Search results

  1. Charity24

    Vijana mnakwama wapi? Kuna kijana nilimuunganisha ajira hata asante hajanipa anataka nimtafutie ajira sehemu nyingine sasa

    Vijana wetu wa kileo wengi ni tatizo, shida inasnzia kwenye malezi ngazi ya familia.
  2. Charity24

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Wasiliana na huyo 0714639399. wanaitwa Marenga wapo opposite na Ubungo plaza. Ni importers wa chakula cha samaki
  3. Charity24

    Darasa La Kwanza B: Nini kumbu kumbu yako!?

    Tukiwa la kwanza tunafundishwa kusoma. Herufi "Dd" ikawa imewekewa mfano wa "Debe" sasa jamaa mmoja akawa hawezi kusema Debe yeye anasema Bebe. Ticha alimchapa muda mrefu sana lakini jamaa akaendelea kusoma Bebe. Alikuja kufanikiwa tukiwa la pili
  4. Charity24

    Kitachompata Iran, kitaweka Historia

    Kwa nini unasema visima vya Saudia vimeshambuliwa na Iran wakati Houthis wamekiri ni wao. Jaribu kufatilia source tofauti tofauti za habari. Main stream media wanapotosha sana kwa maslahi wanayojua wao
  5. Charity24

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nakubaliana na wewe, kibongo bongo sijapata kuona jijana mwenye uaminifu wa kiwango hiki. Binafsi sijawahi kumuona physically lakini tushafanya biashara kibao na hajawahi niangusha
  6. Charity24

    Huyu mzungu ametuchanachana aisee!!

    Mungu yupo, ndo maana ulimwengu na vilivyomo viko precisely balanced kwa namna ambayo siyo co-incidence tu bali kuna super natural being iliyo_ au inayo control. Wanasayansi wana mwita "Mother nature" lakini ndo huyo huyo Mungu. Mi naona dini has nothing to do with Heaven or Hell but rather a...
  7. Charity24

    Nimefumwa na SMS za mchepuko nguvu zote zimeniishia

    Umenena vyema sana mkuu. Kwamba ikishindikana kabisa kubaki njia kuu basi chepuka kwa usiri wa kiwango cha lami mkeo asiwe na mashaka hata kidogo na uaminifu wako kwake. Yaani unaweka mazingira mkeo akuamini kuliko hata kiongozi wa dini. Of coz unatakiwa pia uwe na mchepuko amabye ni mstaarabu
  8. Charity24

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Kwa hiyo mkuu siku yako imeanza vizuri au vibaya
  9. Charity24

    Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

    Mimi ni mnazi wa masuti ya mbali hivyo na wa miss pia Michael Ballack Frank Lampard Steven Gerald Michael Essien Deco Nedved Scholes na Tosten Frings Hawa jamaa usiombe wakutane na mpira una ambaa ambaa mita 20 hadi 30 kipa ataona nyotanyota tu. Kwa kipa nammiss Oliver Khan
  10. Charity24

    Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

    Pavel Nedved Genaro Gatuso Tosten Frings JJ Okocha
  11. Charity24

    Shetani jaribu hili kwa huyu mrembo nimelishinda barabara labda ulete lingine

    Bro mi nakupongeza sana, vijana wanaponda maana hawana jicho la tatu la kuona complex phenomena kama hizi. Mi hata kibaka au teja akiniomba hela ya kula namnunulia tu msosi wa maana hadi anashangaa. Najua maana ya njaa. Kabla sijatoka nishaumwa sana njaa hadi kulia machozi. Kwa hiyo hata nikiona...
  12. Charity24

    Ushauri wangu kwa Waziri wa Fedha juu ya makosa ya risiti ama kutokuwa na mashine ya EFD

    Few days back Rais Putin kasema "Business is for the customers not the businessmen" kwa hiyo kuna mazingira mengine ukimfungia mtu biashara yake unaathiri jamii kuliko hata manya biashara mwenyewe
  13. Charity24

    Ushauri wangu kwa Waziri wa Fedha juu ya makosa ya risiti ama kutokuwa na mashine ya EFD

    Ukifunga biashara ya mtu ni mbaya kuliko hiyo kodi aliyokwepa. Ni vyema manya biashara akikutwa na kosa la mazingira kama hayo wambane kwa namna ambayo faini italipwa bila kuweka hatarini biashara yake. Yaani suala la kufunga biashara ya mtu liwe option ya mwisho kabisa, yaani bora hata kumfunga...
  14. Charity24

    Ushauri wangu kwa Waziri wa Fedha juu ya makosa ya risiti ama kutokuwa na mashine ya EFD

    Shida ni kwamba mamlaka zetu mbali mbali eg TRA hawatumii busra na logic kufanya maamuzi. Wao wakifunga biashara za watu na kuwafilisi ndo wa naona hapo kazi imepigwa. They are not friendly at all. Na hii siyo TRA pekee, almost everywhere. Ni kama tabia flani hivi specific kwa Tanzania...
  15. Charity24

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Yuko tofauti sana na kijana wa kawaida wa kibongo
  16. Charity24

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Uko sahihi mkuu, ila somewhere somehow physical address ni mihimu. Mfano kuna kampuni inataka kumtumia kama wakala wao ambapo itahitajika hadi kusaini mikataba n.k. unadhan itawezekana bila kuwa na ofisi. Kwa hivi vi-item vidogo vidogo havina shida ila kwa deal kubwa kubwa inatakiwa ofisi. Of...
  17. Charity24

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu hili ni group dogo kati ya mimi, agent wa huko China na agent wa hapa ambaye ndo huyu mwenye uzi. Mimi na-deal na issue za kufuga samaki hivyo bidhaa zangu nazoagizaga nyingi ni za mambo hayo. Wewe check tu na mwenye uzi huu he is more than reliable wala hutojutia. Actually sijui hata sura...
  18. Charity24

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    [emoji120] [emoji122] [emoji122] Nashkuru mzigo wangu umefika salama na pump zote ziko in good condition. Looking forward to doing big time business together in the near future man. Nakupongeza pia ulifanyia kazi suala la ofisi, inaongeza confidence kwa wateja. Strength yako kubwa upo kwenye...
Back
Top Bottom