Search results

  1. M

    Natafuta mchumba umri mwisho miaka 26

    Mimi ni kijana nina umri wa miaka 26 nipo Dar es Salaam natafuta mchumba ambae baadae aje kuwa mke wangu umri usiozid miaka 26. Awe anajitambua, awe tayari kuishi na mume, awe mzur wa sura na umbo pia bila kusahau tabia mzuri. Mwenye sifa hizo anicheki kwa namba hizo hapo kwa mawasiliano 0712...
  2. M

    Zimamoto update

    Jaman masajini lini matokeo yake ya usaili
  3. M

    Masajini Zimamoto

    Jaman majina ya waliopita kwenye usaili wa sajini zimamoto vipi mbona kimya?
  4. M

    Matokeo ya usaili wa zimamoto

    Jamani matokeo ya usaili wa zimamoto vp jaman mbona kimyaaaaa sana tujuzane wa JF:ohwell:
  5. M

    Usaili Zimamoto kwa tarehe 28&29/03/2014

    Jaman majina ya sajini yanatoka lini jamani?tujukishane
  6. M

    Natafuta mchumba wa kuoa umri miaka 25

    Mi ni kijana mtanashati umri wangu ni miaka 26 natafuta mchumba wa kuoa umri mwisho miaka 25 kushuka chini sifa kuu heshima,upendo,huruma na uvumilivu pamoja na umbo namba 8 mwenye sifa hzo anichek kupitia namba zifuatazo 0712998696 tafadhal usibp biga ama tuma msg.karibun ulimwengu maridhawa...
  7. M

    Zima Moto Updates

    Jaman majina ya sajini bado tu?
  8. M

    Inasemekana Zimamoto wametoa tena majina ya nyongeza?

    Jaman majina ya sajini bado?
  9. M

    Inasemekana Zimamoto wametoa tena majina ya nyongeza?

    naomba msaada wa herefi I jaman mi sina jinsi.
  10. M

    Zima Moto Updates

    Mmmmmmmh haya bhana
  11. M

    Mama mkwe anahatarisha ndoa yangu

    Nimetoa mahari na ndoa ina miezi 4 tu
  12. M

    Mama mkwe anahatarisha ndoa yangu

    Mama mkwe amemshawishi mtoto wake aachane na mm na kumuambia km ataendelea kuishi na mimi atamuachia radhi mtoto wake nilipompigia cm mama mkwe akasema ndio nimemwambia nikamuuliza sababu gan akasema sina sababu sitaki tu na mtoto wake kaondoka kweli hii wiki ya 2 sasa hataki kurudi kwa mume...
  13. M

    Mama mkwe anahatarisha ndoa yangu

    Mama mkwe amemshawishi mtoto wake aachane na mm na kumuambia km ataendelea kuishi na mimi atamuachia radhi mtoto wake nilipompigia cm mama mkwe akasema ndio nimemwambia nikamuuliza sababu gan akasema sina sababu sitaki tu na mtoto wake kaondoka kweli hii wiki ya 2 sasa hataki kurudi kwa mume...
  14. M

    Usaili wa zimamoto

    Majina ya waliopita kwenye usaili wa zimamoto yanatoka lini tujulishane.
  15. M

    Walioitwa Kwenye Usaili wa Jeshi la Zima Moto

    Jamani naomba tusaidiane juu ya majina ya walioitwa kwenye usaili wa zimamoto yanatoka lini?
  16. M

    Jamani nifanyaje? naombeni ushauri

    Nina mke wangu wa ndoa nampenda sana, nimegundua ana mwanaume mwingine na hataki kuomba msamaha anasema nimpe talaka alivyoona sijampa akaamua kuondoka leo siku ya 3 hajarud nifanyaje naombeni ushauri.
  17. M

    Natafuta mke wa kuoa umri usiozidi miaka 25

    Jaman wana jf natafuta mke wa kuoa umri usiozidi miaka 25 sifa kuu awe anajua nn maana ya mwanaume.
  18. M

    Jaman hawa zima moto vipi mbona kimya?

    Jaman tusaidiane zima moto vipi majina wanatoa lini ya mchujo?
  19. M

    Natafuta mke wa kuoa umri usiozidi miaka 25

    Natafuta mke wa kuoa umri usiozidi miaka 25 mwenye sifa tuwasiliane karibuni sana wapendwa.
Back
Top Bottom