Search results

  1. T

    Elections 2010 CCM yawasilisha utetezi kwa Tendwa

    mi nadhani wewe macho unafaidika na sera butu za ccm may be you are that much bright but you can not tel or read the signs
  2. T

    Elections 2010 Tendwa atabiri viti 100 vya ubunge kwenda upinzan

    mi nawait amwengue kikwete kugombea la sivyo hakuna democrasia mbona chadema walienguliwa bila manoma?hivi masha alidanganya kwenye pingamizi lake eti eeeeh
  3. T

    Elections 2010 Ulinzi kwa wagombea urais ukoje?

    wanamlinda coz wanajua lazima atakuwa raisi hata msipopiga kura kwani nyie hamjui hilo?na anatembea na ambulance jamani sheria ya uchaguzi ngumu bora asingesaini kwa mbwembwe wanasingizia eti ni rais c akae ikulu wengine wapige kampeni?hivi kwani analipwa na posho za safari ye na wasaisizi wake...
  4. T

    CCM yamwangukia Bashe!

    huyu makamba nae anyamaze tu amedanganywa kiaje so anatuambia raisi wetu ni mbumbumbu kiasi cha kutojua kuchanganua mambo?kama bashe ni raia wa kulaumiwa ni ccm si ndo waliochunguza na wenye dola aache ujinga kwanza mi nashangaa kwanini mpaka leo hajajiuzulu huo ukatibu mkuu haumfai,ila ni...
  5. T

    Maisha ya Ndoa (mahusiano) ya Wanasiasa wa Tanzania

    bora we umesema mwaya ccm ndo mafuska wa kwanza na mwisho hakuna anayewapata wanajua hata ukuu wa wilaya na tuvyeo twa kijinga ndani ya chama wanapewa kwa kulalana so mi naona tuache haya ya nani ana nani mana kama ndo hivyo hakuna anayefaa kuwa kiongozi mana hata msema hovyo alibaka je twajua...
  6. T

    Elections 2010 Kinana aomba wasilaumiwe sana - "Tusiwachanganye wananchi"

    kiukweli wamezidiwa msomali atajuta kumchokoza slaa
  7. T

    Elections 2010 Rostam na Kikwete Dhidi ya Dokta Slaa

    hawa akina rweyemamu ni masikini wa kipato na akili na njaa zao ndo zinazofanya watumiwe ila hawataweza na huyo rostam ni mwizi mkubwa asiejua ni nani hatuhitaji kupelekwa darasani kwa hilo
  8. T

    Elections 2010 Je kura za oktoba 31 tayari zimeshapigwa?

    kweli ccm wezi mi sijui cha kusema tena wametuchosha haaaaaaaa
  9. T

    Elections 2010 Uchaguzi 2010: Kibonde usijifanye kujua kila kitu, tafuta wataalamu wakusaidie

    kwaani si mwaona anaitwa kibonde sa wataka nin i tena jina latosha kukuelezea alivyo
  10. T

    Elections 2010 CCM yawasilisha utetezi kwa Tendwa

    kinana na makamba waongo si jk mwenyewe alisema hata wafanyakazi wagome miaka nane hapandishi mishahara?mkulo atuletee bajeti tuone kama kweli hawajaedit mana hawa watu wajaja halafu nyongeza mpaka leo haijawekwa eti hiyo ni nrushwa ccm hawatajinasua wote wameoza yani watanzania wanatakiwa...
  11. T

    Elections 2010 Mkakati wa kumshinikiza Kikwete ashiriki kwenye mdahalo wa wagombea uraisi JMT

    eti makamba anasemajk anajulikana haitaji mdahalo nani kamdanganya huyu mzee wa bumbuli?jk anajulikana kwa mabaya,ukandamizaji,ubabe na ukosefu wa sera madhubuti wamlete kwenye mdahalo tumpime na wajue hatumpimi rais bali mgombea wa ccm so waache kutupga changa la macho
  12. T

    Elections 2010 Mkakati wa kumshinikiza Kikwete ashiriki kwenye mdahalo wa wagombea uraisi JMT

    hahaha we unasema media imshinikize jk kwenye mdahalo halafu wakale wapi we hujaona hadi wanavaa vizibao na kofia za ccm?kwanini tusiseme media yetu ni ccm?
  13. T

    Elections 2010 Kuanguka kwa JK Jangwani, je ni uchawi?

    asiejua kuwa ccm hawajiamini na slaa anawatoa jasho ni nani?jamaa alipanik akawa haelewi afanye nini ila dah ni aibu kwa nchi hakuna uchawi wanazuga tu ukweli wanaujua kama hamuamini ataanguka tena
  14. T

    Elections 2010 Kikwete kweli anawajali watoto na wazee?

    Kiukweli anawajali watoto ila ni ridhiwani kikwete,january makamba na mkewe nyie hamuoni mama nae anatembea kama vip wa nchi?ridhiwani je kweli jk anatisha mungu wangu sijui uzee wangu utakuwaje
  15. T

    Kashfa ya Richmond: The FACTS

    Kama kuna ukweli basi JK hafai kuwa Rais kwa awamu ijayo jamani mimi sielewi hivi wapiga kura huwa wanafikiri kabla ya kuweka kura ya ndio kwa mgombea? Tutajua lini kuwa CCM haitufaiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  16. T

    Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

    mungu wangu hawa watu wanacheza na taaluma za watu ila hawatafika mbali mana aliyenunua degdee hata thinking capacity yake na performance ni ndogo na hata akipewa uwaziri atabofoa hahahaaaaaaaa wapo wengi wafichueni jamani wenye sifa wanakosa ajirasababu yao na ndio wanaoturudisha nyuma kila siku
  17. T

    Hotuba ya JK ya Mwaka Mpya 2010

    tehe tehe unajua mi nahisi bado watu hawajajua ya kuongea kwa umma uliowachagua
Back
Top Bottom