Search results

  1. C

    Mzozo Mpya Waibuka UKAWA: Ni Kuhusu Nafasi ya Urais!

    Acha kuota weweeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!! unawaza ruzuku tu huna jipya
  2. C

    Silinde akanusha yeye na Wenje kufanya maamuzi magumu muda ukifika

    Mleta mada huna cha kuandika ni umbea na porojo tu
  3. C

    Why UKAWA will loose the 2015 Election

    Kiingereza kwako ni shida si uandike tu Kiswahili. Unajua tofauti ya loose na lose?
  4. C

    CCM hawana Chao Jimbo la Iringa

    Yani mkakati mzuri wa Ukawa utaifanya CCM ikienda kwenye uchaguzi October washindwe kuamini wakati wa kuhesabu kura kwa sababu raia wengi wa below 45yrs wanaunga mkono Mabadiliko
  5. C

    Vita sasa ni Mbowe na Slaa

    yaani gazeti lenye waandishi wenye akili mgando unapost habari zake humu? Waendelee kujifariji tu kuwa Chadema/Ukawa kuna vita siku watakaposhtuka watagundua wamechelewa sana sana
  6. C

    Wananchi Waandamana Jijini Arusha Kudai Huduma ya Maji, Mbunge Lema Asaidia Kutuliza Munkari

    Sasa si afadhali hata Lema ni mbunge wa ajabu sana kuliko wewe mpika majungu wa ajabu sana
  7. C

    CHADEMA yakwamisha Ujenzi wa maabara Tarime-Mara

    Hoja dhaifu kutoka kwa mtu dhaifu na mshirika wa chama kilicho dhaifu.
  8. C

    Waziri Amos Makalla anaishi katika nyumba isiyokuwa na milango wala madirisha

    una akili zako zote na unaandika haya? Unaamini kabisa naibu waziri anaweza kuishi nyumba kama hiyo, lengo liwe ni nini hasa?
  9. C

    Mbowe atangaza Vita na Zitto katika Vikao vya ndani vya Chama

    Kamanda makini, mwenyekiti makini na chama makini. Wewe ulitaka asemeje, watu wakae wapange strategies za kushika dola halafu wewe utoke ukawasiliane na magamba na kuvujisha siri bado watu wakuchekee tu, kamwe haiwezekani na kama inawezekana labda kwa magamba na vyama vibaraka wa magamba kama...
  10. C

    Nape: Dk. Slaa ni Muongo na Mzushi aliyebobea

    Yaani kama katibu mwenezi wa chama tawala uwezo wake wa kujieleza ndo huu ni jambo la kufedhehesha kabisa, porojo nyingi utadhani unawaimbia watoto wa chekechea!!! Shame on you
  11. C

    Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

    Hana jipya huyo, maneno yanamtoka tu yasiyopangika yasiyo na weledi wowote na mwishowe ni kuumiza masikio ya wananchi tu
  12. C

    Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

    Kumsikiliza Nape ni kutokuitendea nafsi yako haki, ni kuuchosha ubongo wako kujadili mambululula
  13. C

    Mwigulu: Mabilioni Yaliyofichwa Uswisi Kutaifishwa

    Wapi na wapi uliona pesa ya Uswisi inarudishwa wewe MBULULA? Pesa ya kina Mobutu, Mubaraka, Nguema, Ferdinand Marcos na wengineo hela yao ilirudi lini? Unaifahamu Uswisi au unaisikia tu?
  14. C

    CHADEMA yang'ara Uchaguzi marudio s/mitaa

    Hawaponi magamba mwaka huu
  15. C

    Kwanini UKAWA hawatangazi mgombea wa URAIS mapema?

    Kwanza watu hawagombanii urais au ubunge au udiwani, ila huwa wanagombea. Pili dalili unataka uzione wapi? wewe unataka ualikwe kwenye vikao vya kamati tendaji za vyama vinavyounda ukawa ili ujue kuna dalili au hakuna? Au ulitaka wapigane vijembe kama magamba? Na je kwako wewe Tz hii upinzani ni...
  16. C

    CCM ni mnufaika mkubwa wa ufadhiri wa UJERUMANI

    Mudy Mtoi asante sana kwa uchambuzi mzuri, magamba yanatoa povu bila sababu yeyote na hayana hoja
  17. C

    Polisi waanza kuchunguza vikundi vya ulinzi vya vyama vya siasa

    Red brigade na Blue Guard wa CUF sio tu wanatakiwa kuwepo ila wanatakiwa kuboreshwa na kuimarishwa zaidi ili kupambana na wahuni wa Green Guard wa magamba
  18. C

    Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    Delete magamba hao, safi sana wana-Sumbawanga
  19. C

    Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    Delete magamba hao, safi sana wana-Sumbawanga
  20. C

    Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

    Kwani wewe ambaye ni kada unayeinukia una kashfa? mbona unakomaa kumsifia mwenzako ambaye unamwelezea kama mkongwe?
Back
Top Bottom