Search results

  1. M

    Daudi Mwakawago afariki Dunia

    Inasikitisha kuna watu bado wanaona ni sawa kwa viongozi kusafirishwa kwenda kutibiwa nje huku mamilioni ya Watanzania hawana hata Asprin. Ni mawazo mufilisi kweli na aibu kwa taifa letu. Lini tutaelewa kwamba lazima tutengeneze vyetu kwanza kabla ya kukimbilia kwenye vya wenzetu?
  2. M

    Pinda Jiuzulu kazi imekushinda!

    Mwacheni ndugu yetu angalau na sisi wakulima tumepata mtu anayefanana japo kidogo na sisi. Hivi nyie mlitegemea Pinda alete mabadiliko gani? Mungepitia utendaji wake kwanza kule serikali za mitaa kabla ya kumfikiria kwamba angeweza kufanya makubwa.
  3. M

    HESLB: Sheria-mpya!

    MkamaP, Hawa vijana hawajui kwamba wakichoka na shule inabidi walenge ule upande wa pili wa scholarships zao (Cultural exchange) maana yake kuruka na watoto wa Kichina (macho madogo). Frustrations zenu zote za kupata F, zipelekeni huko. Angalau mnajiridhisha kwamba kuna kazi mnaziweza. Sasa...
  4. M

    Kongamano la CHADEMA

    Kama kuna wasomi na able people ambao bado mpaka leo hawaijui CHADEMA, basi mna kazi. Tatizo sio kwa wasomi, tatizo ni huko wilayani na vijijini. Wasomi wengi ni opportunists na wanaangalia upepo. Wakiona chama kina nafasi ya kushinda, watakuja wengi tu. Kumbuka NCCR ya Mrema 1995...
  5. M

    Kongamano la CHADEMA

    Wakati mnaenda kongamano la wasomi DDC Mlimani City, CCM wanaenda vijijini kwa wananchi. Hapo kweli mtaweza kushindana na CCM? Wapiga kura wako wilayani na vijijini na wala sio hao wajanja wa mjini.
Back
Top Bottom