Search results

  1. K

    Sheria Ya Uhujumu Uchumi Irekebishwe haraka

    Tupige kelele kwenye mitandao ya jamii kuomba nchi wahisani washurutishe serekali kubadilisha kipengele cha mtuhumiwa kunyimwa dhamana. Sheria ya takwimu ilibadilishwa wahisani WB ilipotunisha misuli. Nadhani EU, USA, UK, WB na IMF wakishwaishiwa wakaunga wingi wa wabunge hautafurukuta. Pia hao...
  2. K

    Sheria Ya Uhujumu Uchumi Irekebishwe haraka

    Ndugu Watanzania na wapenda haki, Napenda kutumia Jukwaa hili kuwaomba kufungua kampeni ya kushurutisha Serekali Kubadilisha sheria ya uhujumu uchumi. Sheria hii imetumika kama nyenzo kuu ya kutisha na kuonea watu kwa sababu mtuhumiwa ananyimwa dhamana. Leo hii tumeona wakina Manji, Kabdendera...
  3. K

    Tanzania’s enemies of the state: pregnant young women

    Hii ni habari nyingine kutoka Gazetti la Financial Times: Tanzania’s enemies of the state: pregnant young women In May, when Sarah (not her real name) was about 15 weeks pregnant, she dropped out of state secondary school in the Shinyanga region of northern Tanzania. “It was difficult to...
  4. K

    Happy birthday Mange Kimambi

    Hongera ya Kuzaliwa Mange! Wewe ndio sauti ya watanzania kwa sasa. Pale vyama viliponyamazishwa umetumia nafasi yako kuongelea wengi. Pale vyama vilipokosea umetumia nafasi yako kuvikaripia. Kwa sasa wewe ndio mkombozi, sauti mbadala wa ile ya serekali. Umeifanya vyema kazi ya kuisimamia...
  5. K

    Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

    wenye nywele watanielewa
  6. K

    Magufuli suala la elimu Lowassa kasema bure hatutaki mikopo

    Ndugu watanzania wenzangu, tumesikia sana hii ahadi ya elimu bure kutoka kwa wanasiasa wengi kwa vipindi vingi mfano Dr Slaa aliitoa hii ahadi 2010 na 2015 Mh Lowassa naye anaitoa. Mi naomba tuitafakari hii ahadi kwa maslahi ya taifa letu: hii ni ahadi nzuri sana kusikia na hata kuitoa swali...
  7. K

    Augustino Vs Lowassa

    Asante kwa mtazamo wako mzuri, lakini hapa kinachofanyika ni ubashiri swali ni je Lowassa akiingia tano bora jambo linalowaogopesha sana wagombea wengine je jaji ramadhani atafurukuta kumgaragaza chini?
  8. K

    Augustino Vs Lowassa

    Hofu kubwa inayotanda sasa ni lowassa kukatiliwa mbali, na hiyo kukosekana plan b kwake ndio maana kwamba plan a ikishindwa ndio habari yake kwisha, Ukweli lowassa kajaza sana watu matumaini, lakini mikutano yake haijai kama ya wapinzani. pia kumbuka ushawishi wa lowassa ulishindwa kufanya kazi...
  9. K

    Augustino Vs Lowassa

    Asante sana kwa kuchangia, ila naona watu kama wawili tayari wanasema jaji ni makamu... mngetufanulia zaidi ili hii ingie vizuri kwenye hesabu za utabiri wa kisiasa. asante sana mkuu
  10. K

    Augustino Vs Lowassa

    Ndugu wana JF na maGreat thinkers Muhstahasari wa maswali yangu Je Lowassa ataingia tano Bora? Lowassa akiingia Tano bora Je Jaji ramadhani atapata kura za Kumuangusha Lowassa? Maelezo Duru za kisiasa zinaonyesha kuwa kuwa rais wa Tanzania ni kati ya Jaji...
  11. K

    CCM: Tunahitaji wadhamini 450 tu

    Hawa jamaa wananikera sana, kila saa wanasema wamepata wadhamini sijui laki na ishirini n.k wakati fomu tunajua ina sehemu ya wadhamini 450 tu. hii wanatudangaya au wanajifurahisha wenyewe. mimi nashindwa kuelewa nia yao? kama lengo lao ni kutuhadaa ndio hawa hawa watatuhadaa tukiwapa nchi...
  12. K

    Nyalandu Kichwa, Kutoka Ilboru mpaka Cambridge (Kings College)

    Mchunguzi chunguza basi, mfuate katibu mkuu kiongozi mwambie akupe mrejesho wa utendaji wa mawaziri usikie atakuambiaje kuhusu nyalandu. hilo nalo litakushinda
  13. K

    Nyalandu Kichwa, Kutoka Ilboru mpaka Cambridge (Kings College)

    hao wanachama sio watanzania
  14. K

    Nyalandu Kichwa, Kutoka Ilboru mpaka Cambridge (Kings College)

    kundi namaanisha watanzania wote, maana umesema watanzania hawana akili, wewe ndio huna
  15. K

    Nyalandu Kichwa, Kutoka Ilboru mpaka Cambridge (Kings College)

    wewe ndio uko tofauti na kundi inakubdi ujishangae kidogo. kaulize wizarani record ya Nyalandu utambiwa ameletea wizara magari mangapi ya kupambana na ujangili, helkopta ngapi na ndege ngapi wizara imepata, wizara imetoka kuwa omba omba mpaka kuwa wizara mama
  16. K

    Nyalandu Kichwa, Kutoka Ilboru mpaka Cambridge (Kings College)

    hahaha napenda jinsi unavyojua kujikausha, uipta limao, maana nahisi kama uliushtukia uzi ungeenda kwa mwingine, lakini wewe kuujibu umekugusa ndugu yangu, wewe ndio wale mbivu hizo sizitaki.
  17. K

    Nyalandu Kichwa, Kutoka Ilboru mpaka Cambridge (Kings College)

    hongera, tueleze basi na mchango wako katika maendeleo
  18. K

    Nyalandu Kichwa, Kutoka Ilboru mpaka Cambridge (Kings College)

    tunahitaji kiongozi mchapakazi sio mtu wa kusifiwa na kujaa kichwa.. na itakuwa vizuri ukimpa changamoto ya kukaza boti maisha yetu yaende mbele
  19. K

    Nyalandu Kichwa, Kutoka Ilboru mpaka Cambridge (Kings College)

    chema chauzika kibaya chajitembeza
Back
Top Bottom