Search results

  1. K

    Anayefahamu Greenbird Education Institute

    Wanalip vizuri wale jamaa ukipt jiunge nao
  2. K

    Barua ya wazi kwa wahitimu ambao bado wanatafuta ajira

    Wewe ni hatari hakik elimu uliyopt inaikomboa jamii
  3. K

    Siombi tena kazi uhamiaji

    Da don't jock ni kusikitika a degree holder anapiga picha kitaa jambo ambalo hakuwahi kuwaza kulifanya katika maisha yake , Mwingine anasema watu wanasoma degree zisizo na ajira jambo ambalo sio kweli bcoz chuo kinapotaka kuanzisha degree flani lazima ipitishe serikalini ili waruhusu kama kweli...
  4. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mawasiliano yangu 0766220722 ANDREW RAMADHANI
  5. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Naitwa andrew ramadhani nipo tabora manispaa kazima sekondary nahitaji kubadilishana na mwalimu yeyote toka mwanza mjini , morogoro mjini, kibaha na dar es salaam yeye aje tabora nanispaa
  6. K

    Mfanyakazi wa ndani

    Home maid anahitajika awe na uwezozuri wa kupika na kufanya usafi hasa wa ndani ya nyumba. Nyumba haina mtoto wala mwanamke hivyo Maneno Maneno hakuna hapo ni kazi kwa heshima na uaminifu. 0766220722 Ni contact
  7. K

    Kubadilishana Kituo cha Kazi Ualimu Ajira Mpya 2014

    Andrew r. Tabora manispaa aliye tayari kuja manispaa ya tabora mjini tuwasiliane mimi niende pwani- kibaha, dar es salaam, morogoro manispaa au moshi njini. 0766220722/0719713234
  8. K

    PCCB Wamemaliza Interview leo trh 14/03/2014

    Uliza mwaka 2011 waliajiri pia baada ya interview watu walipigiwa cm
  9. K

    Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

    Wapendwa hayo majina yanaonekanaje nimehangaika sana plz your help
  10. K

    PCCB Wamemaliza Interview leo trh 14/03/2014

    Watu wameshapigiwa simu tangu ijumaa na kuanza kupewa taarifa za mwanzo za maandalizi ya mafunzo miezi 3 hadi minne
  11. K

    Mwaka wa Saba tangu Nimalize chuo Sina Kazi

    Unaweza kufanya kazi za kuwlimisha jamii kwa njia ya mihadhara juu ya mambo mbali2 elekevu? Na upo tayar kufanya kazi hizo remote area japo kwa mud mwingi mnakuwa claster centre?
  12. K

    Madereva wanahitajika

    Kikundi cha WAADU kinahitaji madereva waaminifu , na wanaoweza kutunza pikipiki vizuri, kwa wiki kila mmoja atatakiwa kutoa elfu arobaini(40) na kila jumapili mkurugenzi atasimamia umwagaji wa oil. Sifa za mwombaji 1, Awe ana leseni na cheti cha udereva kutoka chuo kinachotambulika na serikali...
  13. K

    Ajira za uhamiaji

    Mkuu ungeitwa kwenye bunge la katiba una hoja nzito2. Mbeleko kabla mwana hajazaliwa??????????
  14. K

    Mwaka wa Saba tangu Nimalize chuo Sina Kazi

    Una elimu gani? Samahani lakini. Pole sana
  15. K

    Depo la Uhamiaji

    Kufungua mashitaka kwa watakaokutwa na makosa yanayohusiana na uhamiaji , kutunza mafile na majalada mbalimbali za uhamiaji , kusindikiza watuhumiwa wa uhamiaji mahakamani. , kusindikiza wahamiaji haramu wanaporudishwa makwao, kuendesha oparesheni za kiulinzi maeneo yanayoweza kutumika...
  16. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    KAZIMA SEKONDARY NYUMA YA ORION HOTEL .SHULE NZURI UTAWALA MZURI SEMA MIMI HUKU NI MBALI KWANGU I'm 4rm north tz
  17. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nilisahau kwa mawasiliano ni 0766220722/0719713234
  18. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natwa ANDREW R. NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA NAE KITUO CHA KAZI AJE TABORA MANISPAA. MIMI NAHITAJI ARUSHA, MWANZA JIJI, DAR ES SALAAM, PWANI,, MOROGORO
  19. K

    Walimu Kagera waomba kupelekwa JKT

    Poor argument, stupid idea = fallasy
Back
Top Bottom