Search results

  1. Wacha1

    Zanzibar: Rais Mwinyi apangua Baraza la Mawaziri, aingiza wanne wapya

    Kama Zanzibar wanaweza kugharamia maisha ya utitiri wa viongozi ni sawa. Wasichote kutoka Bara, maana deni la umeme walishindwa kulipa hadi JPM akawasamehe.
  2. Wacha1

    Ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi waanza Msalato Dodoma

    Weka ushahidi mkuu, maneno matupu hayavunji mfupa.
  3. Wacha1

    Viongozi wetu wa Afrika wanakaa kimya juu ya vita ya Urusi na Ukraine kwasababu wanaogopa watanyimwa misaada

    Kama ulifuatilia, mkutano wa UN kuhusu vita hii utatambua nchi za Afrika nyingi msimamo wao ulikuwaje. Wacha kudhalilisha viongozi wa Afrika.
  4. Wacha1

    Ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi waanza Msalato Dodoma

    Vipi, wagonjwa 1000 wanaotibiwa kwa siku nao ni haba? (BTW hao 120 ni wale ambao wanalazwa kwa uangalizi na uchunguzi zaidi) Ni Hospitali ngapi Tanzania ambazo zina uwezo kama huo kama unafahamu tupe stats.
  5. Wacha1

    Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

    Bennett's sit-down with Putin was the first by a foreign leader since the day Russian forces invaded Ukraine last week At the same time ... Credit: Mailonline Oligarchs take £3bn in dividends from Britain: Eight-year bonanza from listed firms raises questions over how Russians used City as...
  6. Wacha1

    Dkt. Mwigulu: Kabla ya Samia kuingia madarakani mabenki yetu yaliishiwa pumzi

    Hatuna Waziri wa pesa hapo, amekaa kujineemesha na kufuata mzoga, utakaponuka ndipo atakapojua kwamba mambo sivyo.
  7. Wacha1

    Ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi waanza Msalato Dodoma

    Tutakukumbuka daima kwa mema uliyolitendea taifa hili. RIP JPM.
  8. Wacha1

    Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

    Mpaka ukoo wote wa wahuni oops wenye tabia za kimalaya malaya uondoke.
  9. Wacha1

    US slaps Tanzanian with sanctions for bankrolling Mozambique terror

    Wow, very strange, is our Government aware of this?
  10. Wacha1

    SITANII; Kodi ya simu za mkononi haiepukiki

    Ingependeza na Tanzania wakawa wanawapa raia wake wasiokuwa na kazi pesa za kujikimu kila mwezi kama wanavyofanya kwenye nchi tajwa. Hizo kodi za simu zingekuwa na manufaa. Alijisemea lofa moja kwamba nchi hii kuna wahuni na viongozi malaya malaya.
  11. Wacha1

    The King of Clay is back!

    Rayvanny Ft Zuchu - Number One (Official Video) - YouTube
  12. Wacha1

    NMB haya makato yenu kwenye mobile app ni makubwa sana na wizi uliovuka mipaka. Ushahidi huu hapa

    Makato unapotoa pesa ambazo umeweka kwenye Bank kwa kutumia Apps au kwa njia ya mtandao ni wizi. Hili swala linabarikiwa na serikali/viongozi waliopo madarakani. Huu ni uonevu na unyonyaji kwa sababu it dos not cost a Bank anything, if there is a cost can they prove it?
  13. Wacha1

    The King of Clay is back!

    'I feel liberated... it's incredible energy!': Rafael Nadal says he's able to play 'without limitations' for the first time in 18 MONTHS, as he beats Daniil Medvedev again to set up a Mexican Open showdown with Cam Norrie. Rafa saved eleven (11) brake points against Medvedev in the semi...
  14. Wacha1

    The King of Clay is back!

    Nadal snares fourth Acapulco title as Norrie falters (msn.com) British No 1 Cam Norrie lost 6-4 6-4 in the final of the Mexican Open to Rafael Nadal as the Spaniard claimed his fourth title in Acapulco. Nadal, who first won the title in 2005 and took it again in 2013 and 2020, stormed through...
  15. Wacha1

    Maharage Chande: Tuache kupeana maneno tamutamu; bei ya Tsh 27,000/= haitoshi kuunganisha umeme

    Tatizo la wengi hawafahamu unapounganisha umeme bila malipo ni faida kubwa kwa jamii kupunguza umasikini. Nchi zilizoendelea kila raia analipwa na Serikali kipato cha kuishi maisha ya kawaida. BTW Wakati wa JPM aliweza hilo bila kumung'unya maneno leo hii hizo zinakwenda kwenye utalii wa...
  16. Wacha1

    Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

    Ukishakuwa mtumwa huwezi kutoka, utaendelea tu kuwa mtumwa. Waacheni watoto wa watumwa waendelee kuwa watumwa kama wazazi wao.
  17. Wacha1

    The King of Clay is back!

    Rafael Nadal to face Great Britain’s Cameron Norrie in Mexican Open final (msn.com)
Back
Top Bottom