Search results

  1. K

    Rukwa, uhaba wa madarasa wafanya wanafunzi 564 kukosa nafasi

    Kwa nini kila mwaka kunakuwa na tatizo la madarasa kwa kidato cha kwanza. Kuna mambo mengi hayawekwi wazi katika hili: 👉 Mosi, suala la wanafunzi wanaoingia kidato cha kwanza sio jambo la dharura, watoto hao wamekuwa shule ya msingi kwa kipindi cha miaka isiyopungua saba, kwa nini inapofika...
  2. K

    Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Hivi hizo pesa za HESLB zinatolewa kama mkopo ama fadhila. Kama ni mkopo kwa nini unatolewa kwa masharti yenye viashiria vya ubaguzi. Tusishangae pale watakapoongeza kigezo cha ukanda ama mkoa anaotoka mwombaji na mengineyo yenye viashiria vya namna hiyo MWENYEZI IBARIKI TANZANIA NA IEPUSHE NA...
  3. K

    Siku ya Sheria: No mention of Tundu Lissu!, Je ni amesahaulika tu kutajwa, amepuuzwa au ameepukwa?!.

    Kwenye nafsi zao wanamkumbuka sana Tundu Antipas Mugwai Lisu iwe kwa kumpenda ama kwa kumchukia ila wanaogopa kutamka kwa ndimi zao.
  4. K

    Dr. Slaa ni balozi wa nchi gani au Balozi wa nini?

    Naamini balozi ni mtumishi wa umma na kwa mujibu wa Kanuni za Utumishi wa Umma 2009; utumishi wa umma unakoma kwa lazima pale mtumishi anapofikisha miaka 60 na hukoma kwa hiari pale mtumishi anapofikisha miaka 55. Jambo la kujiuliza ni kuwa Dr. Slaa ana takribani miaka 70, huo ubalozi aliopewa...
  5. K

    Kwa CCM hii ya Magufuli, Mangula na Kinana, CHADEMA ruzuku kwishney

    Tujiandae pia kuona tanzania ya ajabu kabisa kuwahi kuwepo tangu mkoloni
  6. K

    Ushauri: Wana Kilimanjaro rudini CCM muungane na Anna Mghwira kufufua uchumi; msibaki nyuma

    Huyo mama hawezi kusaidia mkoa wa Kilimanjaro na wakazi wake kwa jambo lolote. Kuweka sawa katika hilo; anagalia historia ya maisha yake na hali ya kiuchumi ya nyumbani kwao alikozaliwa. Nachelea kusema hata yeye mwenyewe hajitambui na kwa msingi huo ni vigumu kwake kuchangamana na watu...
  7. K

    Waziri Mkuchika: Hatutapandisha mishahara (ya watumishi wa umma), tunafanya uhakiki wa umri

    Ni bora WATAWALA wakatamka bayana kuwa SERIKALI HAINA UWEZO WA KUONGEZA MISHAHARA KWA WATUMISHI WALA KUPANDISHA MADARAJA badala ya hizo EPISODE wanazoibuka nazo kila siku.
  8. K

    Dangote accuses ‘Bulldozer’ Tanzanian president of scaring away investors

    Kuanguka kiuchumi kwa nchi ya Zimbabwe kulianza hivi hivi kama tunavoona sasa ndani ya nchi ya Tanzania. Watawala wanajisifu kuwa wanawanyoosha lakini siku sio nyingi taifa litajikuta kwenye hali mbaya kiuchumi na watakaoteseka kwa hiyo hali ni wanyonge wanaotumiwa na watawala kama ngao ya...
  9. K

    Nassari na Lema: Tuna ushahidi wa madiwani waliohama wakipokea rushwa, tupo tayari kuwaonyesha TAKUKURU na DCI

    Huo ushahidi kama upo namshauri Mheshimiwa Nassari auanike kwa 'MAHAKAMA YA WANANCHI' ili wananchi wautafakari na kuutolea 'HUKUMU STAHIKI'. Huko kwingine naona kama wanakotaka kuupeleka ni wazi kuwa wataishia kupoteza muda na zaidi wataambulia maneno ya kebehi, shutuma, dhihaka na mipasho tu...
  10. K

    Lazaro Nyalandu: Kwa sasa, mipango ya kumsafirisha Lissu kwenda nje itasimama kutokana na ushauri wa Madaktari

