Search results

  1. S.W.A.T

    Msaada ku-unlock phone IMEI

    inawezekana japo ni illegal tumia cracked version ya miracle box software then go to unlock sim.
  2. S.W.A.T

    Nokia is back, Nokia 6 yazinduliwa China

    MAVI YA KALE.........
  3. S.W.A.T

    Abel na Kaini (kizazi cha Adamu na Hawa); Je, wake zao ni kizazi cha nani?

    Kwani Lutu baada ya mkewe kugeuzwa jiwe la chumvi na akabaki na binti zake wawili biblia inatuambia nini? biblia inasema Lutu alilala na binti zake,na wakazaliana sasa mnashangaa nini mtu kumuoa dada yake wakati Lutu alilala na binti zake wakitoka sodoma.
  4. S.W.A.T

    Dmitry Itskov: Mwanasayansi anayejipanga ku-upload ubongo kwenye kompyuta na kukomesha kifo

    Watu bwana basi semeni kuhamisha figo ya mtu ni dhambi.
  5. S.W.A.T

    EHE HESABU YANGU YA DARASA LA SABA NINAWAOMBA MUJIBU WENGI WATAFELI

    Mathematically Let bata = B Let Paka =P Let kondoo = k P +P+P=3P 3p=12kg P=4kg Hence paka Ana kilo 4 But. P+b=5kg b=1kg Bata Ana kilo 1 K-b=99 K-1kg=99,,,k=99+1=100kg Kondoo ana kilo 100 K+b+p=(100+4+1)kg=105kg
  6. S.W.A.T

    Which country has best intelligency agency

    Tunatofautisha mtu mmoja na mwingine kutokana na maarifa na sio umri,nadhani sijafanya vibaya kukupa maarifa ya namna ya spelling na matumizi ya r na l.
  7. S.W.A.T

    Which country has best intelligency agency

    La le li lo lu Ra re ri ro ru hizo ni herufi tofauti kimuonekano hata kimatamshi hivyo ulipaswa kuandika "tafahali" na sio "tafadhari" kajifunze kwanza Spelling.
  8. S.W.A.T

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Aisee nimejaribu na ganzi ilianzia kichwani then nikaanza kama kuhisi kuna ukimya mkubwa nikahisi mwili unakufa ganzi,kufikia hapo nilishtuka nikaanza kucheka mwenyewe ila nilikuwa sina nguvu mwili ulikuwa umelegea.Nimejaribu 2nd time nimeshindwa kabisa.
  9. S.W.A.T

    Physics: Ugunduzi wa gravitation waves, je italeta mapinduzi gani zaidi katika sayansi

    Einstein was 100% right na huna hata theory moja ya kumpinga,Space time ipo na inabend tokana na collision ya heavy objects,pia mzunguko wa sayari unapelekea space time kupinda hivyo kutokana na bending ya space time inapelekea wave ndogo sana kuzalishwa,waves hizi zijulikanazo kama ripples...
  10. S.W.A.T

    Koenigsegg's horizontal roller coaster

    Sawa kaka nimesoma nimekuelewa,Koenigsegg ni gari nzuri,ila nikizitazama Koenigsegg,Ferarri na Venom Gt naona kama zimekaa kama gari za F1,Ila wameweka body kama cover ila ni formula moja na F1 Cars naona,Ila Bugatti ni gari bwana,kwanza engineers wamedesign body amazing sana,pia niliiona...
  11. S.W.A.T

    Physics: Ugunduzi wa gravitation waves, je italeta mapinduzi gani zaidi katika sayansi

    Mapinduzi yatakuwa makubwa kwa maana hata huu ugunduzi wa tar 11 mwezi huu inasemekana black holes hizo mbili ambazo zilikuwa zikizungukana kwa kasi sana kabla ya kugongana zilikuwa umbali ambapo ukisafiri kwa kasi ya mwanga ni miaka bilioni 1.3 ila wao walitumia 20 millisecond kupitia...
  12. S.W.A.T

    Physics: Ugunduzi wa gravitation waves, je italeta mapinduzi gani zaidi katika sayansi

    A very great innovation,sasa mipaka yao ya uchunguzi katika black holes imekuwa midogo kwani black holes was invisible by any kind of EMW,aisee hii elimu ya space ni pana sana,black holes zinatokea when heavy objects as stars zikiwa mwisho wa maisha yake kugongana na kutokea black holes at which...
  13. S.W.A.T

    Which country has best intelligency agency

    Hapa hakuna cha CIA wala MOSSAD wote hawa walilitetemeshwa na Iran baada ya drone yao kushushwa,wakati walikuwa wanajinadi ni invisible hata kwa Radar,baadae wanashindwa kujitetea na kusema eti hata hivyo ni public knowledge.Haya achilia hio marekani huyo huyo na mpambe wake Israel walituma...
  14. S.W.A.T

    Koenigsegg's horizontal roller coaster

    Ngoja nikueleweshe vizuri,bugatti ilijaribiwa na kufikia 431km/hr na kuvunja rekodi katika Guiness,baadae Gt venom walikataa na kusema kuwa gari iliyotumika ilikuwa ni test-mode na yao iliyokwenda 415km/hr ilikuw tayar kwa matumizi personal,hata hivyo engineers wa bugatti wameamua kuiweka...
  15. S.W.A.T

    Dell Desktop: Kuuliza sio ujinga

    mh unareplace mpaka processor,mbona sifahamu kuhusu hili.
  16. S.W.A.T

    Tujifunze kutengeneza drone(Quadcopter)

    As i know project kama hizi zinahitaji fungu la pesa i mean budget,kwa hapa tunaweza ila itabidi kutumia local materials.
  17. S.W.A.T

    Tujifunze kutengeneza drone(Quadcopter)

    As i know project kama hizi zinahitaji fungu la pesa i mean budget,kwa hapa tunaweza ila itabidi kutumia local materials.
  18. S.W.A.T

    Koenigsegg's horizontal roller coaster

    Inawezekana kweli hii koenisgegg ikaizidi Speed Bugatti,Lakini Bugatti ni mambo nyingine kutokana na uwezo wake mkubwa wa aerodynamics,it means Bugatti inaweza kukimbia kwa spidi kali sana bado isitetereke tokana na upepo,gari kama GT venom pia inakimbia sana ila haiwezi jihimili katika...
  19. S.W.A.T

    Kitu gani cha luxury umepanga kununua ukipata mkwanja?

    Ninunue pioneer plx 1000 mpyaaaaa,napenda sana deejaying kwa enjoyment tu,nina pioneer cdj 1000.nahisi within this year.
Back
Top Bottom