Search results

  1. pius-ndiefi

    2010 je wanajf wangapi wamejitoa kwa ajili ya mabadiliko?

    Kama unaogopa joto, usikae jirani na jiko!
  2. pius-ndiefi

    Uhusiano wa chama cha mapinduzi na majeshi yetu

    Msirahisishe mambo namna hiyo. Viumbe hawa ni very influential. Acheni utani nyinyi....Na General Mboma aliyeutaka Ubunge Mbeya mjini naye alikuwa mhamasishaji? List ya wana CCM wanajeshi ni kubwa mno, inagusa hadi hawa walioingia nineteen ninety!
  3. pius-ndiefi

    Kikwete face to face with Drogba

    JK akoshwa na ziara ya Ivory Coast *Awaandalia chakula maalumu Golden Tulip *Ammwagia sifa Drogba, amkabidhi uzi wa Stars *Awaombea watwae taji, aahidi Watz kuwashangilia RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameelezea kufurahishwa na ujio wa timu ya taifa ya Ivory...
  4. pius-ndiefi

    Zitto arejea Nchini

    Waberoya umefuliaaa. Toka zako kaanzisheni chama chenu cha wahuni na Mwenyekiti wako Zitto. Mkakiite Chama Cha Demokrasia ya Kihuni (CHADEKI) Mtapata wahuni wengi tu. Usituandikie upuuzi humu.
  5. pius-ndiefi

    VodaCom ni WEZI

    Sikumbuki mara ya mwisho kutumia line ya voda ilikuwa lini.... anyway, wasiliana nao hao wezi wako kwa General Line: +255 (0)754 705 000 Email: feedback@vodacom.co.tz Fax: +255 (0)754 704 014 au dg@tcra.go.tz
  6. pius-ndiefi

    JK aalika warembo wa Miss East Africa Ikulu

    JK anatisha wewe...usifanye mchezo na kile kidume! After all decion amwalike nani asimwalike nani liko kwa anayealika so hili swali hapa sio mahala pake. Mfuate ikuluuuuuuuuuuuu atakujibu au subiri ile forum ya kisanii ya Tido Mhando na Rais umuulize kwa sms au email
  7. pius-ndiefi

    Semina elekezi za ngurdoto

    Mimi nadhani hututendei haki kutuuliza silly questions like what you have asked. Kwa kukusaidia naomba nikushauri hivi:- Kamuulize Vasco Da Gama aka Mzee wa Kujibu Mapigo aka Mzee wa Kubembea aka Mzee wa Kuuza Sura aka Mzee wa Kuchekacheka. Yupo jirani kabisa na iliko wizara inayoongozwa na...
  8. pius-ndiefi

    Zitto aongea na Power Breakfast ya Clouds FM

    Tovuti yetu ina jina jipya! Tumeafiki ushauri wa kuwa na jina la kizalendo zaidi.
  9. pius-ndiefi

    Radio 104.1fm inatumika vibaya?

    I cant waste my time to listen poor arguments from MASHEHE.
  10. pius-ndiefi

    Sita Aunguruma Ikulu

    Bongo tambarare.....Hakuna ufisadi. Si unaona STJ ilivyolamba rundo la majani ya ng'ombe? CCM OYEEEE!!! Vasco Da Gama OYEEEE
  11. pius-ndiefi

    Sita Aunguruma Ikulu

    Ni Alhaji Luteni Kanali Mstaafu, Katibu Kata mstaafu, Katibu tawala Mstaafu, Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Mkuu wa Mkoa Mstaafu na sasa ni katibu mkuu wa chama cha Maulaji YUSUF RAJAB MAKAMBA aka Baba Januari na Sofia Mtoto wa Simba hawa pekee ndo wako timamu
  12. pius-ndiefi

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    upuuzi mtupu! Acha uzabizabina
  13. pius-ndiefi

    Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

    Kimsingi simwelewi Mwakyembe. Kipindi kile alipokataa kuhojiwa alikuwa anaongea hadi povu linamtoka mdomoni kuwa hata wamsulubishe msalabani hatakubali kuhojiwa. Sasa kama alikubali kuhojiwa ndo nashangaa. Haki ya nani siasa ni unafiki tu
  14. pius-ndiefi

    JK: Safari za Nje Sasa Basi!

    kikwete is not that good upstairs. Walikuwa sahihi kumpima akili
Back
Top Bottom