Search results

  1. M

    Fikra kuhusu watu wakimya

    Mimi ni mkimya hasa kwa watu wagen kwangu ila mkimya kias kidogo nyumbani. Ila megundua ukimya umenifanya baadhi ya watu siwez kuongea nao kabisa wala kuwa nao karibu. Sifa mojawapo ya watu wakimya hupenda kusikiliza kwa makin na kuzisoma tabia na hisia za wengine hivyo hujikuta wale ambao...
  2. M

    Why Do Girls React When Asked"are You A Virgin?

    HIVI HIZO BIKIRA WALITOLEWA NA MITI AU NA WANAUME? ukimtoa bint bikira na ukamuacha uctegemee kupata bikira uoe. binafsi ctak mambo ya kuanza kufundishana mtu hadi jins ya kutanua miguu na kutumia mijinguvu mingi kugegeda saiv nna mambo mengi ya kufanya, napenda wazoefu kukunawa na romance za...
  3. M

    Hili neno, “Mwanaume ni kichwa cha nyumba” huwapa kibri sana hawa viumbe

    tatizo vichwa havitaki kutimiza wajibu na wakati huo huo vinataka wanawake watimize wajibu wao hapo ndo sebene linapoanza hata ningekuwa mimi ckubali, mpende mke wako,timiza wajibu wako uone utamu wa ndoa.Mwanamke ameagizwa kukutii tu na hawezi kukutii wakati kichwa chenyewe ni tope. mi nafikiri...
  4. M

    TPDC wameanza kuita watu kazini, kaa karibu na simu yako

    WEWE PIA ULIANZISHA THREAD Kuulizia wataita lini, vip ni wewe umepata nini nikupe hongera!
  5. M

    TPDC wameanza kuita watu kazini, kaa karibu na simu yako

    post gani kaitwa tujue kama post zetu washaita. vipi ACCOUNTANT II
  6. M

    Tuliofanya usaili TPDC mwezi Mei majibu ni lini?

    mkuu kuna ukweli hapo au kupeana pressure
  7. M

    25 Of The Most Dangerous And Unusual Journeys To School In The World

    hiyo shule hata nikiambiwa bure na hela juu, SIENDIIII
  8. M

    Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumanne tarehe 2 Septemba, 2014

    yaani ni kama wako kutunga sheria za kijiji. masikini! asilimia kubwa hawaelewi hata tofauti ya katiba na sheria, wasomi wako wapi jamani wakatoe semina?
  9. M

    Wanaume wengi huoa wanawake wapole,wasio wabishi, na wenye hofu ya mungu

    hapa umenikuna, mimi mwanamke akiwa anajiamini kwenye maamuzi yetu bila kushirikisha mashost hovyo hovyo watu watasema amenipa limbwata. ila mi napenda mke mchangamfu wa kupeana viutani vya hapa na pale sio mkimya( mpoleeeeeeeeee!) ananiboa kishenzi
  10. M

    Wanaume wengi huoa wanawake wapole,wasio wabishi, na wenye hofu ya mungu

    kweli nimeamini watu twatofautiana. CPENDI MWANAMKE MPOLE MIMI mwanamke kakaa kaa utafikiri nimeoa zezeta! awe mchangamfu na awe na heshima basi. mi ndo taste zangu hizo
  11. M

    Naombeni sana msimpe ushirikiano wowote demu huyu kwa sababu anataka kuniingiza mkenge

    dada aje pale temeke ustawi wa jamii, we zinc endelea kulalama humu
  12. M

    Stories za wachumba wa Jamiiforums

    umenikamata! nikionaga maneno mengi mstori mreeeeefu huwa sisomi lakini chaajabu yako nimetamani hadi kuwe na toleo lijalo.
  13. M

    Tuliofanya usaili TPDC mwezi Mei majibu ni lini?

    tutafanyaje sasa tupate hizo data? na vipi matechnitians wa mwezi wa tano waliitwa?
  14. M

    Tuliofanya usaili TPDC mwezi Mei majibu ni lini?

    kaka una uhakika watu wa upande wa engineering wa mwezi wa tano wameitwa? tafadhari nijibu
  15. M

    Enyi wanawake mnaokuwa kama magogo kwanini mkiibiwa mnalia lia?

    acha basi kulalamika lalamika hapa utakuta kugegeda hujui, niletee hilo gogo mimi litatikisika bila kupenda
  16. M

    Diary ya mpenzi wangu (unahitaji moyo wa chuma)

    ili jukwaa likijakufungwa hata kwa siku mbili kuna watu wataandamana
  17. M

    Pitia nwa hii kama unaweza kunishauri

    bado anakupenda huyo
Back
Top Bottom