Search results

  1. UkoowaMagorombe

    Mwanakijiji anajua kuchambua matukio ya kisiasa lakini uchambuzi wake ni "outdated"!

    Umeambiwa huyo mwanaume unayemtafuta lazima umpatie jukwaa la siasa?
  2. UkoowaMagorombe

    Yote tisa, kumi CCM wametuweza kweli kweli

    Sitegemei leo nimuone Mzee Mwanakijiji akimkubali Lowassa hata kama atakuwa huku Ukawa, ninacho kiona ni kitu kama chuki binafsi na kinyongo kisicho kwisha, anakumbuka ilikuwa ni miaka miwili baada ya Lowassa kujiuzulu hukusiana na Richmond na hakuwahi kuongea kwa kipidi chote hicho, Kuna siku...
  3. UkoowaMagorombe

    Wiki ya kwanza ya mwezi Septemba, UKAWA watapatwa na mtikisiko Mkubwa sana ambao haujawahi kutokea

    Samahani naomba kuuliza, hivi wewe huwa ni jinsia gani?? mwandiko wako unanitatanisha!
  4. UkoowaMagorombe

    Waziri wa zamani Lawrence Masha afikishwa Mahakamani, akosa dhamana

    My E Lizaboni How many times do I have to tell you Even when you're crying you're beautiful too?? The world is beating you down, I'm around through every mood You're my downfall you're my muse My worst distraction, my rhythm and blues I can't stop singing, it's ringing, in my head for you.........
  5. UkoowaMagorombe

    UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    Ukiwa ccm sijui akili huwa zinaruka, embu rudia nilichokiandika acha kuweweseka, hakuna mahala nimesema Tanzania ni Libya.. Nilichosema ni kwamba "hata Libya waliwahi kuishi kwa amani" kama umeshindwa kujua tafsi ndogo tu ya sentesi hii nikuweke kundi gani? Unaposoma comment ya mtu funga...
  6. UkoowaMagorombe

    UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    Mkuu, unawajua hao waombaji? Hasa ukirejerea kwenye maelezo ya barua husika!
  7. UkoowaMagorombe

    UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    Kwa akili yako unapswa kujiuliza tu kama maelezo haya yanatosha kuzuia mkutano mkubwa wa chama cha siasa haswa kipindi hiki muhimu cha kampeni??
  8. UkoowaMagorombe

    UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    Soma taratibu ikibidi rudia mara mbili mbili hapo kwenye red, kisha jiulize kama ulichokiandika kinamaana katika suala husika!..
  9. UkoowaMagorombe

    Mtatiro: Kaskazini wana Mkakati wa kwenda Ikulu

    Kwa namna yoyote ile hata kama tunayataka sana madaraka na ni lazima kama baadhi ya watu wanavyojiaminisha, lakini tunakoelekea na hizi siasa za kutugawa Watanzania kikanda siyo afya kwa Taifa leo. Siyo vyema kabisa kuendelea kushabikia na kuhuburi, ukanda,udini na ukabila, Wanasiasa tutumieni...
  10. UkoowaMagorombe

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Haha! Bibi Ccm ndiyo walitumia hiyo propoganda kwamba atakuwepo Babu Slaa Mchumba wako wa ujanani ikawa kinyume!
  11. UkoowaMagorombe

    Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

    Wao wamemwaga mboga tunasubiri upande wa pili umwage ugali ili twende sawa!
  12. UkoowaMagorombe

    Baada ya jana kuambiwa mgonjwa lowasa adandia dala dala- ali kiba ampa mbinu

    Suala la afya nalo ni ajenda kweli ya kuishikiria kidete? mbona wagonjwa wengi tu wapo mtaani kuliko hosp.!
  13. UkoowaMagorombe

    Nsanzugwanko adanganya fomu za uteuzi

    Haha!Fungua kule nije ....
  14. UkoowaMagorombe

    Nsanzugwanko adanganya fomu za uteuzi

    Haha! una kwako na wewe mrs danny??
  15. UkoowaMagorombe

    Nsanzugwanko adanganya fomu za uteuzi

    Tutakupa wewe viti maalumu By mylifejob........huhu
  16. UkoowaMagorombe

    Patrobas Katambi wa CHADEMA, atekwa akirudisha fomu ya ubunge Shinyanga Mjini

    Habari za kipuuzi kama hizi zipuuzwe........
  17. UkoowaMagorombe

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Hii siyo suprise kwangu ni utimilifu wa kile nilichokuwa nakifikiria, Lipumba ni moja kati ya watu ambao sikuwa na imani nao ndani na nje ya Ukawa! Katika safari ya Ukombozi watu wa aina hii huwa hawakosekani..
Back
Top Bottom