Search results

  1. A

    CHADEMA msipuuzie ushauri hata kama ni kutoka kwa shetani, sometimes the devils does good deeds

    Huo ndio msingi wa hii scene, vingine vyote ni kuwapotezea watu focus.
  2. A

    CHADEMA Haina Mamlaka kumzuia yeyote Kuhudhuria BMK! UKAWA ni Kundi/Genge tu, Sio Taasisi Rasmi!

    Mi nina wasiwasi account ya Pasco ya JF imeingiliwa, Pasco ninayemjua mimi hawezi uliza maswali kama hayo.
  3. A

    Ni kweli nilikuwa mwenyekiti wa CHADEMA lakini sijawahi kuwa na kadi ya uanachama ya CHADEMA

    Kwahiyo unataka si tufanyeje? tuichukie CDM kwa hilo, haha haha imekula kwako, hatujaichukia kwasababu ya kubambikiziwa kesi ya ugaidi ndo ije kuwa hili, pole!
  4. A

    Ushauri wangu mgumu kwa kamanda Mbowe kuhusu CHADEMA kujitoa kwenye tume ya katiba

    Mi nashangaa CDM kwanini wamechelewa kutoa tamko la kujitoa, wakati mimi binafsi nilishaapa kutoshiriki kwenye mchakato huu wa kutafuta katiba mpya ya CCM, na hata kwenye kupiga kura kupata wajumbe wa mabaraza ya katiba sikuwa na mda kujisogeza kugombea wala kupiga kura. Walioshiriki wanasema...
  5. A

    Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

    Maelezo meengi, ambayo yanazidi kunidhirishia kuwa wewe ni fisadi. Hizo tuhuma ni nzito huwezi ukajibu krlahisirahisi namna hii.
  6. A

    Membe kugombea urais mwaka 2015 iwapo...

    Du kumbe kuna hadi wa shift za usiku, nilikuwa sijui, sa wa shift ya usiku kazi mnafanyia wapi, lumumba au nyumbani?
  7. A

    CCM yapongeza Jeshi la Polisi kwa kumkamata Lema

    Da njaa mbaya sana
  8. A

    Amini usiamini CHADEMA waweza futwa au kusambaratika kabla ya uchaguzi mkuu

    wakati mwingine kama huna data za kutosha kuhusu kitu ni bora ukakaa kimya tu.
  9. A

    LEMA anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa faida ya nani?!

    Mi sijakuelewa katika tukio hili alitaka atulieje, asiende kwenye tukio kuwatiliza wanafunzi wakati wao walimuitaka wakitegemea ndiye kiongozi atakaye wasikiliza?
  10. A

    Ninalaani vikali kukamatwa kwa Lema! CHADEMA msipochora mstari...

    Chilosisi sijui kalala? make na huyu jamaa akiona tu post zinazoegemea upande wa CDM lazima akimbilie huko kupost ujinga wake. Bado sijaelewa hawa watu Nape anawalipaje, kwa kuwa wa kwanza kupinga kitu kinachoegemea upande wa CDM au kupinga tu? kama kupost mapema Chilosisi atakuwa anachukua...
  11. A

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    Dah kweli ukiwa CCM inabidi uwe mnafiki kupita kiwango.
  12. A

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    Asante kaka, shukrani kwa taarifa.
  13. A

    Full Text: Hotuba ya Prof. Kahigi iliyozua mjadala bungeni hadi bunge kuahirishwa...

    Kilichonisukuma kuweka CV hii ya professor Kahigi, ni post moja hapa kwenye forum iliyokuwa inamdhihaki msomi huyu wa namna yake, hili jambo limenikera sana. Unajua kuwasikiliza waropokaji kama Mwigulu na Lusinde tumejikuta tunasahau kwamba si hulka ya wasomi kuropoka ili waonekane wanajua sana...
  14. A

    Eng. Manyanya: CHADEMA si chama cha wakristo, aeleza alivyopanga kumkamata Mbowe

    Masisiem bwana, muone huyu nae, yani anaona kaandika point hapo
  15. A

    CHADEMA ipo hatarini

    Du watu wabaya, huitaji akili nyingi kujua kuwa huyo aliyejibu hapo sio Dr, kwanza siajawahi kuona anajibu post humu hata siku 1
  16. A

    Tundu Lissu ana deni kubwa jimboni, achukue tahadhari!

    Yani magamba ukiona yanamuongelea mtu sana ujue yanamuogopa. Huwaga hayamgusi mtu wanayeona anapwaya
  17. A

    Rais Kikwete, jopo lake pamoja na Rais wa China

    Da kweli Tanzania tuna safari ndefu sana, kama kweli umeshindwa kufahamu kwanini mode kabadili kichwa cha habari yako. Afu pili umeandika kishabiki, hivi wewe kwa akiri fupi tu, kwa kizazi hiki na kinachokuja unafikiri nani atakubali kumpa nchi mtu kama riz1 miaka ijayo? ukweli ni kwamba...
  18. A

    Magazeti ya Serikali ni machochezi na chanzo cha Vurugu......huu ni ujinga

    Hilo la nani, au kwasababu katoa mifano michache ndo unamshambulia?
  19. A

    Matumizi ya wimbo wa Taifa

    Wanajikosha kwa serikali tu hao, hawana lolote, tangu wapigwe fine kwa kupromote ushoga sasa wanataka kuonyesha eti walionewa kwa kufanya vitu vyenye picha ya kizalendo kumbe ndo wanaharibu.
Back
Top Bottom