ni mitaa yote uliyotembelea umekutana na hizo guest house? Maana nijuavyo kwa miji yetu midogo guest house nyingi huwa zinajaa sehemu moja ya mjini. jaribu kufanya tena research kwa kuzunguka mji huo wote na mingine kadhaa then uje na conclusion yako.
Ulichoongea mkuu ni kweli ila kumbuka kuwa china miundombinu yao inaruhusu hayo. Asilimia kubwa ya barabara zao wameweka njia za pikipiki na baiskeli na za waenda kwa miguu. Changamoto kwetu ni kuweza kuweka njia za vyombo hivyo na si kama sasa ambapo bodaboda zinajichanganya katikati ya magari...
Foleni ni majanga na ni talk of the day everyday. Hayo yaliyosemwa na wadau wa sauti ya wananchi wa dar kuhusu tatizo la foleni ni kweli yanachangia sana tatizo la foleni. Tukijaribu kurekebisha hayo foleni itapungua kiasi chake. Kuongeza Kujenga barabara mpya na kupanua zilizopo si suluhisho la...
Watendaji wa serikali wahusika wa kusimamia usafi na mpangilio wa jiji huwa wanalala usingizi mpaka hawa machinga wanaweka biashara zao sehemu zisizotakiwa na baadae wanakuwa kama wamezinduka na kuwabugudhi machinga. Hivi kwanini wasiwe wanapatrol na kama wakikuta mtu ameweka biashara yake eneo...
Kimetokea nini mpaka tuchoke hivi!! Ndio maana hata mishahara sasa inalipwa kwa kubahatisha!! Awamu ya nne ilipoingia madarakani ilikuta akiba ya kutosha mpaka nyingine ikaanza kuzigawa, sasa nini kimetokea mpaka hata pesa ya kula inakuwa ya kubahatisha!!
mkuu viongozi wetu wametangaza leo huko zanzibar kuwa kesho ni mapumziko Zanzibar na Tanganyika achana na hiyo ya maulid ya jumanne. kazi ni mpaka juma5. Kaaazi kwelikweli!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.