Search results

  1. N

    Dr. Slaa ataka Sofia Simba ajiuzulu au awajibishwe

    huyo mama hakuna lolote alifanyalo hapo toka apewe madaraka tena anawaabisha wanawake coz wanaonekana hawawezi kwani anapenda sana uswahili kila muda anafikiria ypo katika taarabu na kilicho mbele yake ni mipasho ona alivyoanzishaga bifu lisilokuwa na msingi baina yake na katibu wake...
  2. N

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    jamani kilichobaki kila mwanahabari kuwa makini na shughuli aifanyayo maana jamaa ndo kakutwa na pingu ambayo haiusiani na tasnia ya habari
  3. N

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    jamani kilichobaki kila mwanahabari kuwa makini na shughuli aifanyayo maana jamaa ndo kakutwa na pingu ambayo haiusiani na tasnia ya habari
  4. N

    Video: Kova azungumzia sakata la Jerry Muro

    jamani kilichobaki kila mwanahabari kuwa makini na shughuli aifanyayo maana jamaa ndo kakutwa na pingu ambayo haiusiani na tasnia ya habari
  5. N

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    kukamatwa kwa jerry ni honi kwa waandishi wenye tabia kama hizo kinachotakiwa ni kubadilika kwani waandishi mara nyingi hawapendi kuangalia upande wa pili wanachojali ni kuanika kashfa za wenzao tu na wao hawazioni zao sasa jerry ameanza wapo wengi watakaofuatia
  6. N

    Ni kweli watoto wa Tanga??

    utamu unao mwenyewe hata awe wa kishimundu ni maandalizi na kuweka mawazo yalo lwale utamuona mtamu
  7. N

    Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000

    duuuuuuu hiyo ni kufuru ya kufungulia mwaka, ila dada akumbuke kuwakuna wenzetu wa kilosa wanahitaji mahali pa kulala, vyakula na kama kilosa mbali basi angeenda kutoa msaada hata mbagala maana baadhi ya wale wahanga wa mabom bado wanalala katika mahema
  8. N

    Mke wangu ananinyima uroda! Nifanyeje?

    mtoe out sehemu ambayo hamjawahi kwenda kisha muulize kwa upole na kwa kumbembeleza kimahaba kama ndo mzaanza mapenzi atakueleza nje hakufai kunamadudu washa
  9. N

    Afande mwema:polisi wa changombe wanakodisha silaha usiku

    jamani hapa bongo tuishi tu kumalizia siku zilizobaki suala la askari kuhusika na uuzaji wa silaha ni la siku nyingi na cha kushangaza zaidi hata hao mnaowapelekea malalamiko nao ni miongoni mwa wanaobariki shughuli hizo
  10. N

    Nape refutes Mnyika; TBC takes debate off air

    mnyika kamwe hamuwezi nape atabakia kuwa msindikizaji katika chaguzi ushauri wa bure aachane na siasa
  11. N

    Hivi ni sahihi Rais kuusema wanaomuandama wana chuki binafsi na yeye?

    ni sahihi coz wengi wa hao walikuwa wanaitaka nafasi aliyokuwa nayo na baada ya kukosa wanaamua kumtafutua visababu kwani walishindwa nini kumuita na kuzungumza naye
Back
Top Bottom