Mkuu Mwita Maranya ulikuwa kama mtabiri vile, hakika nawapongeza sana waliobuni hii blog hakika inatia moyo kuchangia masuala ya nyumbani kabisa popote unapokuwa na itakuwa rahisi kujua kinachoendelea kwenye kata unayotoka. Hongereni sana.
Mkuu Albedo, unapomtetea mtu lazima kwanza kuna some facts unatakiwa ukubaline nazo, Ben alituhumiwa kutaka kuivunja katiba ya chama, right? kuvunja katiba ni uhaini, right? katika nchi nyingi adhabu ya mhaini kifo au kuwekwa detention kama Aboud Jumbe. Kichama uhaini au usaliti adhabu yake ni...
Huwa najiuliza siku muungano ukivunjika mipaka ya tanganyika na zanzibar itaishia wapi, ndani ya bahari katikati ya Dar es salaam na kisiwa cha Zanzibar au kati ya Tanga na kisiwa cha Pemba, au ufukweni Kigamboni na Magogoni ferry na Kunduchi. Naomba wenye ujuzi na mambo ya territory wanisaidie...
Tukio zima la kupigwa kwa DC Igunga limetufunza yafuatayo..
Funzo kwa viongozi wote wa serikali kuwa wakae mbali na uchaguzi waviache vyama vipambane vyenyewe
Afande Mwema awasifu wanachama wa Chadema kwa kutekeleza kwa vitendo dhana yake ya Ulinzi jamii shirikishi
Ni kweli haki huwa...
Chama cha Mapinduzi CCM kimeahirisha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, NEC, kilichotarajiwa kufanyika mwezi huu mjini Dodoma, kwa ajili ya utekelezaji wa dhana ya kuvuana magamba, inayowalenga makada wawili, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge.
Duru...
Kila kitu kinatengenezwa hata wewe ulitengenezwa na Mungu kama imetengenezwa je anayosema kuhusu kambi nayo huyaamini? maana mtengeneza kambi mwenyewe Mwigulu amekiri.
Mwigulu anaposema wana kambi moja tu na si zaidi ana maana gani mbona kabla hata hiyo moja alikanusha, CCM wanashindwa kusoma alama za nyakati hizi si zama za RTD kuwa watu watasubiri watangaziwe na mkuu wa mkoa au wa wilaya ili waamini sources ni nyingi kinachohitajika ni kubadilika, kama...
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesisitiza msimamo wa Tanzania wa kutotambua Baraza la Mpito la Libya (NTC) na badala yake amelitaka litekeleze mpango wa amani wa Libya uliokubaliwa na Umoja wa Afrika (AU). --HabariLeo.
My take:
Kama Membe halitambui baraza...
If you are following this thread please read this article might contain information you needed to know.
Mahmood Mamdani is professor and director of Makerere Institute of Social Research at Makerere University, Kampala, Uganda, and Herbert Lehman Professor of Government at Columbia University...
Kenya (AP) - International rights groups are accusing Sudan's government of killing 26 people in indiscriminate aerial bombardments of opposition-controlled areas in the country's main oil-producing state.
Human Rights Watch and Amnesty International said in a statement Tuesday that 45 people...
Membe amesema Tanzania inajua kwamba hatima ya Kanali Muammar Gaddafi kuongoza Libya imekwishafikia, lakini haiwezi kuwatambua waasi wakati bado hawajaunda serikali. Serikali ni pamoja na kuwa na viongozi walioapishwa, tutawatambua kama watakuwa na mihimili mitatu ya serikali, bunge na...
Mimi siangalii unavyoangalia wewe kuwa karopoka post ya leo au katimka kwani kaondoka kwenye uongozi huo ni mtazamo wa kishabiki zaidi, mimi naangalia zaidi ya posts za leo, naangalia viongozi na uongozi wao na uwezo wa kiongozi kujengea hoja jambo fulani si makosa ya neno moja kama unavyotaka...
Kama hili tunaliona ni jambo la kawaida basi Tanzania tumefikia mahali pabaya sana kiongozi anayeropoka na hasa mwenye sauti kubwa ya kubishana na wapinzani anaonekana ndiye anayefaa. Wassira anasikika si kwa uongozi wake mzuri bali ni kwa hasira na ubishi wake juu ya wapinzani, hii ni hatari...
Asante Nsiande, zamani mimi nilikuwa najiuliza nitakuwaje kiongozi kama Nyerere au Salimu lakini siku hizi naona anybody can be a leader in Tanzania. Nilidhani cheo cha Nape ni kikubwa sana hapa kwetu maana kina influence kwa siasa zetu za kitaifa lakini majibu ya mwenye cheo hayalingani kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.