Search results

  1. T

    Sakata la Dawa za Kulevya: Askofu Gwajima atema cheche, adai RC Makonda anatumika

    Hii muvi ni tamu sana,makonda anaweza ondoka kwenye hicho cheo
  2. T

    Nassari: Wanaopinga juhudi za serikali ya awamu ya tano wana matatizo

    Nadhani ishu hapa ni kwamba ametatuliwa tatizo la ardhi tu ambalo serkali ndio ilipaswa kulimaliza.kwahiyo ana haki kuipongeza.lakini mambo mengine felia tu.tena serkali imefeli haswa
  3. T

    ARUSHA: Sheikh Ponda amtembelea mbunge Godbless Lema gerezani leo

    Kamanda Lema hongera sana nimekuona Upo katika hali nzuri hutetereki.
  4. T

    ARUSHA: Sheikh Ponda amtembelea mbunge Godbless Lema gerezani leo

    Wewe inakuhusu Nini,hongera kapewa jemedari
  5. T

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Hapi afuta Hati ya Shamba la Waziri Mkuu Mstaafu, F. Sumaye

    Mashamba mangapi hayajaendelezwa mnatizama la sumaye tu!?sawa tupo najua muda ukasema na kikombe kitajaa tu
  6. T

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Hapi afuta Hati ya Shamba la Waziri Mkuu Mstaafu, F. Sumaye

    Hii ngoma mnayoianzisha Ccm ,sijui kama mtaweza kuicheza hadi mwisho
  7. T

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Hapi afuta Hati ya Shamba la Waziri Mkuu Mstaafu, F. Sumaye

    Weee ndio hovyo kweli yani Waziri mkuu akose PESA ya kununua shamba heka 35,ambazo Mi naweza nunua!! Eti amepora.mjinga sana wewe
  8. T

    Vurugu zaibuka katika ofisi za UVCCM Arusha

    Filipo Hahaha filipo Umeua!! Wapo bwana waliobaki wale wauza vitumbua kina iddi mkuluu,rama na mmbulu mmoja hivi kiherehere
  9. T

    JamiiForums yashinda mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG)

    Yani serkali kila kitu wao wa nataka kukandamiza tu
  10. T

    Sumaye: CCM kaa chonjo

  11. T

    CHADEMA yaisambaratisha vibaya CCM uchaguzi wa vitongoji Geita

    Wananchi wamejua sasa kwamba ccm ni janga la taifa
  12. T

    Mtanzania matatani kwa "kuselfie" na flight attendant

    Nilijua ni faiza fox, mana washamba wote wapo ccm
  13. T

    Wabunge wa Upinzani watoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao

    Kwa sasa huna jibu ila muda unavyokwenda utapata jibu, kua nani anakomolewa
  14. T

    Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

    Macho ya watanzania ni ukumbi wa karimjee Leo! Yupo mtukufu lowasa
  15. T

    Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

    Mwenyezi Mungu tunaomba mjalie Rais wa mioyo yetu afike salama eneo la tukio na kusema neno kwa nguvu zako Baba
  16. T

    Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

    Ccm wakisikia jina lowasa tumbo la kuhara linakuja
  17. T

    Yaliyojiri katika mahafali ya CHASO mbele ya Edward Lowassa - Karimjee Hall, Dar

    Waandishi wamesikia kua Rais wa mioyo ya watanzania ikawa tabu, wamejaa wao humo. Viva chaso
Back
Top Bottom