Search results

  1. nusuhela

    FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

    Huku tanesco wamefanya yao
  2. nusuhela

    Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

    Kumbuka VAR zimewekwa ili kujiridhisha kuondoa hayo unayoyasema. Mbona refa alipeta?
  3. nusuhela

    Serikali yapiga marufuku matumizi ya kuni na mkaa kulisha watu zaidi ya 100

    Njia rahisi ni kupunguza gharama za umeme na gas. Nje ya hapo, ni porojo tu
  4. nusuhela

    Tuwape Tanesco maua yako haraka

    Bei ishuke kama ilivyokua mipango ya mwendazake. Hii itasaidia kupunguza uharibifu wa mazingira maana majiko ya umeme yatatumika zaidi
  5. nusuhela

    Kwanini haki za Wanaume na Wanawake hazipo sawa

    Sababu kubwa ni mwanaume kushindwa kufanya majukumu yake ya msingi kwa familia. Endapo wanaume wote tungetumiza wajibu wetu kwa familia, hakika wanawake wasingelilia haki sawa
  6. nusuhela

    Ni afadhali mara mia Yanga ipangwe na Mamelodi Sundowns kuliko ASEC Mimosas

    Nyie simba ni wakubwa kuliko Yanga kimataifa hilo linafahamika. Ila kumbuka record huvunjwa mzee na mpira wa sasa umebadilika sana. Mnajifariji kwa historia utadhani mmekua watu wa porini
  7. nusuhela

    Ni afadhali mara mia Yanga ipangwe na Mamelodi Sundowns kuliko ASEC Mimosas

    Eti ni bingwa wa robo fainali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. nusuhela

    Kama sisi simba tulichilimbwa 5 kama wangekutana na galaxy zingefika ngapi?

    Mpira hauna formula ndio maana Ihefu inayochapwa na simba, bado ina record ya kuichapa Yanga
  9. nusuhela

    Nchi imetulia kila mtu anacheka!

    Raha ya mpira wa bongo ni huwezi shangilia ushindi wa timu yako bila kubeza upande mwingine. Upande wangu nimefurahi Tanzania kuwa nchi pekee msimu huu kupeleka timu mbili robo fainali Mimi sio muumini wa kuwatambishia wanaokula biliani leo kuwa mimi nilikula miaka iliyopita. Kwani naamini...
  10. nusuhela

    Quarter final ya Simba ni hatari

    Hili ni jambo kubwa sana kwa soka la nyumbani. Hakika mpira wetu unakua sasa
  11. nusuhela

    Hii ndio Kauli ya Kocha wa Simba baada ya ushindi wa 6 kwa Buyu

    Kwenye game ya jana jamaa alitisha sana
  12. nusuhela

    Simba yawaonesha Yanga namna ya kufuzu robo fainali

    Hakuna kisicho na mwanzo. Mlitangulia tu acheni kujiona miamba wakati mnaishia robo fainali
  13. nusuhela

    Simba yawaonesha Yanga namna ya kufuzu robo fainali

    Yaani simba amfundishe mtu aliyefuzu na mechi moja mkononi?
  14. nusuhela

    Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

    Twanga mkaa mpaka uwe unga. Changanya kwenye pumba wape wale. Watapona
  15. nusuhela

    Nakisi ya umeme nchini kwa sasa ni kati ya Megawati 300 - 400 hivyo ni dhahiri tatizo la mgao wa umeme linakwenda kumalizika

    Kuisha kwa tatizo hilo kuendane sambamba na kushuka bei kwa unit kama ilivyokua mipango ya mwendazake
  16. nusuhela

    Tafadhali naomba leo Saa 3 Usiku tusipoteane hapa Jukwaani JamiiForums!

    Jamaa ulijua saa tatu isingefika?
  17. nusuhela

    Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

    Kwani kuolewa ni lazima? Mimi nadhani mwanamke ambaye hataki kutawaliwa na mwanaume, akomae maisha yake mwenyewe asiolewe
  18. nusuhela

    Uovu wa shetani ni upi kwa mujibu wa maandiko?

    Wakati Mungu anamuumba huyo malaika ambaye ni shetani, alikua anafahamu kuwa ipo siku huyo malaika atamuasi na kugeuka kuwa shetani?
Back
Top Bottom