    Ni muhimu CHADEMA wakawa makini na watu wanaowashirikisha kwenye mipango inayohusu matibabu ya Mheshimiwa Tundu Lisu. Naona dalili ya mamluki kupenyezwa kiaina ili kufanikisha malengo ya wabaya wa Mhe. Lisu.
  11. K

    Magazeti ya Nipashe na Mwananchi yapewa onyo na serikali juu ya uandishi wa habari za bomoabomoa Kimara

    Watawala wanapoamua kukwepa NURU na kuegemea GIZA ili udhalimu na uovu wanaotenda usionekane machoni pa MATAIFA. Na hao wanaoshabikia hiyo dhambi ya kupenda giza na kukwepa nuru watakumbana na mkono wa Mwenyezi Mungu kwani tunaambiwa kwenye Biblia kuwa; 'Ole wao wasemao kwamba uovu ni wema, na...
  12. K

    Zitto atamani wapinzani waungane kuing’oa CCM madarakani

    Anatafuta njia ya kujipenyeza ili aweze kujua kinachojiri ndani ya UKAWA. Huyo mtu ni wa kuangalia kwa makini sana kwani hajulikani ni wa rangi gani
  13. K

    Magufuli awashukia viongozi UVCCM Shaka na Sadifa

    Mzimu wa akina Nchimbi bado umejikita kwenye hilo genge linalojiita vijana wa kijani...
  14. K

    Kwa ubaguzi na upendeleo huu anaufanya Rais tena wazi wazi inaamana wasio na vyama hawana haki na uteuzi?

    Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana na inasambaa haraka kama moto wa gesi. Akimaliza kubagua walio nje ni lazima atarudi kwa wale waliomzunguka na hatimaye ataelekeza mashambulizi kwa wale wanaofikiri wanaishi nyumba moja naye. WATAWALA WANAIMBA WIMBO WA UMOJA WA AFRIKA WAKATI KWENYE NCHI ZAO...
  15. K

    Zitto Kabwe aulizwa swali gumu Twitter, alivyojibu imeshangaza wengi

    Ni vigumu kumtenganisha Zito na Haruna; wote wanamtumikia mfalme mmoja kwa staili tofauti
  16. K

    Tetesi: Jeshi la Polisi kuzuia kikao cha baraza kuu la CUF

    Kwa nini watawala wa awamu ya tano wanaelekeza nguvu zote kunyamazisha ama kuua upinzani badala ya kujikita katika kutatua matatizo yanayolikabili taifa na wananchi kwa ujumla. Hivi msingi wa matatizo yanayoikabili Tanzania kwa sasa ni wapinzani ama yanatokana na mfumo pamoja na watawala wenyewe?.
  17. K

    Ujinga ni kununua diwani wa CHADEMA huku ukijua hata uchaguzi ukitumiwa huwezi kushinda

    Tanzania inaongoza kuwa na viwanda vya kuchenjua madiwani na wabunge wa upinzani
  18. K

    Maoni: Rais Magufuli ahutubie kama Rais

    Hakuna shule wala mwalimu wa kufundisha hekima na busara. Hekima na busara ni tunu anayopewa mwanadamu kutoka kwa mwenyezi mungu. Ni bahati mbaya sana kuwa taifa letu lina watawala waliokosa uchaji wa mungu na katika hilo usitarajie japo chembe ya hekima wala busara kutoka kwao. Mfalme suleiman...
  19. K

    Rais Magufuli anamjenga Tundu Lissu kisiasa bila kujua!!

    Watawala waliopo na wale wastaafu wanawabeza na kuwadhihaki Watanzania wanaowalisha na kuwavisha kwa kodi zao kuwa ni MALOFA, VILAZA, WAVIVU na kila aina ya maneno ya kuudhi lakini wanashindwa kujitambua wao wenyewe wako kwenye nafasi gani katika kutumia hekima na busara japo kidogo waliyojaliwa...
  20. K

    Kutoonekana kwa Viongozi/Mwakilishi wa Vyama vya Upinzani Katika Msiba wa Mke wa Mwakyembe

    ''Mwingine katika wanafunzi wake akamwambia, Bwana, nipe ruhusa kwanza, niende nikamzike baba yangu. Lakini Yesu akamwambia, nifuate; waache wafu wazike wafu wao.'' - Mathayo 8: 21 -22
Back
Top Bottom