Search results

  1. S

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    sasa kama umekiona hiko kitu si utuambie ili tukijadili??
  2. S

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Bilionea Dowans atua • Asema sasa yuko tayari kufikiria kupunguza fidia na Mwandishi wetu UTATA kuhusu umiliki wa kampuni ya Dowans Holdings SA ambao pia ulikuwa ukizingira suala zima la fidia ya dola za Marekani milioni 64 (sawa na shilingi bilioni 94) ambayo kampuni hiyo inapaswa...
  3. S

    Mabomu yalipukia Nyumbani kwa WAZIRI Mkuu

    mmh, kumbe waziri mkuu ana makazi na pugu pia? me nilijua masaki/oysterbay
  4. S

    Watumishi wa umma 125,000/-; wanafunzi 300,000/= per month!

    Kweli lakini mzee!!:clap2::clap2:
  5. S

    Hodi Hodi Jamani

    welikam
  6. S

    Dodoma: Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua Bunge la 10, Nov 2010

    [B]Wana jamii mwenzenu nipo mbali na Runinga na kwa kazi ya leo sitakuwa na uwezo wa kucheck hata TV (Vijijini) Naombeni updates za huko Dom Bungeni.. Nasikia Prime Minister ameapishwa, vipi msimamo wa Chadema, walihudhuria, au kuna lipi jipya.
  7. S

    Pinda aapa bila Msaafu wala Biblia

    Hii kali ya siku ya leo.... kulikoni hakuna msahafu au biblia
  8. S

    Elections 2010 Kikwete awateua Meghji na Nahodha ubunge

    Yaani hapa hakuna ubishi, hawa ndio mawaziri watarajiwa, Jei Kei kafanya makusuidi hapa ili waingie bungeni mapema waapishwe then yeye next week akichagua baraza la mawaziri awaingize.........hii kazi kweli kweli
  9. S

    Elections 2010 Madhara ya kutokumtambua Rais

    Ungejaribu kukataa kumpisha then uone mkono wa dola la Jei kei... naona ungefia segerea Ila hata mimi ningeafiki chadema wangesusia speech kwa kuwa hawamtambui rais, ila ninachohisi watabaki bungeni ila hawatasupport hotuba yake, kama walivyouchuna jana kwa Pinda
  10. S

    Sheikh yahya aumbuka au bado?

    Huyu mzee ni mjanja mjanja sana, tena ni shushu wa CCM huyu me nahisi... ameshaumbuka mapeema ila anajifanya mjuaji tu
  11. S

    Msaada- Siku ya Eid El-Hajj

    Wana Jamii, Nimekuwa na tatizo kubwa katika kutafakuri na kupambanua juu ya Siku hii Ya Eid Al- Hajj, mimi ni muislam ila nashindwa kuelewa kwanini Eid hii inasherehekewa siku mbili tofauti hapa tanzania? Maana kuna watu wanaochinja,(hata nchi jirani za wenzetu leo wanachinja) na ndio maana hasa...
  12. S

    Elections 2010 Mnajimu yahaya hussein na ccm kunani?

    Ndo wale wale tu wa CCM, yupo chini ya CCM huyo, na ndio maaana alijifanya kutabiri kifo kwa maraisi tena akasema watakao mpinga JK, hakukuwa na lolote zaidi ya kuwatishia watu na kuwatia woga wa kugombania nafasi... na vile vile kuwafanya wananchi wajiandae kisaikolojia kumpigia kikwete.. Hivi...
  13. S

    Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC

    Kinachoangaliwa na kukubaliwa na jamii ni uwezo wa mtu na c jinsia aliyonayo... Kama Migiro ni msafi na ana uwezo , basi hata jamii itasupport kugombea kwake, na si suala la eti kufanya hivyo ni kufumba macho ya wananchi juu ya kashfa za chama tawala. Sasa wananchi wenye uwelewa hawadanganyiki...
  14. S

    Kumekucha Bungeni - PICHA za wabunge wapya wakiwa Dodoma

    Aaa jamani bunge la mwaka huu, sijui.. maana wabunge wapenda nani hii itakuwa hawajadili miswada bali wanawazia vikuku baada ya kikao wafuatilie... hehehehehe... basi hata sheria za bungeni hawa wadada hawazijui jamani?
  15. S

    Elections 2010 Mgombea wa Chadema ahongwa milioni 60

    Hii kali kweli... ukisikia chama tawala ndio hicho bana, kwao gharama si kitu ... kununua magazeti ya kumchafua mtu hata kwa milions, kumpa mtu milions ati aseme ungo kwa kumponda mpinzani, kuwafunga midogo wenye haki zao ili wasifike kwenye vyombo vya sheria... duh.... utawala bana, ni silaha...
  16. S

    Kikwete/CCM Kuigeuza Kigoma Dubai ya Afrika. Mmh!

    I wish this article could be translated into a brochures and distributed to all regions of Tanzania, so everyone could read and see this fuckin' promises of CCM. I'm truly agreed with the writter on how come the ruling party continues to make promises while those promised in 2005 have not yet...
  17. S

    Nimefiwa na BABA Yangu Mzazi

    Pole mwana jamii kwa msiba wa mzee wetu.. Hakika yeye ametangulia cc tunafuata Rabbi amuweke katika fungu la waja wema na amsamehe na adhabu Ameen
  18. S

    Jina la Said Nassor Bagaile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

    Me nachooka kweli kweli na mambo ya CCM...lol.. lazima nimpigie Slaa apate asipate shauri yangu
  19. S

    How Do Elephants Mate?

    Lol! so interesting... especially kwenye eneo la kujifungua maana female elephant woote huzunguka... hii kweli ni shule
Back
Top Bottom