Kwa maoni yangu: pale kwenye kampuni kuna watu wamefanya kazi muda mrefu sana. Ulizia kwa wafanyakazi mtu anayeijua sana kampuni. Chagua kama watu watano wa namna hiyo. Waulize njia muafaka za kufanya ili kampuni ipae, iwe juu kwa kufanya vizuri, kwa kufanya maajabu, isipate hasara. Utapata...
Ndugu MziziMkavu, nashukuru kwa haya maelezo yako ya kina kuhusu Jamii Forum. Nitajitahidi linalowezekana na tutawasiliana kwa anuani mbali mbali ulizotoa. Asante.
Ndugu WanajamiiForum, hamjambo? Mimi ni mgeni hapa, sana. Siku ya leo, Jumamosi 26 Desemba, 2009, ni siku yangu ya kumi (10) tu. Kwa hiyo bado sina hakika kama ninalotaka kuuliza linaulizika au vipi, kama linaruhusiwa au vipi, iwapo mgeni kama mimi naruhusiwa kuuliza hivi, au sina budi kuishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.