Search results

  1. U

    Nakodisha shamba Mtandika

    Vitunguu @Kimla ila sababu ni mtoni vitu vingi hukubali
  2. U

    Nakodisha shamba Mtandika

    Habari wadau nina shamba eka 100 Nyanzwa likiwa limepakana kabisa na mto Ruaha. Ninakodisha eka 60 ambazo tayari nilishalima miaka miwili iliyopita. Nakodisha kila eka laki mbili na nusu 250,000. Mashine ya kumwagilia ipo. Tuwasiliane mapema maana huu ndio mda wa kuatika mbegu. Mwenye nia aje PM.
  3. U

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Kuna daktari kutoka marekani atakuwepo Dar hivi karibuni. Yeye hutibu kwa njia iitwayo homeopathy. Binafsi nimeshuhudia akitibu vitu vya kushangaza sana. Although haina scientific basis lakini not everything can be explained with science. Nitawatangazia siku na mahali tafadhali muwajulishe na...
  4. U

    Nataka kufuga ndege tausi

    Habari wadau, Ninatafuta tausi na ndege wengine wasiopaa kwa ajili ya kufuga kama urembo. Je nitapata wapi kwa bongo?
  5. U

    Ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Bukini na Kanga: Maoni, Ushauri, Utaalamu na Masoko

    mtena kanga dar ni elfu 35 mpaka 40. Hii ni bei ya sehemu moja makumbusho karibu na millenium tower. Ilikua inapigwa bendi zamani. Mimi nilinunua kanga mdogo wa wiki 4 elfu 15 kwa kubembeleza sana. Kwenu wewe wapi?
  6. U

    Ninahitaji kuku halisi wa nyama ili kumix na wa kienyeji

    Habari wadau. Nina kuku wa kienyeji 30 sasa naomba kujua ni kuku wa aina gani ambao ni mahususi kwa nyama yenye quality ambayo ni mbegu kubwa, tamu,laini na isiyo na kamba ili niweze kumix na hawa kuku wangu wa kienyeji kupata product nzuri nayoweza uza hata kwenye hoteli za kitalii. Maana kuku...
  7. U

    Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List - TRA WANAKISIA BEI ZA MAGARI?

    Naomba kuuliza. Ambulance zinalipiwa kodi kiasi gani? Mfano nikiagiza ambulance 7500 cif nitahitaj sh ngapi kutoa bandarini.
  8. U

    Kim Jong-un ana ndege kama Air force one

    Nyani Ngabu kwani umeandika ni mwana wa Kim Jong Il "mentally"? Kumbe sio mwanae wa kuzaliwa?
  9. U

    The Kikwete succession: Who is Kingunge campaigning for?

    Hehehe "you will tell me" ndio "utaniambia" Nimeipenda
  10. U

    Nichukue kozi gani nikimaliza clinical officer ?

    Md ni ndefu na huko mwisho kipato chake hakiringani kabisa na time spent. Ila nionavyo mimi ukisomea sonography na radiology ujue kupiga ultrasound,ECG,echo na X-ray utakua very marketable hada private institution sababu dispensary na med centers nyingi wanahitaji. So ukiwa co mtaalam wa...
  11. U

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    hehehe kwanini faby? Umekumbuka mbali sana nini?
  12. U

    Nurse MidWife anahitajika

    Nurse midwife anahitajika. Mshahara laki 6 Asiwe mstaafu. Mahala pa kazi Iringa Mjini. Tuma PM kwa mawasiliano zaidi.
  13. U

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya bachelor of science in health information systems

    Kwanza ukimaliza tu njoo nikupe kazi take home laki 9.
  14. U

    Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

    Safi sana mkuu hongera sana! Naomba kuuliza hizo investments zina returns kila mwezi sio au ni kila baada ya mda gani members wanapata returns za investment zao za laki kwa mwezi?
  15. U

    Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

    Ingekuwa vyema na sharti kama kwenye hio Whatsapp group watu wanaandika biashara Yao kwenye status na picha zao halisi. Mfano utinotino itakua na status ya shamba vitunguu, samaki etc na inakua sheria ya hii society kuwa mtu akitaka kununua kitu au kuuza priority ya kwanza ni kwa members of society
  16. U

    Ushauri: Biashara ya kusafirisha nyama China

    Habari Wakuu, nimepata soko la kuuza sehemu ya ngombe huko China,sasa pakupata hii bidhaa napajua ila sijui kabisa nahitaji vibali gani na navipateje. Pia kuhusu usafirishaji nasikia kuna cold boxes kwenye ndege ambazo nitatumia ajili ya kutuma sample na mzigo ukikubalika nitatumia refrigerated...
  17. U

    Biashara ya gesi ukaa

    Since 2011!! Wakuu mmefikia wapi kwa hili?
  18. U

    Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

    Bonge la idea sema sio rahisi ishike bila kuwa na wawezeshaji wenye hela na members wawe na one vision mission na purpose. Hivyo kabla ya yote ni ku establish very clearly hivyo vitu hapo. Nilishjaribu hii kitu na najipanga tena kuanZisha ila pia ikianzishwa na a noble vision and purpose najiunga
Back
Top Bottom