Search results

  1. D

    Picha: Usahili post ya Mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji - Uwanja wa Taifa

    Mungu tusaidie. Robo ya uwanja wa taifa umejazwa na watu kwenye usahl. Nmefanya lkn cjui
  2. D

    Nina milion na laki tano, nifanye nini kati ya haya(ushauri)

    Hi wanaJF , niko Dar es salaam nimegraduate mwaka 2012 public administration na sina kaz ila nna kiosk(kiduka) chenye km milion moja na laki nne nna uhakika wa mkopo wa milion moja na laki tano mwez wa nne mwanzon. Naomben ushauri kati ya haya 1. Ninunue lain ya mpesa na tgo pesa na kwa biashara...
  3. D

    nifanye lip kati ya haya matatu? nna milion moja na laki tano

    Hi wanajf ushauri tafadhal, mm niko Dar es salaam nimegraduate public administration mwaka 2012 ajira imekuwa ngumu hvyo naendesha biashara ndogo uswahiln(kiduka) chenye thaman km 1,400,000. ila nna uhakika wa mkopo wa milion moja na laki tano mwanzon mwa mwez wa nne. nifanye kp kati ya haya...
  4. D

    Nifanye lipi kati ya haya mawilii? Nna milion moja na laki tano

    Hi wanajf naomba ushauri wa kifikra katika kujiendeleza kiuchumi kwan nina 1,500,000 na nina mpango wa either kununua boda boda niifanyie kazi mwenyewe au ninunue lain ya mpesa na tigo pesa nitoe huduma hiyo. nimegraduate ila ajira ni n shida. Mawazo yenu yatansaidia
  5. D

    Natafuta mtu wa Kuniloga.

    uchawi upo hata farao alitumia wachawi akat anashindana na Mungu na walifanya miujiza ya ajabu.
  6. D

    Nafasi Kazi za Uhamiaji (2014)

    chet cha darasa la saba sina jamani nifanyeje
  7. D

    Haya ndiyo yalivyokuwa maisha ya wa - Libya kabla mbulumundu hawajampindua wakitegemea zaidi

    of all political assasinations, the death of Gaddafy to my was like pouring acid to a healing wound. kiukweli iliniuma hasa baada ya kuasses uongoz wake na legtmacy from Libyans to this icon. kwangu atabaki kuwa reformist, legend, hero and everlasting comrade. 30 years to come the situation in...
  8. D

    Baraza la Maaskofu wa Pentekoste lakutana ghafla kuhoji kwanini halina mwakilishi Bunge la Katiba

    walokole in principle ni protestants mm cwatofautishi sana na lile jeshi lililopigana na malaika mbinguni na hatimaye likatupwa motoni kwa ghadhabu ya Mungu. wakiwepo utaskia viwanda vya pombe na sigara viondolewe, kuwe na std ya sadaka, na na vtu km hvo
  9. D

    Nishaurini jamani, nikitongoza sikosi!

    usijone una bahati ndugu kwa kukubaliwa na kila unayemtongoza kwa navojua kukataliwa na mwanamke sio common thing endapo ww umeinvest nguvu zako kwenye upuuzi huo tena ushasema mfuko uko vzur hii inaonyesha ni vp unathamini uchi. you have nothing special to them ila tu ww ni mtumwa wa ngono na...
  10. D

    Natafuta mwanamke wa kuzaa nae tu

    Nutafuta mwanamke wa kuzaa nae tu sio kumuoa awe anajielewa matunzo yote atapata.
  11. D

    Msaada namna ya kujisajili huduma ya M-Pesa

    Nenda na leseni yako ya biashara vodashop yoyote utapata maelezo kamili ingawa kimtaan kuna watu ambao pia wana hzo line wanauza ila utakua unatumia jina lake.
  12. D

    Nataka kubadili profession niwe mwalimu

    Jaman nimemaliza udsm 2012 fani ya sociology na cna kazi ila nataka niende wizara ya elimu japo niwe mwalimu. naomben ushauri km inawezekana wadau
Back
Top Bottom