Search results

  1. headson

    Wahenga mpooooo

    Mchina keshaharibu asili ya dada zetu.sasa ni mwendo wa vidonge tu
  2. headson

    Wahenga mpooooo

    Hahahahahaahahahahahahahh
  3. headson

    Fundi Milango ya kichina/jeshini

    Naomba na mimi unisaidie Namba za huyo fundi nina mlango wangu umenitoa jasho.wezi waliuharibu sasa imeshindwa kuwa sawa.naomba namba za huyo fundi nami nimtumie.No zangu 0653670252
  4. headson

    Uber inaitajika haraka muda huu

    Majanga kweli Bongo ni Mengi, maelezo yako yana mkanganyiko,unaitaji uber mwenye No akupe uipige,alafu tena unadai huna simu umeibiwa , sasa unampigia kwa namna gani na je hapo ulipo kama una Access mpaka umeweza ingia jamii forum inamaanisha una simu nzuri tu,sasa mimi najiuliza maswali mengi...
  5. headson

    Nimemuona kipendacho roho JF

    Mwacheni msimtukane ,kila mtu kaumwa na uwezo wake na Taratibu zake ,najua Jamii Forum ni jukwaa la watu wazima na wanaojitambua na wenye kuwa na mawazo positive, haya matusi mnayomtukana huyu jamaa sioni kama yanaweza msaidia ,kama jibu la kumpa lilikosekana mngemwacha wajibizane na mhusika...
  6. headson

    Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

    Kaka nimesoma Ujumbe wako ,umenigusa ila naomba na wewe nikulaumu jambo moja,Alipokuaga anakwenda kwa Mwanamume kumrejeshea pesa zake jioni,ulimruhusu kwa kumwamini vipi aende huko wakati ni mara yake ya tatu,isitoshe mwanamume mwenyewe aliyempa pesa humjui na hujui alikopeshwa kwa kigezo gani ...
  7. headson

    Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

    Uzi umeishia njiani
  8. headson

    Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

    Naomba tuwasiliane kwa no 0653670252 ili unipe contact za hao jamaa wa kusafisha meno masaki.ahsante
  9. headson

    Kununua gari kwa mkopo niende wapi Dar?

    Nami naitaji mkopo wa Gari naombeni kujua utaratibu nini cha kufanya ama niende wapi.no zangu ni 0653670252 ,Ahsanteni
  10. headson

    Biashara ya salon za kiume na kike

    Tatizo la watu wengi si wagunduzi wa mambo,kila anayefungu saloon ananyoa nywele za kichwani na ndevu,kwann wewe usigundue stayle yako ya kunyoa kwingine,?nywele zipo sehemu nyingi tu za mwili,jaribu hii itakusaidia na wateja utapata wengi sana. Kunyoa kule kuna lipa sana wakuu
  11. headson

    Biashara , benz na vista kwa bei poa

    Nipigie 0653670252
  12. headson

    Selling My Cars in a very Good Condition

    Mh,ilikuwa inafanya mishe ya ujambazi nini,?maana hiyo bei utadhani ndio inatoka japan leo.hizo km 170 ingekuwa na mdomo ingesema bora ipumzishwe kwa amani
  13. headson

    Kampuni gani ya kukodisha magari(car rental) bei zao ni nafuu hapa dar?

    Mimi naitaji prado nicheki kwa no 0653670252
  14. headson

    Udalali Wa Magari

    Ipo gaia no BNT 0653670252
Back
Top Bottom