Alikuwa mdini kupita udini wenyewe. Yeye kila atakachoandika lazima akashfu imani za wengine. Kwa hiyo watu wakawa wanamripoti kwa Moderators anapigwa ban
Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
Regia Mtema...R.I.P ulikuwa msiba mkubwa sana hapa JF. Nakumbuka mpaka wajumbe waliubeba ule msiba na kushirikiana vyema. Ilikuwa 2012 Marehemu akiwa Mbunge wa Viti maalum kupitia Chadema alipata ajali ya gari akielekea njia ya Chalinze...
Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
Hahahaha umenikumbusha dongonla buku Saba. Sijui nani alilianzisha ila kulikuwa na kundi liliwekwa katika orodha akiwemo huyu Musa Allan, Lizaboni, Ritz, Zomba, Malaria Sugu na mkongwe Faiza...
Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
Mzee na wewe ni wa siku nyingi...naona sasa umeshapata PhD....hongera sana....Invisible wa kupiga ban na kutoa access kwenye lile jukwaaaaaaa maarufu...@Mzee Mwanakijiji ....dah. Nimemkumbuka Bujibuji Simba Nyamaume
Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
Nakumbuka sana...kuna wakati Malaria Sugu alipigwa ban akaenda kulalamika kwenye gazeti la Mwanahalisi. Siku hiyo hiyo akafunguliwa...I miss those days nadhani 2012 ilikuwa.
Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
Zitto
Malaria Sugu
Afrodenzi
Asprin a.k.a Babu
William John Malecela a.k.a Le Mutuz
Ritz
Zomba
Paka Jimmy
Rev. Fr. Masanilo
Pascal Mayalla
Baadhi ya hawa ndio niliowakuta nilipojiunga miaka 14 iliyopita mwaka 2009.
Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
Miongoni mwa Wana JF waliochangamsha jukwaa hili enzi zile. Ninamkumbuka jamaa kuwa na ujasiri wa kusimamia kile alichoamini hadi mwisho.
Sisi tunaotumia utamhulisho bandia tulikuwa tunampiga mawe lakini yeye akiwa na Verified Status alipambana na sisi kwa hoja mpaka mwisho bila uoga wowote...
Baada ya ban mfululizo alienda kuandika makala kwenye gazeti la Mwana Halisi kulalamikia. Siku hiyo akafungulia. Ajabu baada ya siku 3 hivi akazingua na kupigwa ban tena..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.