? Inatakiwa tuwe na treni kila mahali, hili kuzuia uaribifu wa barabara zetu. Kuna vitu vingine vya kuzuia. Bwawa la Nyerere, Daraja lq busisi. Madaraja ya kupishania magari nk..
  6. BILLY ISISWE

    Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

    Ndoa na uwarakati wapi na wapi. Kila siku mahakamani mahabusu. Hafadhali ya kukaa na CCM wezake
  7. BILLY ISISWE

    Bila Magufuli SGR isingekuwepo

    Tunasahau mapema sana. Mnakumbuka Mwakembe na Treni zake. Yeye ndiye aliyeanzisha, na kumwachia Mh Samweli Sitta. Na tayari walishaanza mpango wa kukopo Uchina. Na Mh S Sitta alipanga luunza kabya 2014 hili kushawishi Kura kwa CCM
  8. BILLY ISISWE

    Bila Magufuli SGR isingekuwepo

    Ingekuwepo. Si ya umeme, ni kama ya [emoji1139] Kenya
  9. BILLY ISISWE

    Kanali Lubinga: Nilijiunga CCM tokea wakati wa chama kimoja

    Walioingia jeshi kuazia 1993. Awana card ya CCM wala UVCCM.. Chini ya hapo kwenye file zao wana card za CCM au UVCCM. Utaulizwa unataka kuchukiwa kadi yako pindipo ukistaafu? Ukikataa wanarudisha...
  10. BILLY ISISWE

    Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

    Tuna alibaki yetu ya makanikia mil 200. Ziko wapi? Tulishapewa mil 100. Barack
  11. BILLY ISISWE

    Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

    Heee...! Kazi iendelee kwa namna hii. Sio kudhibita matumiA ya serikali kama alivyofanya JPM
  12. BILLY ISISWE

    Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

    Nina wasiwasi na habari hizi... kwanza alivyovaa kofia Barrett. Utadhani ni mwizi. Hakuna cheo change nyota zaidi ya tatu, hii yake inaonysha kuvaa nyota zaidi nne. Halafu JWTZ awana beji yenye msalaba. Rangi ya kombati, ni tofauti na JWTZ.....
  13. BILLY ISISWE

    Yatokanayo baada ya Humphrey Polepole kuvamiwa! Maswali muhimu kwa wahuni

    Lissu ndiye anayetumia KY. CHAMA CHAO HUKO UBELIJIJI Cha mashoga
  14. BILLY ISISWE

    Kama Bulembo anaweza kumdhaliisha Polepole, upi usalama wa waliounga juhudi mkono wakateuliwa nafasi mbalimbali?

    Huyu Mzee ni mwizi wa mali za CCM. Jumuhiya ya wazazi. Anatafuta njia ya kurudisha mali alizo nyang'anywa na JPM kurudishwa chamani. Safi sana Bashiru na kamati yake. Ndiyo maana anawalaumu ...... eti walikuwa wapinzani (CUF na Chadema ACT)
  15. BILLY ISISWE

    Humphrey Polepole kuwa makini, Samaki yake maji

    Wale wote wazi wa mali za CCM. Wanaanza kutafuta namna ya kurudisha mali walizoiba. Tunaikumbuka kamati ya uchunguzi za mali za CCM. Bashiru na wezake na Polepole ni lazima waindoke kwanza. Nape na Mzee Bulembo (Jumuhiya ya wazazi) walikula sana na JPM alirudisha yote kwa CCM chama kikawa na...
  16. BILLY ISISWE

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    TATIZO NI CORONA My frnd. Ha ha ha ha ha haaaaaaa..... I say
  17. BILLY ISISWE

    RC Makalla: Diamond amekataa kuwa Balozi wa usafi Dar

    Bure, eti kwa sababu wanajitolea
Back
Top Bottom