Search results

  1. F

    Mrisho Gambo: Ninao ushahidi wa watu waliotapeliwa Magari na Godbless Lema

    halafu ungeacha kutumia neno ndugu zangu watanzania...aisee sisi hatuna undugu na watu wa caliber yako....
  2. F

    Unakataa ndoa wakati ulipatikana kwa tendo la ndoa!

    sijakataa ndoa ila umeandika ujinga tu...bora huo muda ungelala tu
  3. F

    Unakataa ndoa wakati ulipatikana kwa tendo la ndoa!

    kwa hiyo mkuu hapo mwenyewe unajiona umefikiria :p :p :p :p :p :p
  4. F

    Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

    kama umejua majina ya timu tu inatosha..mengine utajua polepole
  5. F

    Rais Samia afanya maamuzi mazito, atoa Helikopta kuwapeleka mawaziri kutatua miundombinu ya barabara mkoani Lindi

    ww njaa yako ndo inakuhangaisha mkuu....viongozi hata hawakati tamaa as long wanapata hela na siasa ndo kazi yao
  6. F

    Godbless Lema bado hajakomaa na kupevuka kiakili katika masuala ya siasa

    mkuu unapambana sana ....lkn hata hukumbukwi aisee
  7. F

    Wapalestina watafute njia nyingine kudai amani Israel itawasafisha

    anamchakaza wakati hata kwa population ya israel yahwe kazidiwa mbali sana wingi wa waumin....so hata wapalestina wakiisha itabid awaue na waisrael ili wengi ili walau azibe gap
  8. F

    Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

    kweli umeshindwa kuisolve hii, mwambie mdogo wako amkubalie, waende lodge ,mkifumania mnamrekodi,, ,,so mkiwa na video zake mdogo wako atapewa favour balaa ili zisivuje
  9. F

    Rais Samia, tunaomba ujenge Football Academy

    Academy haitasaidia ...cha muhimu ni reforms kwenye mpira...kwenye mpira ni chaka la wapigaji ...ilikuja under 17...wapigaji hawakuipenda ikafia mbele....ukitaka kujua hilo nenda kwenye chaguzi za vyama vya mpira vya mikoa mpaka taifa
  10. F

    UDART Inaingiza Faida Kuliko ATCL na TRC Holdings

    kwa nn wasiangalie mahitaji ya vipuri kwa kila gari , then viagizwe kutoka ulaya viletwe....au ndo watu watakosa deals
  11. F

    Naweza kutibiwa nje ya nchi kwa kadi ya bima ya Afya (NHIF)?

    lkn ukiwa ajentina au moroko inafanya kazi freshi kabisa:D:D:D
  12. F

    Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

    hii kauli ni ya roho mbaya sana.....tafuta hela mkuu.....asilimia kubwa hatupewi nafasi za kuwaoa sababu ni hatuna pesa za kuwahudumia ....ukiwa na hela hawakatai
  13. F

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    mkuu naomba bei ya Hisense smart 75iches na 85inches
  14. F

    Alifanya kazi saiti kwa pesa yake, sasa simu haipokelewi na bosi haonekani

    aje abomoe site yote aseme kuna marekebisho anafanya ....iwe hasara tu
  15. F

    Mnawezaje ku deal na Jiran wa Namna hii kwenye nyumba za kupanga?

    dawa ni ndogo mkuu...tafuten siku ya kupoteza...mnafungulia sauti ya juu usiku wapangaji wote ...iwe ni mvurugano ataacha mwenyewe tu
  16. F

    99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

    haina shida...mbna umekasirika mpaka mitusi,....... kuona ukweli kuwa wanaobadili wengi ni upande upi
  17. F

    99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

    :D :D :D :D :D :D :D :D mkuu umewahi pitia rekodi ni nani wanaongoza kwa kuhamia dini nyingine kati ya dini hizo....hapo ndo ulete nani wana hofu
Back
Top Bottom