Search results

  1. TingTing

    Pongezi Umeshinda Green Card

    Pia hii link inaweza kusaidia kujua zaidi kuhusu fees za kulipa na kulipia wapi; Fees for Visa Services Coming to the U.S. Permanently - Immigrant Services (Filing an Immigrant Visa Petition (When collected by U.S. Embassies and Consulates for USCIS. Fees subject to change.) Other immigrant...
  2. TingTing

    Pongezi Umeshinda Green Card

    Kama rafiki yako aliwahi kushiriki mwaka jana basi anaweza kutazama kama ameshinda kwa kutuma hii link hapa chini. Please check back at this link Electronic Diversity Visa on or after May 1, 2011 for Entrants who applied for DV-2012. Pia, hakuna hela yeyote inayolipwa sehemu zaidi ya sehemu...
  3. TingTing

    Gharama za Ku-"publish" Gazeti au Jarida Tanzania?

    Asante sana. Nitawacheki hao niwasikie gharama zao. Nashukuru, email saved for future references. Thanks
  4. TingTing

    Gharama za Ku-"publish" Gazeti au Jarida Tanzania?

    Nimejitahidi ku-google habari zaidi kuhusu gharama za ku"publish" jarida au gazeti nchini mwetu lakini sikufanikiwa. Kama kuna yeyote anayejua kuhusiana na gharama hizi tafadhali naomba anijuze na ni wkampuni gani ndio zinafanya hizi kazi. Kikubwa ni kujua "standard" gharama za kwa document...
  5. TingTing

    Elections 2010 Sumaye agoma kumchafua Dk Slaa

    ni NSSF mkubwa.
  6. TingTing

    No Nonsense Magufuli

    Kumbe watu wanaweza kufanya kazi double shifts wakibanwa siyo! Kumbe ni uvivu na umangimeza wa watu na makampuni yao katika maendeleo. Hivi Bandari ya Tanzania wanafanya kazi masaa 24 kweli au ndio saa 11 mwisho? mie utaratibu naoujua ni 11 mwisho, mombasa wanadunga mzigo masaa 24 kuna shifts 3...
  7. TingTing

    Elections 2010 Dr. Slaa atarejesha hadhi ya utumishi wa umma kama wakati wa Nyerere

    Wewe ndio hujui ila walio na ufahamu wanajua kuwa kila kitu kinawezekana. hakuna kitu ambacho hakiwezekani. ndio maana watu wanafanya research, wanafanya midahalo ili kugundua na kufumbua solutions za matatizo mbali mbali haswa katika anga za sayansi. hivyo katika maisha hakuna kisichowezekana...
  8. TingTing

    Malipo kwa gari kuukuu.

    Mombasa wako faster kidogo sema tatizo ni TRA hapo border ya Namanga. Kwa hiyo maandalizi ni muhimu mapema ili ukienda kulichukuwa unapeta nalo moja kwa moja hadi Dar iwapodestination ya gari ni Dar. Pia bandari ya mombasa ni mara chache sana utalipia gharama za kulaza gari pale. Wale jamaa pale...
  9. TingTing

    Mfumo wa ujenzi wa Gharama nafuu Dar

    Tafadhali tupeane basi hata mawasiliano ya hili kanisa au sehemu ambazo zinatengeneza haya mawe. Asante
  10. TingTing

    Registration For Green Card Lottery 2012 Begins Soon

    Inavyoonekana huyo anayelaumu watu wanakimbia nchi akawa si mwenye ufahamu ila ni msomi wa vitabu na darasani tofauti na kama anavyosema yeye. Ili uchumi wa nchu ujengeke vizuri ajifunze jinsi WaNigeria walivyowatoa wenzao katika medani ya soka na arudishe historia nyuma kwa nini wanafanya...
  11. TingTing

    Registration For Green Card Lottery 2012 Begins Soon

    Kama unaangalia upande mmoja ni sawa ila kama unaangalia pande zote basi usiwadanganye wenzako. Kuna watu wengi sana nje ya nchi na ambao baadhi wanarudi kuja kuwekeza nchini. Kwa hiyo kuwa na scholarship na kuwa na visa zote ni category moja tu kwani unaweza ukaja na scholarship halafu what...
  12. TingTing

    Registration For Green Card Lottery 2012 Begins Soon

    Nadhani wewe ndio utakuwa na matatizo haswa. Kwani mtu unapopewa nafasi kwa nini ukose kuitumia. isitoshe kama mtu una malengo yako utajua nini cha kufanya pindi ukishinda na kuja huku mbali na kusoma iwapo kama mtu atataka. Kuna kitu kinaitwa "exposure" na sijui kama unatambua umuhimu wa kuwa...
  13. TingTing

    Registration For Green Card Lottery 2012 Begins Soon

    Vitu kama hivi pia Jamiiforums wangekuwa wanaweka kwenye home page ambapo mtu yeyote anayetembelea jamiiforums anaiona link ya masuala haya. Ni vyema tukawa tunahabarisha wengine zaidi na zaidi maana watu wengi wanajua hii unalipia wakati ni bureeee. Gharama kwa sasa ni za picha yako tu...
  14. TingTing

    Precission Air, naomba kuuliza

    Kwenye soko la foreign currency nadhani huwa linabadilika kama siyo kwa siku basi kila baada ya saa kadhaa. Sielewi iweje eti precision washindwe kuweka hii online eti kwa kusema nauli huwa zinabadilika. Ukiingia kwenye website ya Kenya Airways au Fly540 unaweza kupata fare hizo online ukienda...
  15. TingTing

    Elections 2010 Will JK accept the negative election results??

    Maamuzi hayo ya nini kifanyike kama ubadhirifu umetokea katika uchaguzi 2010 wanayo wananchi na wala siyo chama chochote.
  16. TingTing

    Watanzania wanaweza kuwa na kampuni yao ya simu (100% shareholding)

    People need to be positive all the time. Continuous support is key in making such initiatives a dream come true. It is all in the mind and is caused by "NEGATIVE ATTITUDE" It can be done, if we all sit on the same level. Tujulishane tu wadau ili tuone nini kinaweza kufanyika na kwa wakati gani...
  17. TingTing

    Watanzania wanaweza kuwa na kampuni yao ya simu (100% shareholding)

    Nadhani ni wiki chache tu zimepita niliandika mada fulani ndefu tu na nikagusia suala hili la uwekezaji Tanzania kwa sisi wazawa wenyewe. Ni wazi na ukweli kuwa kampuni kadhaa za wazawa zinaweza anzishwa nchini na kuendeshwa vyema tu ingawaji tatizo kubwa ni katika uendeshaji wake. Mtazamo wangu...
  18. TingTing

    Elections 2010 CHADEMA's Free Education Promise not a Hoax, a long awaited Response

    Mimi naamini ya kuwa elimu ya bure inawezekana kama tukiweka nguvu zote katika kuboresha huduma hii. Sioni ni kwa nini wengi wetu tunakuja na akili kuwa haiwezekani badala ya kutafuta njia za kufanikisha zoezi ili. Elimu ya bure inawezekana tatizo kama tutawekeza kwenye hiyo sekta husika vizuri...
  19. TingTing

    Elections 2010 NDIYO kwa DR SLAA

    Nadhani ni muhimu kwa Chadema kuwa na NGO yao ya chama mfano labda kama "Friends of Chadema" ambayo itahusika na miradi mbali mbali pamoja na kuwezesha wananchi katika sehemu ambazo zitakuwa zimechaguliwa kwa mwaka huo. Pia itahusika na kuchangisha fedha toka kwa watanzania waliopo ndani na nje...
Back
Top Bottom