Search results

  1. Kv-london

    Kufanya mauzo makubwa sio kupata faida

    Ili uweze kuwa mshaur mzur lazima ww mwenywe kile unachokishaur uwe umesha kifanya au unakiishi Mkuu ulishawah kufanya biashara yeyote? Tuanzie hapo kwanza
  2. Kv-london

    Biashara ya kusafirisha petroleum Tanzania

    Mm nataka kufahamu namna ya kupata mafuta Kwa mtu mwenywe kituo kidogo Cha mafuta
  3. Kv-london

    Wabunge Musukuma na Kishimba wanathibitisha wasomi wetu ni chenga

    Akili ni kile kinachobakia baada ya kumaliza shule Wasomi wengi hawana akili za kufanya maamuzi Kwa maslahi ya uma Ngoja muswada uletwe bungeni na Jao wabunge wawe wanapewa mafao Yao 33% then iliyobaki wawe wanapewa kidog kidogo
  4. Kv-london

    Crazy things you did in secondary school

    Tuliosoma bagamoyo (magambani) from 2008-............. Kunya baharini along side the beach ilikuwa very easy no matter what,mkono wako unachimba shimo kidogo inakata gogo unafukia then you go But nliacha kunya beach ..... guess what Siku nlipochimba shimo na mkono then nkakutana na mav...
  5. Kv-london

    Crazy things you did in secondary school

    Tuliosoma bagamoyo (magambani) from 2008-............. Kunya baharini along side the beach ilikuwa very easy no matter what,mkono wako unachimba shimo kidogo inakata gogo unafukia then you go But nliacha kunya beach ..... guess what Siku nlipochimba shimo na mkono then nkakutana na mav...
  6. Kv-london

    Series: Maisha na Muziki

    Hotel California - the eagles Maisha ya boarding - J-mo Kasimu mganga -Awena
  7. Kv-london

    Mara ya kwanza kuwaona kunguni kitandani kwangu akili iligoma kukubali!

    Mm nliona kunguuni for the first time 2010 nkiwa field huko upareni aisee asiambie mtu kunguuni Wana ng'ata mbaya Na nlivyo mweupe mpaka Field inaisha nlikuwa naitwa black albino 😁😁😁😁
  8. Kv-london

    Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

    Mungu asaidie nn hapo Sasa,wakiishi waishi tu wakifa basi life must goes on wether you're crying or your laughing 👍
  9. Kv-london

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Mm nimekaa kigoma almost 6 yrs Wilaya ya buhingwe manyovu border Ww tuliza mshono mdogo wangu hizo 15ml amekukopeaha nan? Salary yenywe haifiki hata 600k ww Ww akili Yako Bado ndogo Sana kutokana na utoto na umri wa kazi Na hujui kazi za serekali zinavyoenda Tafuta mtoto mzuri wa kiha uwe...
  10. Kv-london

    Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    EU countries zote zina mfumo mmoja wa elimu unaitwa bologna agreement Kama hawahitaji IELTS basi watakulazisha usome Kwa lugha Yao wether it's a Polish or Danish etc
  11. Kv-london

    Mtoto wa kiume miaka 6 kulia kila saa bila sababu ya msingi

    Utakuwa jina lake anaitwa Junior!
  12. Kv-london

    Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Na kama huwezi kuwa na hiyo chet ya lugha sahau kuhusu kusom ulaya through scholarship sabab Tanzania sio native English speaker of English language Course zinatolewa British council etc Fees 560000 per seat
  13. Kv-london

    Mnaotaka kuingia USA pitieni BAHAMAS 🇧🇸

    Border ya mexico this time ni ngumu na ukikamaywa ukiwa unavuk daraja wanakurufisha mexico Ukiomba asylum pia all the processes will be done while you're in Mexico
  14. Kv-london

    Mnaotaka kuingia USA pitieni BAHAMAS 🇧🇸

    Kwa hiyo walitembea na miguu au vp ? Mdogo wangu ulishawah kufika hata hapo Kenya au Uganda huku mfukoni ukiwa huna hata mia mbovu
  15. Kv-london

    Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

    Sasa shinyanga alafu ulilia kazi huko Kuna Mashamba Site za saidia fundi nk Kazi zipo ila kazi unazozitaka hazipo mdogo wang
  16. Kv-london

    Wanaume wa Kitanzania mnaniangusha kupanga foleni na kugombania nyama za bure. Mbona mahindi ya virutubisho mliyakataa?

    Ngoja washibe wanakuja kukunanga muda sio mrefu utaomba thread ifutwe na admin
  17. Kv-london

    Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Vyuo vya nje ni gharam ambapo ni nafuu labda German, Norway, Finland etc navyo wanataka at least uwe na €10000 sawa na Tsh 30mls Ili upate visa Shape your English language first uwe na IELTS or TESOL certification and Biometric passport Ili iwe rahisi kwako kupat hizo nafasi Nchi ambayo ni...
  18. Kv-london

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Kg 55 mtu mzima hiyo ni sign ya malnutrition Hufai hata kumchangia mtu damu etiiii Nlikuwa na kg 55 nlipomaliza form 4-2005 Jitahidi kula kula mdogo wang Mkuu jitahidi kula vizuri
  19. Kv-london

    Mnaotaka kuingia USA pitieni BAHAMAS 🇧🇸

    Nchi za wenzetu ambao ni visa free lazima wajue una kiasi gan kwenye account Cha ku spend ndan ya nchi Yao so it is possible but it is not easy Then lazima ukate ticket ya kwenda na kurudi so it is expensive as well Heb chukulia mfano wa Singapore ni free visa for tanzanian passport holder but...
  20. Kv-london

    Imebidi nihamie kwangu ghafla kumkwepa mdada kausha damu

    Na hicho chumba kimoja umekijenga masaki mkuu? Ila sio mbaya huyo njaa Kali ,but next time mkomeshe umeombe 0712..... Kama wew ni muumini but sometimes it's better to try a new things😁😁😁
Back
Top Bottom