Ukiona haijatajwa ujue ni Dar es salaam!!! Japokuwa ni kujisahau lakini inge kuwa Iringa Mwanza Morogoro nisingesahau!! Hapa ndo tunapojikuta ukitaja Dar es salaam mahali popote asojua anajua ndo Tanzania. . . Kwikwikwii no hard feelings though. .
Sifa: shule diploma ya fani yoyote, kazi customer care dukani, awe mtulivu, mwenye kujipenda na heshima, mwaminifu, Kama Huna diploma basi sifa hizo hapo na mwenye uelewa wa Hali ya juu utafikiliwa.
Nahitaji wafanyakazi kazi inahusiana na customer service? kuuza duka na zingine utaelezwa baada ya interview, kigezo kikubwa uaminifu, kujua mahesabu, shule ni an added advantage, umri vijana mpaka mtu mzima aliyestaafu lakini yuko friendly kufanya nae kazi, i mean sio kuja kuwa mzazi, ahsante...
Kichwa cha habari kinajieleza,frame si kubwa sana ila ipo pazuri sana inatazamana na gate la shoppers plaza Mikocheni, kwa stationary mambo ya mpesa max malipo nk inafaa sana, pia hata activity nyingine yoyote utayotaka kufanya panafaa. . twende pm if you are interested. .
Your boyfriend wants u 2 meet his family, when u got there...
The older brother is ur Ex boyfriend.
The sister is the woman you were fighting with over a man.
The mother is the nurse who begged u not to terminate ur pregnancy years ago but u did.
And finally the father is the sugar daddy...
Mapovu yako yamefanya nipitie huko Nyuma na kugundua kuwa kumbe zile negative comments ni zako tu mi nilijua ni watu tofauti tunaopishana nao mawazo kumbe ni mtu moja wawili! na huyo wa pili I guess is your second Id mana mapovu yanafanana! Na hampaswi hata kuwambia wenzenu wanatoa mapovu...
Need I say more? Thanks Rutta. . . Go Jide! It's never too late! It was not possible to speak before ni sawa kaongea sasa! Tunatakiwa tufanye vile tunaona ni sawa na si vinginevyo! Hata Jide hajaamasisha wengine waachane na kina kusaga sasa waambatane nae ni vile wataona Kama ni wakati muafaka!
Ushuzi ni wewe hapo! Umeonyesha upeo wako ulivo Mdogo au ndo nyienyie manaotoka left right and centre!! Imagine mpaka mtu anatype 'vutumbua' duh mna kazi kwelikweli!! Ndo mana nimeingia hapa sijamquote mtu!! Nimetoa maoni yangu nionavyo Mimi ninajiamini sana kwa kuiambia eti watu wengine bora...
Hata kuondoka kwa Gadner wenye kuona mbali tuliona kuna Shida Kaamua kuondoka kiistaarabu, na ndo jinsi wengine tusiopenda makelele tunavofanya, mana hebu ona hivi tu Jide kaongea hivi yani ni vita left right and center ni lazima ujipange kwanza! Najua Jide kuongelea hivi imemuuma kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.