Search results

  1. H

    Kwanini CHADEMA inamuogopa Lowassa?

    Kwa hiyo unataka kutuambia lowassa siyo fisadi na wewe!!!hii nchi ina mijitu ya ajabu sana aisee,hivi anawapa nini huyu lowassa mpaka hata mkajitoa akili kiasi hiki??hili swali hata rafiki yangu kubenea namuuliza pia,hana majibu.
  2. H

    Kwanini CHADEMA inamuogopa Lowassa?

    chadema mnyang'anyeni kadi huyu mtu,sio chadema mwenzenu huyu kutokana na matendo kauli na kampeni zake za wazi na za kudumu kwa kada wa ccm..chadema ndio maana inachelewa kufanikiwa kutokana na kuwa na watu wengi wa aina ya huyu jamaa,wanaojifanya wapinzani kumbe wanaipenda ccm kimtindo,watu...
  3. H

    Kwa wahasibu wetu: Nyumba ni 'Asset' au 'Liability'?

    mbaya zaidi hii kitu imetoka U TURN BLOGS kule kwa mange kimambi kwa mujibu wa mleta na inatuhangaisha great thinker mpaka leo hatujaweza kuelewana..
  4. H

    wadada wa kizazi kipya DRC nani zaidi?

    kweli jamaa anamsaidia sana fally,ni meneja wa ukweli kazi yake anaijua hasa ndio mana fally kwa sasa ndio anaongoza kwa kupata kazi nyingi ndani na nje ya africa kuliko kaka zake kina Jb,werra,koffi,wazekwa n.k.,game ya muziki wa congo ni ngumu sana kutoka,mtaona wengi wamejaribu lakini...
  5. H

    Pichani kasi ya Lowasa si ya kawaida

    Yani mchafu hawezi kuvaa uchafu au?
  6. H

    wadada wa kizazi kipya DRC nani zaidi?

    Meje na cindy wanamchuano mkali ambao umezaa biff kwa sasa kati yao,lakini hilo biff linakuzwa na koffi olomide:koffi anamchukia sana meje 30 kwa kuwa meje aliwahi kuwa kwenye moja ya bendi ya koffi kama underground pale,sasa koffi kama kawaida yake akawa anataka kumtumia au inawezekana...
  7. H

    wadada wa kizazi kipya DRC nani zaidi?

    Huu wimbo ni wa majonzi lakini koffi na cindy wake wameimba kwa kupokezana vizuri sana.Wimbo huu koffi na cindy waliuimba maalum kwa ajili ya maombolezo ya kifo cha mdau muhimu sana kwenye muziki wa congo mamaa EDITA SASSSOU NGUESO a.k.a.editha mwana ya sassou mwasi ya mokonzi,huyu alikua ni...
  8. H

    Lowassa ahudhuria viwanja vya Maulid Mnazi Mmoja

    mtu anatanga tanga huyu,si angekaa akashughulika na afya yake kwanza!hajionei huruma?
  9. H

    Chadema imejiandaa vipi 2015 kuzipata kura za waislam?????

    Hujasikia chadema ina wabunge wengi zaidi nje ya kilimanjaro na arusha kunakoaminika kuwa na wachagga wengi?hiki ni kielelezo tosha kwamba la ukabila halipo tena,hili la udini ndio issue japo ccm wanalikuza zaidi wakati chadema wamelala usingizi hawalishughulikii kama ccm...
  10. H

    Watoto wa kariakoo mpo jf?

    kipata na nini basi si useme maana kipata kubwa,sema tu kipata na nini tukutajie majirani zako may be tunawajua..au umesahau kidogo?kusahau imo!
  11. H

    Watoto wa kariakoo mpo jf?

    Hebu sema sawa sawa,hizo nyumba ziko vipi msimbazi kongo na kipata?elekeza kama mzawa wa kariakoo,mfano unasema kipata,je kipata na living stone,kipata na nyamwezi au kipata na nini sasa,vivo hivyo msimbazi na hiyo congo maana msimbazi na congo kongo kukutana kidogo muhali,weka wazi tukujue kama...
  12. H

    Watoto wa kariakoo mpo jf?

    Nawe nae ni wa kariakoo?haya tuambie we kariakoo yako ipi
  13. H

    Julius Malema wa Tanzania yuko wapi?

    Julius malema insults bbc journalist - YouTube
  14. H

    CHADEMA: Mbowe atafuta wa kumrithi uenyekiti

    Hii ya uchagga na ukristo hata mimi naipinga,ni siasa za maji taka za makada wa ccm kuwapakazia wapinzani wao ili kuwachanganya wananchi,kwa kuongezea sio tu kwamba Bob Makani mwenyekiti alimtangulia Free hakua mchagga,bali hakua pia mkristo,Bob Makani ni muislam.
  15. H

    CHADEMA: Mbowe atafuta wa kumrithi uenyekiti

    Anapima upepo tu asikie tutasema nini,hana jeuri ya kuachia ngazi kirahisi namna hiyo,japo nasikia nasikia anataka kugombea urais ili apambane na mchovu Lowassa kwa kuwa anajua atamshinda kirahisi
  16. H

    Julius Malema wa Tanzania yuko wapi?

    ANC's Julius Malema lashes out at 'misbehaving' BBC journalist Furious youth leader ejects reporter from Johannesburg press conference calling him a 'bloody agent' with 'that white tendency' reddit this David Smith, in Johannesburg guardian.co.uk, Thursday 8 April 2010 11.47 EDT Article...
  17. H

    Julius Malema wa Tanzania yuko wapi?

    Ok bwana "rijali" haya happy now?Kama ndio rudi kwenye mstari sasa tuonyeshe alipo Julius Malema wa bongo kama unajua alipo....
  18. H

    Tanzia: JK kafiwa na mtoto wa dada yake

    Kwao kabisa ni Bagamoyo na Msoga, lakini akiwa Dar es salaam kwao ni hapo mtaa wa Tosheka magomeni nyuma ya ule msikiti mkubwa unaotazamana na kanisa pale kwenye trafic lights za magomeni, kipindi kirefu cha ujana wake amekitumia mitaa ile akisoma kibaha na baadae chuo kikuu mlimani. Hata baada...
  19. H

    Julius Malema wa Tanzania yuko wapi?

    Nawewe acha ufala wako, hebu kuwa open minded kidogo,if u christian or muslim is up to u....dini ya mtu inatusaidia nini sisi hapa,kwani umeambiwa tunataka kuungama hapa?...sisi tunamtafuta kijana wa kibongo wa aina ya Julius Malema,kama unae tutajie tumchambue,mbona unachanya taarifa kaka!rudi...
Back
Top Bottom