Search results

  1. M

    Umaarufu wa Mbowe wazidi kupanda. Sasa hivi watu wanamchukulia kama mpigania haki na ukombozi

    Mbowe hana umaarufu wowote ni gaidi tu hatabkjasma kalamba miguu ya pilato na kurudi uraiani kuhatarisha Taifa, atueleze Chacha Wangwe nini kilimtokea??
  2. M

    Maandalizi ya Ukumbi atakapohutubia Freeman Mbowe kwa mara ya kwanza tangu atoke jela yamekamilika

    Huyu ni Gaidi tu hata kama katoka baada ya kulamba miguu ya pilato, aje atueleze Chacha Wangwe nini kilimtokea? Vinginevyo sisi kama Jamii bado tutamhesabu kama gaidi hatari sana
  3. M

    Urusi yatoa masharti ya kusitisha vita Ukraine

    Masharti ya Urusi ni ya msingi sana tena ni ya kuungwa mkono na kila mtu mwnye timamu zake. Fikiria Zelensky alivyoua watu wengi waliojaribu kumpinga, fikiria Rais huyo alivyompindua Porochenko na kutesa wafuasi wake, fikiria alivyojipendekeza kwa Marekani na Ulaya na kushiriki kuua Wa Iraq...
  4. M

    Bishop Gwajima kuweka mahojiano yake wazi kesho. Anadai amewafumba midomo waovu

    Mipasho maana take nini? Siku ukitakiwa kujibu kashfa ya kuita mahubili ni mipasho utakuwa tayari?? Kumbuka leo kwa Gwajima kesho kwako, Dunia ni duara, na Cyber crime haina mwenyewe
  5. M

    Bishop Gwajima kuweka mahojiano yake wazi kesho. Anadai amewafumba midomo waovu

    Habari ya ukabila unaingiaje hapa?! Ujumbe wako ni mzuri kosa ni kuongelea habari ya kabila
  6. M

    Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

    Kama umeona yamezidi na ni v8 kunywa sumu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Ushahidi: UVCCM ndio waliofanya Vurugu kwenye Mkutano wa Mbowe Jimboni hai huku Polisi wakiangalia bila kufanya chochote

    Acha uzushi, Wananchi wa Hai hatumtaki tena Mbowe, tumechoka kudanganywa, ni tapeli wa kisiasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Ushahidi: UVCCM ndio waliofanya Vurugu kwenye Mkutano wa Mbowe Jimboni hai huku Polisi wakiangalia bila kufanya chochote

    Nimeshuhudia clip ambayo imenishangaza, Wananchi wakionesha hasira zao mbele ya Mbunge wao wa miaka mingi, wakidai kutomuona kwa miaka mingi, Hii inanipa mashaka kama Uhai wa Chadema bado upo imara. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Siri iliyofichika nyuma ya Sumaye na Lowassa kurudi tena CCM

    Kwanini Siri iwe Kurudi ccm tu na siyo kutoka ccm kwenda Chadema ? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

    Hivi Zitto kuongozwa na hisia kwamba eti ccm huenda itatumia Mkopo kutoka WB kujinufaisha kisiasa kwa kudanganya wapiga kura CCM ndiyo imetoa hela zake kusomesha Watoto, ndizo zinatosha kuhamaki na kwenda kuichonganisha Serikali na WB ? Je nini Afya ya Jitihada za Zitto kwa Taifa? Sent using...
  11. M

    Caught pants down: Si Mwenyekiti SADC wala Waziri wake mwenye ujasiri wa kupongeza kufutwa Uchaguzi wa Rais Malawi

    Kilichoandikwa humu ni upuuzi na ujinga na upumbavu mtupu. Hivi Mwenyekiti wa SADC anapata wapi mamlaka na kwa sheria ipi kuingilia mambo ya ndani ya nchi ya Malawi? Je Waziri wa mambo ya nje anahusikaje kwenye maamzi ya mahakama ya Mslawi? Ama kweli mtu akifilisika kisisa hugeuka juha Sent...
  12. M

    Hivi barua ya kiofisi unaisoma gengeni!

    Kutukana matusi ya nguoni hakuondoi ukweli kwamba Mbowe alifeli form iv na kupata div. zero, na kuvutwa BoT na Mtei baba mkwe wake, na yakamshinda akakimbilia u- DJ. na baadaye kuongoza SACCOS ya Baba mkwe wake. Kama akili zinakutosha utathubutuje kusoma barua ya siri hadharani? Ni ubwege Sent...
  13. M

    Zitto Kabwe asubiriwa na Bunge kueleza lengo la barua yake Benki ya Dunia kuzuia mkopo wa kuboresha Elimu (SEQUIP)

    Kitendo cha Mh.Zitto Zuberi Kabwe kuandika barua kusitisha mkopo kutoka benki ya Dunia inaweza kuwa enjoy mwisho wake kuwa mbunge, Watanzania wote isipokuwa vibaraka wachache sana ndiyo wanaomuunga mkono hata humu mitandaoni wamo. Kapoteza imani siyo miami Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Rais kuwaomba mabeberu pesa za mradi wa maji.Je Rais kabadili gia angani?

    Wewe ni mwehu, Rais ameshauri kwamba kuna fedha imebakia katika MoU, Hivyo wakumbushe. Tayari Wewe umesharukia kwenye kujitegemea. Uliwahi kuona wapi Taifa lisilokopa, lisilopata misaada toka nje? Wewe ni lofa wa akili.
  15. M

    Subirini kuona kama IGP atachukua hatua

    Mikutano ya Chadema kwa 98% huwa ni haramu, kwani haina tija, imejaa uchochezi, ufitinishi, na ingefaa wapigwe sana, wavunjwe miguu, wasweke lupango, na wazeekee huko.
  16. M

    Rais Magufuli, ukitoa ushauri unatakaje tena taarifa?

    Kwani feedback inamipaka? Ukitoa ushauri wapi na kwa sheria ipi inakatazwa kupata mrejesho?
  17. M

    Profesa Kabudi ameondoa harufu chafu ya vibaraka wa walami

    Wewe huyo Sultan wenu wa Chadema mbona hamuachi kumsifu? Mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 24 eti bad mnamchagua !! Halafu mnajinasibu hiyo ni Demokrasia !! Wajinga ndiyo waliwao
  18. M

    Kwa Utendaji huu wa Rais Magufuli, Wapinzani mtajisumbua kusimamisha mgombea 2020

    Salary Slip ni chizi, huwezi kujiita Salary Slip, yaani uoneshe mqlipo halafu wengine wabebe noti. Ufala huo
Back
Top Bottom