Search results

  1. MKUNGA

    Rafiki angu ananiroga

    Duh. Hayo mambo karne hii, mh bongo bado sana.
  2. MKUNGA

    Picha: Jinsi balozi Wa Urusi alivouliwa

    Kuna kitu hapo. Walinzi wake walikua wapi hadi assailant anatamba vile?As if kampiga risasi junior officer tuu. Tutasikia mengi.
  3. MKUNGA

    Kwani Rais anateua sana kutoka UDSM? Mzumbe na UDOM vipi?

    Sio kweli, ameteua wengi tuu kutoka vyuo vingine ingawa UDSM imetoa zaidi. Tukiacha unafiki UDSM ndio Chuo bora hapa nchini.
  4. MKUNGA

    Mbeya: Basi la New force la kutoka Tunduma-Dar limegongana na lori maeneo ya Igulusi

    New force huwa wanakimbia sana na huwa hawatuheshimu tunaoendesha gari ndogo, wanapiga overtake hatarishi inabidi uwakwepe. Tusisingizie mwisho wa mwaka, ajali nyingi ni uzembe wa madereva.
  5. MKUNGA

    EAC bado ipo?Mambo yanayoendelea Mh. Sitta anasemaje?

    Nilishawahi kupost siku za nyuma kuwa ndugu zetu ni SADC na sio EAC. Leo yanaanza kudhihirika.
  6. MKUNGA

    Napingana na serikali kwa kufuta vibali vya wageni wanaoishi Kagera, Geita na Kigoma

    Rudi kwenu. Nchi yenu si ina uchumi mzuri kuliko sisi?
  7. MKUNGA

    Malawi paper calls Kikwete a 'Bloodthirsty Leader'

    Acha chuki binafsi wewe. Mgogoro wa Ziwa Nyasa ulianza tangu enzi za Mwl. Usipotoshe Umma.
  8. MKUNGA

    Kamanda wa Jeshi kuwanoa vijana wa CHADEMA

    Hata yule wa merelani aliyepiga picha na Lema alikuwa mwanajeshi.
  9. MKUNGA

    Update:KUANDAMA KWA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.

    Ramadan Kareem wana JF
  10. MKUNGA

    Ole wako ukamatwe na wanajeshi mtwara utajuta kuzaliwa..

    Hata wawe na mapembe tutayakaya tu.
  11. MKUNGA

    Siri ya mafanikio ya CCM ktk chaguzi za kata uliofanyika juni 2013, waraka wafichua kura 1 Tsh45,000

    Kweli chama chenu kina Aweda ni kiwanda cha uongo. Thibitisha.
  12. MKUNGA

    eneo la wazi mwananyamala panajengwa madrasa!!!!?!!

    Kwa nini mnapenda kukashifu dini za wenzenu?
  13. MKUNGA

    Jeshi La Wananchi waendelea na Operation ya kupiga Raia Mtwara

    Kama mnafanya fujo serikali iwachekee? Kilochotokea Mtwara ni uasi. Lazima uzimwe kwa nguvu zote.
  14. MKUNGA

    Kikwete aweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Iringa - Dodoma

    Tatizo mnapenda kupinga kila kitu? Hiyo ni bara bara inayotoka Iringa mjini kupitia Mtera dam hadi Dodoma. Ilikuwa ya vumbi. Itarahisisha safari kati ya iringa Dom ambayo itakuwa kama 250 km tu. Hakuna haja ya kupita Moro tena ambayo ni zaidi ya 500 km. Viva JK.
  15. MKUNGA

    Hivi kuna undugu kati ya CCM na timu ya Yanga?

    Fuatilia historia. Timu ya Yanga ilianzishwa na Wazalendo Watanganyika. Simba (Ikijulikana kama Sunderland) ilianzishwa na weupe. Yanga ilikuwa na mchango mkubwa wakati wa kupigania uhuru kwani wazee wetu waliweza kukutana bola shida.
  16. MKUNGA

    CHADEMA Mbeya inashangaza kweli

    Ukweli unauma.
Back
Top Bottom