Katika mahafali ya 44 ya Chuo kikuu Dar es salaam yatakayofanyika katika ukumbi wa Mlimani City tarehe 08 November 2014,aliyekuwa mkuu wa chuo(Chancellor) wa UDSM marehemu Balozi Fugence Kazaura na msanii maarufu Africa aliyeshinda tunzo nyingi zaidi kuliko wasanii wote Tanzanias Diamond...
Najiuliza mbona sherehe imekuwa kubwa sana wakati katiba yenyewe bado,kinacho kabidhiwa ni katiba iliyo pendekezwa.......kwa maoni yangu angekabithiwa ikulu tu,ikipatikana katiba baada ya kura ya maoni....ndio tuone mbwembwe.....What if ikikataliwa kwenye kura za maoni kwa asilimia 95% je???
Kwa style hii ata hii rasimu ya Sita na Chenge ikiletwa kwa wananchi inatapita kwa kura za HAPANA kwa asilimia 85% na NDIO asilmia 15%.....maana CCM kuchakachua ndio imani yao...
Moja ya mahubiri yake ni hii..."Peponi kuzuri tu...Peponi kuzuri sana,unapewa mizingo arobaini,yaani wanawake wazuri wazuri...arobani,na unapewa nguvu ya kupiga wanawake mia,yaani hawa sitini wako kama akiba tu...anamliza kwa kusema...Peponi kuzuri sana,mwenyezi mungu tuingize peponi...Inshallah
Mkomamanga....sio kweli ndege ilikuwa na rubani wa kitusi au kihutu,ndege ilikuwa aina ya Falcon,na ilikuwa na marubani wa kifaransa na wahudumu wa kifaransa...
Quezon...umeandika vizuri lakini kuna mambo natakuweka sawa,kwanza ile ndege iliyokuwa umewabeba maraisi hao wa wawili ilikuwa ikitoka Dar es Salaam na sio Arusha,na mikutano ilikuwa ikifanyika Kilimanjaro Hotel chini ya rais mstaafu Mzee Mwinyi....bado napata shaka ukiniambia kuwa ndege...
A plane believed to be carrying US intelligence fugitive Edward Snowden has arrived in Moscow from Hong Kong, from where the US was seeking his extradition on charges of espionage.
There is speculation that he might now fly on to another country.
Hong Kong said Washington had failed to meet the...
Nauliza kama ule uchaguzi ulikuwa neck to neck how comes Uhuru aongoze wanzo mwisho bila up and down???....ndio Raila amekubali tokeo,lakini pale kuna mchezo ulichezwa,na hii tabia ya Wakikuyu kufikiri kuwa wao ndio watawala tu.....moto utakuja waka tena....
Huu mtindi wa Tanga ni mzito mmno ukilinganisha na mitindi mingine kama wa Mara,Asaad,Kilimanjaro na tena hii uwa unasikia kabisa kaharufu kama maziwa yaliyo chacha ,ata mitindi nilikunywa vijiji hauko kama wa Tanga....labda nikahisi huu wa Tanga ni mchanganyiko wa mambo...!!!!!!!!!
Wana jamvini hivi kweli mtindi wa Tanga Fresh ni maziwa ya ngombe au mimi ni mpenzi sana wa mtindi lakini napata shida kidogo kuamini kama huo mtindi ni kweli maziwa ya ngombe .mwenye jibu jamani
Kweli Raila urais atausikia tu kama baba yake....pole sana jaluo Jeuri,lakini nahisi mwakani utafanyika uchanguzi mwingine kwani uhuru na Ruto watakuwa korokoroni....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.